Mkunde
1.8K posts


Japokuwa rangi hazifanani Ile sawa sawa ila kutokana na historia yao kuwa waliwahi kuwa Wapenzi ukiona hivi lazima Kuna kitu kichwani kigonge.
Kama mtu wako siyo muelewa lazima hapa inaweza kuleta ugomvi kumbe Wala hata hakuna chochote kinacho endelea, ukute hata mawasiliano hawana kabisa.
Sema Jokate kabadilika sana uso aisee.

Filipino

@Nnauye_Nape Kaka ndio maana V8 lilikuacha mlimani city baada ya kutenguliwa ukiwa kama mgeni rasmi. Dongo hili kwa jezebel
Indonesia

STOP THAT!
The continued issuance of explanations regarding your purported report submmitted to the President constitutes a direct affront to our intelligence.
Upon completion and submission of the report, accompanied by directives that the public remain silent on the grounds that the matter does not concern them, you are thereby precluded from subsequently issuing clarifications to the same public.
Any and all explanations ought properly to be directed to the authority to whom the report was submitted.
It is both improper and illogical to purport to clarify matters to the public when the entirety of the report and its underlying facts remain exclusively within your possession.
Such conduct amounts to nothing more than a redundant and unwarranted exercise in self justification.
The said report is neither ours nor does it pertain to us as the public, by your own assertion.
we categorically reject any implication that we are incapable of independent thought or judgment.
We will not be compelled into silence. We possess the capacity to assess, question, and draw conclusions.
Any conduct that undermines this is unacceptable and constitutes a breach of respect.
what is required is the establishment of an independent commission that is impartial, credible, and commands the confidence of all stakeholders.
Truth, justice, and accountability remain the only viable foundations upon which the nation may be restored.
BAK MWABUKUSI
English

@zoetjesheeftX Yuko sahihi kabisa system zikifeli wahuni kama yeye wanapata nafasi sio kosa lake. Na wageni wabaki nchini mwao wa fix broken economies. Chawa and mchwa
Indonesia

JACINTA, KIONGOZI WA XENOPHOBIA AFRIKA KUSINI .
Anakusanya makabila yake wanaume, Wazulu kuwapiga, kuwalemaza na kuwaua Waafrika weusi wa kigeni, wakiwemo; Waghana, Watanzania, Wakenya, Wazimbabwe, Wanigeria na Wabotswana.
Anadai Waafrika wengine katika Afrika Kusini ambao wanamiliki vioski, mikahawa, gereji, kemia na wachuuzi wamechukua fursa ambazo ni za Wazulu.
Unadhani anafanya vizuri au yeye na makabila yake watu wanawaonea wivu tu wageni waafrika wachapakazi huko SA?.
Hivi majuzi mwanamke mmoja wa Zimbabwe aliyekuwa akiuza mayai ya kuchemsha alipigwa risasi na kufa katika mji wa Durban, ilikuwaje --
Baada ya kula mayai 5 ya kuchemsha, mwana zulu alikataa kulipa 50rand, lakini mchuuzi huyu alipoanza kuomboleza, mtu huyu wa zulu, alitoa bunduki na kumpiga risasi 2 kichwani.
Lakini unawezaje kumuua mchuuzi hata kama ni mgeni kwa kudai amechukua nafasi yako.
Kwa nini huwezi pia kuchukua vitambaa, saa, mayai au viatu vichache na uanze kuvinjari? Au kwa nini Jacinta Zinhle MaNgobese Zuma hawezi kuwachochea Wazulia wenzake wavivu kususia bidhaa zinazouzwa na wageni wa Kiafrika huko SA.
Badala ya kupora vitu vyao baadaye kuwachoma wakiwa hai katika mitaa ya Durban, ni ukatili ulioje! ukatili ulioje!

