Chalii

5.6K posts

Chalii

Chalii

@furedii

Arusha, Tanzania Katılım Aralık 2012
1.9K Takip Edilen380 Takipçiler
Chalii
Chalii@furedii·
@cw_pedro Rasilimali za umma zilitumika bure. Tume ilikuwa na pingu. Ilipewa mtihani wenye majibu tayari. Na kwa muundo ule wa tume na wajumbe wale hakuna ajabu lolote lingeweza kutokea maana wasingeweza kuruka mpaka. Simple tu watu wapigwa risasi majumbani IJP yupo kwenye Kiti, miezi 6
Indonesia
1
0
0
30
CWPedro
CWPedro@cw_pedro·
Tume haijamsaidia sana Rais wetu:
CWPedro tweet media
Eesti
8
3
79
2K
Chalii
Chalii@furedii·
@PabloYende Hatari sana 2008 ilinikuta Karatu aisee na hela nikatoa na room nikalipia nilichoambulia ni Zero. Miraaa ni ukuda sanaaaa. Nilipata bonge la hasara
Filipino
0
0
2
435
PABLO
PABLO@PabloYende·
Mirungi inakupambisha utafute Demu ukiwa Handasi Ukisha mpata inakaa pembeni ikuchekeeee 🤠🤠🤠
Indonesia
30
36
380
17.7K
Chalii
Chalii@furedii·
@cw_pedro Ameshindwa kwenda na Steps hasa hili jambo la Wese kupanda. Taasisi za Serikali zimeshindwa kusomana kwenye jambo la mafuta? EWURA anatoa mkeka wa kupanda Kwa mafuta bila kuwatonya taasisi zingine kama LATRA na kusabisha mauza uza ya usafiri nchi nzima?
Indonesia
2
0
7
2.1K
CWPedro
CWPedro@cw_pedro·
Mume wa Dr Tulia Ackson naye KAFYEKWA pale EWURA. Hii ni vita ya kifamilia?
Indonesia
10
11
341
18.1K
Chalii
Chalii@furedii·
@cw_pedro Kuna kisa ya 1.5 trillion, ilibidi Professor Assad aondolewe kinyume Cha utaratibu
Indonesia
1
0
0
14
CWPedro
CWPedro@cw_pedro·
Haujaiona Hotel ya Lukuvi kaka @kitilam ? Amekuwa waziri serikalini miaka kadhaa. Na hiyo ni moja tu kati ya miradi mingi aliyokuwa nayo.
CWPedro tweet media
हिन्दी
6
1
23
2K
Chalii
Chalii@furedii·
@cw_pedro Na kile kitu kilichoitwa kuunga juhudi
Eesti
0
0
0
17
Chalii
Chalii@furedii·
@mackphason Muasisi wa Uchawa, Uvunjaji wa Katiba,. Kuzima vyama mbadala
0
2
3
595
Chalii
Chalii@furedii·
@mshana76 @EsirEid Daah Mto Ngono , Kata Kitobo - Missenyi. Umenikumbusha mbali🤣🤣
Indonesia
1
0
1
41
kinduru
kinduru@mshana76·
@EsirEid Tunakuwlewa Mwarabu na mwislam wa mto ngono pale Kagera
Indonesia
4
0
6
349
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Iran si dhaifu kama watu wanavyofikiria. Maafisa wakuu wanapouawa: mfumo unaendelea kusonga mbele. Wamejenga mipango ya urithi wa uongozi hadi ngazi ya Saba kwa kina. Kila nafasi muhimu tayari ina watu Saba wa kuchukua nafasi hiyo. Haya yote yamepangwa mapema kwa sababu mwendelezo wa uongozi umejengwa ndani ya mfumo wenyewe. Hata kupoteza viongozi hakuvunji muundo wa mfumo. Badala yake, wanaamsha ngazi inayofuata. Hiyo ndiyo maana halisi ya Resistance. Hebu fikiria hadi kufikia leo Mawaziri na wanajeshi wakuu wangapi wameuawa,hata kabla ya hii Vita? Mwaka jana walipoteza hadi Rais wao hawa kwa ajali ya ndege😅 ila IRAN ipo tu! Mtu akishateuliwa Cheo chochote kile Tayari anajua muda wowote atauawa…
Indonesia
55
13
151
9.2K
S W E B E 👷‍♂️
S W E B E 👷‍♂️@SWEBE_10·
