Undapo utaenda mkoani Mbeya na ukafanikiwa kufika katika kituo cha bodaboda cha Malambugi, ulizia juu ya kijana fulani mwenye mwili mdogo aliyekuwa mtanashati sana akimiliki kijiwe cha kupika kitimoto mkabala na kanisa la Moravian Airport ya zamani
Naam!
Hutaacha kusisimuka
TANGAZO.
Account za CHAMA @ChademaTZ2 zimeibiwa na MREMA kwahiyo kwasasa sote tunatakiwa kufollow page mpya ya CHAMA kwa updates nyingi zaidi hasa ajenda kuu ya #NoReformsNoElection ambayo inaanza leo kushika kasi kanda ya VICTORIA.
Follow @ChademaTZ2
REPOST 400.🚨
● Free casino
● Jetx time💰
● AVIATOR
● Bonus hadi 20000
...
Jiunge na 1XBET Kwa kutumia
link hii👇
cropped.link/jeba
Promo code 👉 JEBA
Free Whatsapp group link👇
chat.whatsapp.com/CoIGUUGnEWpGUM…
Nenda kwenye free money
Spin lottery free upate free bet za bure
Good morning everyone there 🌸
Karibu nikutengenezee #pichambao nzuri kwa ajili ya ukumbusho na zawadi.
A4 size
Tsh 7,000/=
Chagua picha moja nzuri unayoipenda nitumie mimi whatsapp au Dm nikutengenezee.
📍Sinza Palestina
☎️ 0786445451
Delivery hadi mikoani
Wabunge wa Bunge la Ulaya wamejadili kwa dharura masuala ya kisiasa nchini Tanzania wakilenga kuhusu kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu na hatari ya hukumu yake iwapo atapatikana na hatia ya uhaini ambapo wametoa wito kwa Mamlaka za Tanzania kumuachia Lissu na kuweka mazingira rafiki kwa Vyama vya upinzani ikiwemo CHADEMA kushiriki uchaguzi wa mwaka huu 2025.
Bunge hilo limetoa wito kwa Serikali ya Tanzania kuirejesha CHADEMA katika mchakato wa kisiasa na kuhakikisha kwamba haki za Binadamu, uhuru wa kujieleza, na haki ya kupata haki Mahakamani na pia Serikali ya Tanzania imepewa wito wa kufuta adhabu ya kifo na kubadilisha hukumu zote za kifo.
Baada ya mjadala huo wa jana May 07,2025, Wabunge wa Ulaya wataandaa na kupiga kura juu ya azimio maalum lenye rejea 2025/2690 (RSP) leo May 8, 2025 kuhusu mjadala huo wa kesi ya Lissu ambapo Bunge hilo limetaka taarifa yao iwasilishwe kwa Serikali na Bunge la Tanzania, Umoja wa Afrika na Mwakilishi Mkuu wa Sera za Mambo ya Nje wa EU, kwa lengo la kuanzisha mashauriano ya dhati na yenye matokeo ya kweli kwa maendeleo ya kisiasa ya Tanzania.
Lissu anakabiliwa na mashtaka mawili ambapo moja ni la uchochezi na jingine ni la uhaini ambalo adhabu yake ni kunyongwa endapo atakutwa na hatia.
#MillardAypUPDATATES
“His political activity and his exposure of government corruption made him a target for an assassination attempt followed by several years of exile in Belgium.
He returned home to Tanzania, he became a leader of the opposition party, and just last month he was arrested, disqualified for participating in the upcoming election in October and charged with treason, a crime punishable with the death sentence.
This is not a stand alone case, it exemplifies the regime's treatment of political opposition, civil society organizations, journalists, indigenous people and human rights defenders.
ANYONE WHO POSES A THREAT TO THE RULLING ELITE IS EFFECTIVELY SILENCED”
- Katarina Viera - Bunge la Ulaya kuhusu TAL.
Nakupostia Nguo, Viatu, Saa, Mapochi vyote hununui, Dada unapendeza wapi..? 🤗
Haya dress kama hii utaipata kwa 25,000/= tu 🔥
Size: S-L
Cont: wa.me/255750182434
Popote Ulipo Tunatuma
Karibu Tupendeze Pamoja