Indonesia

Wakili msomi, Peter Madeleka, amewashukia baadhi ya watu wanaodai kutoa maoni yao kuhusu Ripoti ya Tume ya Uchunguzi wa matukio ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 akidai kuwa wanachambua kitu ambacho hakijawekwa hadharani.
Akizungumza leo, Aprili 27, 2026, jijini Dar es Salaam, Madeleka amesisitiza kuwa kuna upotoshaji mkubwa unaofanyika kwani ripoti halisi ya tume hiyo bado haijawahi kusomwa wala kufika mikononi mwa umma.
Madeleka amefafanua kuwa kilichotolewa hivi karibuni na kusambazwa kwenye vyombo vya habari si ripoti yenyewe ya uchunguzi, bali ni hotuba ya jumla iliyotolewa wakati wa hafla ya kukabidhi ripoti hiyo.
Amewataka wadau na wananchi kuwa makini na kile wanachokichambua, akisisitiza kuwa huwezi kutoa hukumu au maoni ya kitaalamu juu ya ripoti ambayo mwandishi wake hajairuhusu isomwe kwa kina na umma.
Indonesia

Mfanyabiashara Jeniffer Jovin, maarufu kama (@_.niffer._ ) amesema ametumia takribani miezi minne kutengeneza manukato yake mapya ya Niffer Scents, akisisitiza kuwa amefanikisha mradi huo kwa juhudi zake binafsi bila kuwa na mdhamini au mfadhili yeyote.
Niffer amesema kuwa dhamira yake ni kuleta bidhaa yenye ubora wa hali ya juu itakayokidhi mahitaji ya wateja wake.
Akizungumza leo Jijini Dar es Salaam, amesema uzinduzi wa manukato hayo unaashiria hatua muhimu katika safari yake ya ujasiriamali, huku akiahidi kuendelea kubuni bidhaa bora zaidi kwa ajili ya soko la ndani na la kimataifa.
#MillardAyoUPDATES
Filipino

@MariaSTsehai Kabudi kajipiga mkuki mwenyewe novena inaendelea kufanya kazi
Indonesia

‼️🚨TUSIPOAMKA NCHI IMEKWENDA‼️
Mungu ni mwema sana 🙏🏽
Kabudi ameropoka kila kitu na sasa ni dhahihiri hawana nia yoyote njema na Taifa
👉🏽Tulipewa taarifa kuwa Kabudi ndiyo mastermind kwa maelekezo ya Abdul na genge lake kuDOCTOR ripoti ya Tume ya Chande na ndo ameandaa hotuba ya Samia - tatizo lake ni mropokaji 🙄 Lakini kupitia hii interview ya BBC amejianika kuwa yeye ndo mwandishi na mpangaji wa mipango yote na ndiye anatoa maelekezo wala si @SuluhuSamia
👉🏽 Kabudi anaongelea Tume ya Uchunguzi ambayo imependekezwa na Tume ila ye tayari anaongea (siyo kwamba Rais kamwagiza bali kama yeye ndo Rais mwenyewe) kuwa wataitwa watu na sijui sheria ya Uingereza! Tume haijaundwa wala kupewa hadidu rejea - lakini tayari Kabudi anaeleza what will happen!
👉🏽 Ameweka wazi kuwa watatarget viongozi wa upinzani (CHADEMA), viongozi wa dini na wanaharakati! Yaani wakamate na wafunge midomo wote tunaoongea na kupaza sauti! Ila walioua na ushahidi upo ni polisi hawatawajibishwa! Hakuna Haki itatendeka
👉🏽Katiba mpya wanataka kuleta ya kwao na mmemsikia huko mwisho eti labda waingiliwe na “wasiotakia mema nchi” mnaandaaje Katiba Mpya na huku mnawinda na kukamata wadau muhimu kama wa upinzani na wanaharakati?
Sasa eleweni watanzania kuwa genge la Abdul na mama yake wakishirikiana na wasaliti wa Tanganyika kama akina Kabudi hawataki maridhiano ya kweli wala Katiba Mpya
Wao wanataka kujizatiti kwenye udhalimu wafunge kila anayekosoa na wanasema watanzania wawe waoga wasithubutu tena kuandamana au kupinga serikali yao! Wanasema mmeshakuwa waoga so bado kidogo mtafyata wote!
Sasa nina swali kwa wazalendo wote - hivi kweli tumekosa ujasiri na akili kiasi hiki? Mko tayari nchi izamishwe iwe himaya ya genge dogo la kilafi? Mnaelewa CONSEQUENCES? Kwamba Kabudi na wenzake wanapopeleka hii nchi ni kuDESTROY! Miili ya wapendwa wetu hatutakaa kuzipata! Tunaopaza sauti sasa tutanyamazishwa na giza litafunika nchi! Muda ni huu kutafakari kama Taifa! Kama mtakubali kwenda na huu upumbavu hakuna watu wa nje kuja kutukomboa! Utabaki ukweli daima! The choice is yours!
#TutaelewanaTu #SamiaMustGo
youtube.com/live/tKqybIs-j…

