Idaso jr

2.7K posts

Idaso jr banner
Idaso jr

Idaso jr

@IdasoJr

Baba wa 🦸Islam na Nadeer Rig Oparetor⚙️⛏️🛠️ /⚽Simba sports/Barcelona/Liverpool FC Mbishi sitaki kuelewa...

MbeyaTanzania Katılım Temmuz 2015
450 Takip Edilen214 Takipçiler
Idaso jr
Idaso jr@IdasoJr·
@ercurry_ Hilo kwa ajir yakubalance uzito wa gari
Indonesia
1
0
0
42
ЄƦ30
ЄƦ30@ercurry_·
Hicho kifaa kina kazi gani?🤔
ЄƦ30 tweet mediaЄƦ30 tweet media
Indonesia
27
8
99
17.2K
Nkota
Nkota@xlusako·
Mama kama hii ukiwa legelege inakuweka kwenye kona
Indonesia
17
20
227
17.2K
Idaso jr
Idaso jr@IdasoJr·
@pamykid Aliwahi kutangaza na mwisho mwampamba
Filipino
0
0
0
124
nocton
nocton@pamykid·
Back in days kuna channel ilikuwa inaitwa Tv1 inalogo ya kijani hivi walikuwa creative sana kweny vipindi vyao limebakia jengo pale mikocheni pembeni mwa yard ya kilimanjaro bus💔
Filipino
17
8
198
12.5K
♟️
♟️@iamFallacy·
Kuna dogo alikuwa anawalaza majamaa wa chuga saa 10 alasiri.
Filipino
21
15
254
13.8K
TheLastSon
TheLastSon@BuffaH65·
Watu wa Kanda ya ziwa hebu naomba mnijibu hili swali kuhusu fisi Je, fisi anaona usiku? Kama anaona anajuaje kama binadamu haoni usiku? Nani anamwambia? Nasema hivi kwa sababu kule Shinyanga ukipita mida ya usiku unakuta fisi kajibanza tu sehemu kwa kuamini kuwa humuoni, lakini mchana hafanyi hivyo.
Indonesia
12
10
29
2.6K
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
DIRISHA halina Grili.
SIR TIVA tweet media
Indonesia
130
54
1.1K
61.6K
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
"NABAKI AFRIKA" is a very cool brand name bwana.
Filipino
23
42
720
31.7K
Kitwango Think Bigger Tz.🧠
Kadri unavyokua katika Juhudi,Maarifa na Mafanikio,Ndivyo unavoweza kuwa Daraja la Mafanikio kwa wengine Ishi Maisha yako,Huku Ukipambana siku moja Uwe CONNECTION ya wengine. Unapokuwa Sababu ya Mtu mwingine kupata Fursa,Mafanikio yako hupata Maana kubwa zaidi. Pambana zaidi✊
Kitwango Think Bigger Tz.🧠 tweet media
Filipino
21
38
51
1.3K
Idaso jr
Idaso jr@IdasoJr·
@Lizzie36021 Innah Lillahi Wainna Illahi Rajoun.... Pole kwa mtihani wa kuondokewa na mzazi tuzidi kumuombea 🤲
Suomi
0
0
0
19
chuga girl❣️
chuga girl❣️@Lizzie36021·
Tarehe 7.7.2026 ilikua moja ya siku ngumu kwangu nilimpoteza baba yangu mzazi namshukuru Mungu leo tarehe 11.7.2026 nmefanikiwa kumpumzisha mzee wangu salama🙏 #RIPfaza😔
Indonesia
155
68
617
20.9K
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Mama yangu ni Mwananchi wa kawaida sana, katumikia serikali 30+ years. Ila Mama yangu ni mtu kwelikweli, binti yangu wa kwanza nimempa jina la Mama yangu nikinuia awe hata nusu ya mama yangu. As much as kuna wanawake wajinga na washenzi,Mama yangu ni mfano wa Wanawake bora sana.
Indonesia
23
67
838
25.4K
Fundi viatu na mabegi
Fundi viatu na mabegi@Mshonaviatu·
Naomba sana Mungu kipenzi cha moyo wangu asiende kushiriki Ile challange maana kuna wanawake wameshiriki ila wana sura mbaya kishenzi BLESSED akishiriki National Mirror Day hakuna mwanamke wa kumfikia
Fundi viatu na mabegi tweet mediaFundi viatu na mabegi tweet media
Indonesia
14
28
83
3.4K
Fundi viatu na mabegi
Fundi viatu na mabegi@Mshonaviatu·
Happy samahani lakini unaweza kutuambia hii aina gani ya shepu kwa uzoefu wako wa muda mrefu katika fani ya Uticha.
Fundi viatu na mabegi tweet media
Indonesia
13
13
38
2.8K
Idaso jr
Idaso jr@IdasoJr·
@Mshonaviatu Nimeoa kabisa ... Acha kudharau migodi hyo mdogo wangu weka heshma
Indonesia
1
0
0
21
Idaso jr
Idaso jr@IdasoJr·
@Sincerelyrahma7 Ata kua ni huyo tu ... Usije kujaribu mitaa mingine litakukuta jambo🖐️
Indonesia
0
0
0
19
Extreme Introvert🧕💫
Extreme Introvert🧕💫@Sincerelyrahma7·
Hivi kwanini wanaume wengi wanaopenda kupiga wanawake hawawezi kupigana na wanaume wenzao lazima wadundwe?!🧐
Polski
28
22
169
11.6K
Ze Planmaster
Ze Planmaster@ZPlanmaster·
Mzee ana nongwa huyu 😅
Ze Planmaster tweet media
Filipino
105
103
1K
41.2K