C.H.I.Z.I K.I.C.H.I.Z.I

2.4K posts

C.H.I.Z.I K.I.C.H.I.Z.I banner
C.H.I.Z.I K.I.C.H.I.Z.I

C.H.I.Z.I K.I.C.H.I.Z.I

@fragea30

Never loose hope.............. 💧💧💧💧💧💧💧 Professional in Water quality laboratory technician...... Keep water safe.....

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Kasım 2013
1.5K Takip Edilen1.6K Takipçiler
Movie Plug🎬
Movie Plug🎬@MoviePlugHQ·
Nani kati ya hawa unadhani anateseka zaidi kwenye mahusiano? A. Kipofu B. Kiziwi C. Kiwete D. Bubu
Indonesia
13
6
54
2.4K
BeLINDA
BeLINDA@belindaPINDA01·
BILA KUCHOKA 😭😭😭 BILA KUCHOKA YA MAUMIVU MAKALI💔 Nilipata changamoto kwenye maandamano nilipoteza simu, nililazwa na jana ndio nimerudi nyumbani, Uchumi, afya sio vizuri kbsa Apa nimeazima simu kuwajulisha bado niko hai na storudi nyuma @Sativa255 @MiriamMkanaka
Indonesia
297
395
1.7K
121.6K
SATIVA
SATIVA@Sativa255·
Samia anatataka nchi nzima iwe MAJIVU. Na sisi tupo tayari kwa hilo kama litamfanya ATOKE MADARAKANI. Sisi wananchi na JESHI LA WANANCHI KESHO TUNAELEKEA IKULU NA MABANGO YA "SAMIA MUST GO". #MO29
Filipino
29
119
552
26.8K
ЄƦ30
ЄƦ30@ercurry_·
Nikiuza karanga kwa miezi mingapi nanunua nanunua hii?
ЄƦ30 tweet media
Indonesia
10
9
24
701
C.H.I.Z.I K.I.C.H.I.Z.I
C.H.I.Z.I K.I.C.H.I.Z.I@fragea30·
SASA KITU ALIKIPATIA MUNGU YA NINI KUNYIMANA.. TUNYIMANE HELA TUNAZOTAFUTA KWA JASHO, ILA SIO TULIVOPEWA NA MUNGU
Indonesia
0
0
0
86
Swed Junior
Swed Junior@Kingvannytz_·
Ukipata mrembo kama huyu utahitaji nini kingine ?
Swed Junior tweet media
Indonesia
27
4
37
3K
C.H.I.Z.I K.I.C.H.I.Z.I
C.H.I.Z.I K.I.C.H.I.Z.I@fragea30·
@NshomileOg Hapo athari ni moja tu... N kuhusu maji unayotumia kuosha hzo nyanya na vitu vyote hakikisha tu ni safi na salama.. Husababisha sana typhoid... So kuwa msafi tu
Filipino
1
0
2
153
𝐑 𝐚 𝐝 𝐢 𝐮 𝐬
Wadau, nauliza kama kuna athari za kiafya kula kachumbali yenye nyanya, kitunguu na pilipili nyingi kila siku? Nimejikuta napenda sana hivi vitu, lakini je, kuna chochote cha kuzingatia kiafya?
𝐑 𝐚 𝐝 𝐢 𝐮 𝐬 tweet media
Indonesia
18
3
42
4.4K
De Caprado
De Caprado@BilaliIsack·
@fbuyobe Telegram imenitenda last month Mzigo umeenda hivi2 nimeshindwa kujiunga
Română
1
0
3
1.3K
Fortunatus Buyobe
Fortunatus Buyobe@fbuyobe·
Anaonekana mwanaume mrefu mwenye kifua kipana akitembea kwenye mgahawa wa Kizingo Beach Eco Lodge uliopo kisiwa cha Lamu nchini Kenya Nywele za mwanaume huyu zimefungwa kwa matuta makubwa ya dredi. Rastafarian huyu ameambatana na binti yake wa kizungu.
Fortunatus Buyobe tweet media
Filipino
33
138
1.3K
208.3K
Salome_kipenzi
Salome_kipenzi@mapenzi_live·
Gesi imekataa kuzimika hapa unafanyaje Kama njia mbadala?
Salome_kipenzi tweet media
Indonesia
4
0
4
252
Red🦋
Red🦋@Lilianmbuya2·
@fragea30 Kwahiyo kila siku mtu unq stress?
Filipino
2
0
0
20
Red🦋
Red🦋@Lilianmbuya2·
Ivi mtu kutokupata usingizi haraka inasababishwa na nini?na suluhisho ni nini?
Indonesia
4
2
13
582
C.H.I.Z.I K.I.C.H.I.Z.I
C.H.I.Z.I K.I.C.H.I.Z.I@fragea30·
9. Kutotulia kimwili au kiakili (Hyperactivity) – Hali ya msisimko wa mwili au akili inaweza kumzuia mtu kupumzika. 10. Matatizo ya kimapenzi au kifamilia – Migogoro ya kihisia na watu wa karibu inaweza kumfanya mtu kushindwa kulala. ................. MWISHO.................
Indonesia
0
0
0
35
C.H.I.Z.I K.I.C.H.I.Z.I
C.H.I.Z.I K.I.C.H.I.Z.I@fragea30·
7. Kubadilika kwa muda wa saa ya mwili – Kufanya kazi za zamu au kusafiri katika maeneo yenye tofauti ya wakati kunaweza kuvuruga ratiba ya usingizi. 8. Kula chakula kizito usiku – Kula kabla ya kulala kunaweza kuleta kiungulia au usumbufu wa tumbo unaozuia usingizi.
Indonesia
1
0
0
39
C.H.I.Z.I K.I.C.H.I.Z.I
C.H.I.Z.I K.I.C.H.I.Z.I@fragea30·
SABABU 10 ZINAZOWEZA KUMFANYA MTU ASIWEZE KULALA KWA MUDA NI... 🧵🧵🧵 1. Msongo wa mawazo (Stress) – Watu wengi hushindwa kulala wanapokuwa na mawazo mengi au matatizo. 2. Hofu au wasiwasi (Anxiety) – Wasiwasi kuhusu maisha au hali fulani inaweza kuzuia usingizi.
Indonesia
1
0
0
119