YouTube
Filipino

Uwepo wa Majaji Wakuu wawili wastaafu katika tume hiyo, ungetakiwa kuleta utimamu wa kisheria na kuziba mianya na mapengo ya kisheria. Ni bahati mbaya sana, hata raia wa kawaida wameyaona mapengo mengi.
Tume za uchunguzi wakati mwingine hufanya kazi kwa mujibu wa hadidu za rejea (terms of reference). Hata hivyo, ikiwa matokeo ya tume hiyo yanaathiri haki, mali, au sifa ya mtu, lazima kanuni za haki ya asili zitumike.
Ni jambo la kushangaza kuona mchakato wa kisheria au wa kijaji ukikwepa misingi ya kisheria na haki ya asili (natural justice), hususani unapoongozwa na watu wenye uzoefu mkubwa na ubonezi wa juu katika sheria.
Katika ulingo wa sheria ya ushahidi, haki ya kuhoji mashahidi (Cross-Examination) ni nyenzo muhimu zaidi ya kupata ukweli. Bila dodoso, mahakama (au hiyo tume) itakuwa inategemea simulizi za upande mmoja.
Katika sheria, cross-examination inajulikana kama injini kuu ya kisheria iliyowahi kuvumbuliwa kwa ajili ya kubaini ukweli (the greatest legal engine ever invented for the discovery of truth). Hutakiwi kuikwepa.
Bila mtuhumiwa au upande mwingine kupata fursa ya kumhoji shahidi, ushahidi huo unabaki kuwa wa upande mmoja (ex-parte). Tume inakuwa imejenga ukuta badala ya daraja katika kutafuta ukweli na haki.
Ushahidi wa aina hiyo kitaalamu unakosa kile kinachoitwa "Admissibility weight" kwa sababu haujafanyiwa jaribio la moto (fire-testing). Mchakato huo unakiuka misingi ya Haki ya Asili (Natural Justice).
Katika mahakama nyingi, ushahidi ambao haujapita kwenye dodoso huchukuliwa kama ushahidi dhaifu au wakati mwingine hukataliwa kabisa kwa sababu haujafanyiwa majaribio ya ukweli. Haujapimwa.
Dodoso husaidia kufichua uongo, upendeleo, au makosa ya kumbukumbu ya shahidi. Dodoso ndiyo njia ya kupima kama shahidi ni mwaminifu. Je, ana chuki? Je, ana maslahi ya kifedha? Maelezo yake yanalingana?
Bila maswali ya dodoso, uaminifu (credibility) wa shahidi hauwezi kuthibitishwa, na hivyo ushahidi wake hauwezi kuwa na probative value ya kumfunga mtu au kumwajibisha. Majaji wastaafu wanafahamu hilo.
Kupuuza dodoso ni kuubadili mchakato kutoka wa “kisheria” na kuwa wa “kiutawala” au “kisiasa,” jambo ambalo linafifisha dhana ya utawala wa sheria. Ndiyo wamekwepa kuwataja wahusika wa hayo mauaji.
Haki ya Kusikilizwa (Audi Alteram Partem). Hii ni nguzo ya kwanza ya haki ya asili—kwamba hakuna mtu anayepaswa kuhukumiwa bila kusikilizwa. Wametuhumiwa watu na makundi, hawahojiwa.
Right to Hearing: Ikiwa tume ilikusanya tuhuma dhidi ya watu fulani bila kuwapa nafasi ya kujitetea (right to be heard), ripoti au mapendekezo ya tume hiyo yanaweza kupingwa kisheria (procedural impropriety).
Kwa tume inayohusisha majaji wakuu wastaafu, matarajio ya umma na kisheria ni kwamba taratibu hizi zingefuatwa kwa ukamilifu ili kulinda heshima ya mchakato mzima. Badala yake, hatua zimerukwa
Unapokuwa na jopo lenye watu wenye weledi wa hali ya juu (kama Majaji Wakuu wastaafu), tegemeo ni kwamba wataulinda huu mwongozo wa haki ya asili (Natural Justice). Lakini katika tume hii, imekuwa tofauti.
Hao mnaosema walipanga, waliratibu, walifadhili waaandamanaji, mmewafikia na kuwahoji? Huo ushahidi usiokuwa na shaka ni ushahidi wa upande mmoja. Kwanini hamjawafikia waliotajwa, na kuwahoji?
Kitaalamu, Jaji anafahamu, hukumu au hitimisho lolote linalofikiwa bila kushirikisha upande unaotuhumiwa ni batili kisheria (null and void) endapo itatumika kama msingi wa kutoa adhabu/maamuzi ya kisheria.
MMM, Martin Maranja Masese, Mtikila.
Indonesia

Kuna dhana potofu kwamba unywaji wa maziwa unaweza kusaidia kuondoa vumbi lililoingia kwenye kifua, lakini hakuna ushahidi wa kisayansi unaothibitisha hili. Vumbi linapoingia kwenye mfumo wa hewa, mwili hutegemea mfumo wa kinga na njia za asili kama kukohoa na kuzalisha makohozi ili kuliondoa. Maziwa hayawezi kufika kwenye mapafu, huingia kwenye mfumo wa mmeng’enyo wa chakula kupitia tumbo, si kwenye njia ya hewa.
Ili kujikinga na athari za kuvuta vumbi, epuka maeneo yenye vumbi kali au tumia barakoa unapokuwepo mazingira yenye hatari. Pia, kunywa maji ya kutosha kusaidia mfumo wa hewa kuwa na unyevunyevu wa kutosha. Kama unapata matatizo ya kupumua baada ya kuvuta vumbi, tafuta msaada wa kitabibu haraka.

Indonesia

Uovu wa kisasa hauji katika sura ya kutisha; unakuja ukiwa umejipamba kwa nakshi ya mafanikio. Ibilisi wa leo havai mapembe, bali anavaa suti, anamiliki iPhone, na anatumia teknolojia ya kisasa kama chambo cha kututeka akili. Tupo katika hatari kubwa sana. Wale ambao zamani tuliwaona kama kioo cha jamii, leo wamegeuka kuwa ‘madalali’ wa mfumo dhalimu unaolenga kutupoteza. Hawa wahuni si lolote bali ni zana za mfumo wa giza ulioratibiwa kutuangamiza. Kibaya zaidi, tasnia ya habari imekuwa mshirika wa uovu huu, ikitoa nafasi kwa waandishi ‘takataka’ kupotosha umma. Vyombo vya habari vimepoteza mwelekeo, vikiendeshwa na kizazi cha waandishi wa habari, TAKAMWILI.


Indonesia
Mkunde retweetledi

Changamoto za vijana zinazotajwa hapa na WAZIRI MHAMASISHAI zinaendana kabisa na identity yake ya “MOTIVATIONAL SPEAKER.”
“Malezi bora, madawa ya kulevya, mkumbo rika, matumizi yasiyo sahihi ya mitandao ya kijamii, tatizo la afya ya akili” ni aina ya changamoto za kwenye vitabu vya SELF-HELP.
Lakini je, hizi ndio changamoto halisi za vijana Tanzania?
Leo tuna vijana milioni 30 mtaani wasiokuwa na ajira rasmi. Hizi ndio changamoto zao?
Zipo wapi changamoto systemic ambazo zipo wazi kabisa, zikiwemo:
1. uchumi usiozalisha ajira,
2. elimu ya hovyo isiyozalisha rasilimali watu wanaoendana na mahitaji ya soko,
3. ukosefu wa viatamishi ujuzi na elimu nje ya mfumo rasmi,
4. rate ndogo kabisa ya ruzuku kwa shughuli za vijana,
5. miradi ya zimamoto kama ile ya BBT inayoibuliwa na kutekelezwa kwa malengo ya kisiasa bila kujali mahitaji halisi ya vijana,
6. kukosekana kwa uwajibikaji na matumizi ya hovyo ya serikali yasiyoyapa kipaumbele mahitaji ya vijana,
7. uhovyo wa kisera unaowageuza vijana kuwa wahanga wa virusi kama vile utapeli wa madhabahu, uraibu wa kamari, na uholela wa matumizi ya pombe kali,
8. uongozi wa kimabavu unaokataza vijana kupaza sauti na kulalamika kuhusu hali zao+++++
??????????????
Note: Tuna vijana zaidi ya milioni 2 wanaoingia kwenye soko la ajira kila mwaka na population yao inakua kwa rate ya 3% per year.
Be warned!
Indonesia

@EduTalkTz Labda vunja kiba na hasheem wamejiita mungu siku hizi
Indonesia

@EduTalkTz Wamewapa ubunge waache wawaburuze. Silver platter ubunge una nguzo zake
Filipino

@MariaSTsehai Usisahau kila.mjumbe kapata lumpsum si chini ya mil 120 na LC300 landcruiser mpya na dereva
Filipino

🙄 Ila nyie! Ina maana miezi 4-5 walikuwa bize wanapokea simu na sms hizi 56k
We are not serious as a country tukipokea mambo haya kama ilivyo!
Alafu hao waliojaza anonymous mbona hamjatushtua tungesaidia kujaza 😁
Sijui wanatuonaje ila hii ndo classic case ya kupiga sarakasi umevaa taulo 🤣
#TutaelewanaTu
#SamiaMustGo


Indonesia

KUNA ISSUE MOJA DEADLY AMENITUMIA MDAU
TUNATEKWA, KUTESHWA, KUUWAWA NA CHAGUZI KUCHEZEWA SABABU HII NCHI INAWAMILIKI WAMETUPORA NCHI
======= MESSAGE RECEIVED ==========
TAIFA GAS NA PAN AFRICA
Ngoja nikitulia nitakusimulia kilichofanyika nyuma ya pazia kikihusisha Aziz, January, Biteko na baadae mwenyekiti wa bodi ya Taneso ambaye sasa ni waziri wa ulinzi, Ni hujuma mbaya sana
Mwaka 2021 baada ya Makamba kuchukua nishati, RA aliamua kumkamata na wakapanga game kama ifuatavyo
Mkataba wa Pan Africa energy ambayo inamilikiwa na Pan Africa Mauritius(PAEM) ullikuwa unafika mwisho October 2026. Kulingana na Mkataba huo uliotiwa sahihi mwaka 2002, Pan Africa Energy walikuwa wanaruhusiwa kuomba extension ya leseni kwa kipindi kingine cha miaka 10 au zaidi kulingana na mahitaji
Hivyo April 2022 Pan Africa wakaomba licence renewal kulingana na mkataba na sheria....Waziri ndiye mwenye mamlaka ya kutoa leseni baada ya kushauriana na TPDC, Ewura na hata PURA yaani Petroleum Upstreaam Regulatory Authority
Waziri kwa sababu tayari alishapangwa na RA akaanza dana dana. Wakati huo huo, Songas ambayo ni kampuni ya kufua Umeme unaotokana na gesi ya Songosongo na yenyewe mkataba wa kuuzs Umeme ulikua unafikia ukomo July 31 saa tano dk 59 usiku 2024
Kati kati ya hili sakata Tanesco ikapata bodi mpya chini ya Ramo Nyansao kama mwenyekiti(kwa sasa waziri wa ulinzi na ofisa wa TISS).
Nyansao akiwa banker pale Azania kafanya deals kibao na RA. Hivyo alipoingia Tanesco kila weeekend alikuwa anashinda nyumbani kwa RA...akaahidiwa ukatibu mkuu Fedha au Ugavana lakini naye ahakikishe hakuna Tanesco kutoa tena mkataba wa kununua umeme kwa Songas!
Kumbuka Songas inamilikiwa na Pan African energy kwa asilimia 51 na 49 asilimia ni serikali kupitia TPDC na Tanesco!
Sasa unakataa kutoa PPA mpya kwa shirika ambalo serikali ni mbia kisa unafanya frustration baadae RA anakuja kuchukua usukani na atapewa mkataba mpya wa kuuza umeme na leseni ya kuchimna gesi kwa miaka 20@
Kweli serikali ikaunda GNT(government negotiations team) August 2024 na kuanza mazungumzo na Songas kuhusu mkataba mpya wq kuuza umeme Tanesco(PPA) na baada ya miezi mitatu makubaliano yakafikiwa kwa bei ya chini sana.
Lakini RA alishakamata Mwenyekiti wa Bodi ya Tanesco na wizara ya Nishati, hatimaye Tanesco wakadai wana umeme wa kutosha hivyo hawahitaji tena Songas... sababu ni JNHPP
Hata alipoondoka Makamba akaja Biteko ambaye tayari alikuwa na dealings na Azizi kwenye madini, hali ikawa mbaya zaidi kwa Pan Africa na Songad
Wakati Tanesco wanadai wana umeme wa kutosha, walianzisha miradi kama minne ya zaidi ya usd 600m ya kuzalisha umeme kwa gesi!
Baada ya serikali kupata taarifa hii ya kutaka kushtakiwa na ORCA, wakaanzisha mazungumzo na Pan Africa kujaribu kutatua tatizo la ucheleweshaji wa uhuishaji wa leseni....mazungumzo yakagota Dece 2024
Kisha TPDC wakajifanya kukubali kutoa huisho la leseni lakini kwa masharti ambayo Pan Africa Energy akayakataa kwa sababu hayatekelezeki
Wakati huo serikali haikuwa na habari kama hawa jamaa tayari wana taarifa kwamba nyuma ya kadhia yao yote yupo RA.
Mwaka jana 2025 Ocra akafungua kesi kwenye kituo cha usuluhishi wa migogoro ya Kibiashara cha WB ICSID
Kesi ile kitaalamu serikali ilikuwa haichomoki hata kidogo kulingana na ushahidi wa kitaalamu waliokuwa nao Pan Africa
Wakati kesi inasubiriwa, Pan Africa wakaamua kufuata usemi wa mchawi mpe mwanao amlee, wakatumia nguvu ya tatu na kumpa RA deal la kununua. Akajaa, Pan Africa wakaona kuliko kusumbuana na Tanzania na mazingira ya kisiasa hayatabiriki kwa uwekezaji mkubwa kama ule, bora wauze
Na ukisoma taarifa ya juzi kwa umakini utaona ni kama wanasema Tanzania kwa sasa gharama ya kuwekeza ni kubwa mno kwa sababu za kisiasa na fitina
Kwa Tanzania IMMMA ndio walikuwa washauri wa kisheria wa Pan Africa...
Kwq hiyo Pan Africa amelazimishwa kuuza assets zake Tanzania kwa sababu ya siasa mbaya, rushwa na figisu za watendaji wa serikali
Hatua hii haipeleko picha nzuri kwa wawekezaji wa kimataifa ambao walitaka kuweka dola bilioni 40 kwenye LNG
Ilianza figisu kubwa kupitia kwa akina Zitto ambaye alikuwa ni Swahiba wa January na RA, kwamba Pan Africa haikuweka mtaji wowote Tanzania wakati...na kwamba pesa yote ya mtaji ilitoka serikalini. Huo ni UONGO
Serikali ya Tanzania kupitia kampuni yake ya Tanzania Finance Ltd ilikopa mkopo wa riba nafuu kwa nchi za Ulaya mwaka 2001, kisha na yenyewe ikaikopesha Pan African Energy kwa riba ya kuu kidogo na deni lilikuwa likilipwa kila mwezi. Pale Tanesco ilipofanya malipo kwa Pan Africa ya kununua Umeme, sehemu ya malipo ilikwenda hazina kulipa mkopo.
Wote hawa akina dalali walikuwa wameandaliwa kimkakati
Sina uhakika kama Jumba jeupe wanajua kilichofanyika lakini mimi kama mtu ambaye ni mtaalamu wa FInance na ni Mwanasheria nilikuwa kwenye kitovu cha jambo hili tangu 2002
Sasa RA hajui kwamba hawa wawekezaji walijua mapema sana kwamba kukwama kwao hapa Tanzania kulichangiwa na yeye. Kwa sababu alitaka jamaa mkataba ukiisha, yeye na wenzake waingie kati
Lakini baada ya kuona serikali itapigwa kwenye mahakama ya Kimataifa, kuna mtu mmoja akatoa ushauri kwamba Aziz akubali kuchukua assets hizo kisha zile kesi zitakufa mara moja
======== End of Message ========
Ndio mjue tuko kwenye shimo na hii taasisi inaitwa TISS ni tatizo kubwa sana, matatizo yetu yote yanaanza kwenye hii taasisi, kila tatizo wana mkono ndani yake




Indonesia