Nani anataka hiki ki 3 bedrooms hapa nimpatie akajenge. 😁
S W E B E 👷‍♂️ tweet media
हिन्दी
57
91
621
26K
Chalii retweetledi
MEKU
MEKU@Meku_255·
Nilianza kuwa na adabu Ile siku niliyoona engine ya Benz ikiwa imebebwa kwenye mkokoteni inaenda kuuzwa kama skrepa. Niliogopa pale msiba wa yule tajiri kaburi lake kuchimbwa na wale vijana wanaoitwa wezi na masela wa mtaani. Maisha yakikupa ukubwa, chagua kuwa humble.🙏
Indonesia
12
42
174
5.8K
Eng.Benjamin
Eng.Benjamin@nyalut23·
HIDDEN ROOF 3 BEDROOM HOUSE DETAILS ✍️ 1. 3 Bedroom (1Master, 2Plain) 2. Sitting room 3. Dining 4. Kitchen 5. Store 6. Public toilet Bati 64 Block 3900 Welcome 👇👇👇 wa.me/c/255746122023
Eng.Benjamin tweet mediaEng.Benjamin tweet mediaEng.Benjamin tweet media
English
5
10
17
9.1K
CWPedro
CWPedro@cw_pedro·
Semeni MAZURI yooote kumhusu Polycarp Cardinal Pengo. Lakini kwa namna alivyosimama kidete, wima, kwa kunyooka na Magufuli akiibomoa DEMOCRASIA CHANGA ya NCHI hii tuliokuwa tumeanza kuijenga na sasa hapa ndipo tulipo, moyo unanigomea kumsamehe. Niacheni tu.
CWPedro tweet media
Indonesia
29
17
147
10.5K
Chalii retweetledi
Eng.Benjamin
Eng.Benjamin@nyalut23·
UNAITAKA HII 2 BEDROOM 🏡 👇👇👇 DETAILS ✍️ 1. 2 Bedroom (1Master, 2Plain) 2. Large sitting room 3. Open Kitchen 4. Public toilet Bati 30 Block 2700 Kiwanja 10x15m 👇👇 Njoo nikupe ramani yake kali. View our catalog on WhatsApp: wa.me/c/255746122023
Eng.Benjamin tweet mediaEng.Benjamin tweet media
Eesti
0
3
9
7.2K
Latto 𝕏
Latto 𝕏@Rydx_017·
Kama unatumia Mobile money, ficha sana number yako ya NIDA, just imagine mtu anaweza badili number yako ya siri akiwa na number yako ya NIDA kwenye Airtel Money! This whole week, mdogo angu amekuwa akiwa analalamika kulipa deni lisoisha TIMIZA, Then anakuja kugundua somebody has been changing his Pasword then anakopa Hela na kujitumia kisha kufuta messages 😂😂🙆‍♂️
Filipino
46
41
635
53K
Chalii
Chalii@furedii·
@Rydx_017 Airtel money ni wapuuzi sana katika suala la password yoyote anaweza badilisha na akachukua hela bila hata NIDA. MATAKO YAO ilishanipa hii.
Indonesia
0
0
1
53
Chalii
Chalii@furedii·
@SportsarenatzTz Ligi yetu Ina timu dhaifu zaidi ya asilimia 75. Ukitaka kuthibitisha Hilo angalia points walizonazo na wengine wameshamaliza raundi ya kwanza. Simba, Yanga, Azam na Sasa Singida zinajipambania zenyewe kufika hapo walipo. Ila siyo Kwa sababu ya timu IMARA za kwenye ligi
Indonesia
0
0
1
683
SportsArenaTz
SportsArenaTz@SportsarenatzTz·
💬 “Sikumuona Aziz Ki akiwika Morocco kama ilivyokuwa hapa. Mpira wa Waarabu una mahitaji mengi ndani na nje ya uwanja. Unahitaji nidhamu ya hali ya juu kuliko mpira wetu ambao umekusanya timu nyingi dhaifu. Mfano ni kama ulivyowaona Far Rabat waliocheza na Yanga wikiendi iliyopita. Ni mwendo wa mpira wa kasi na mbio nyingi. Mpira unachezwa katika 'tempo' ya hali ya juu. Aziz ni mchezaji wa matukio zaidi.” — Edo Kumwembe.
SportsArenaTz tweet mediaSportsArenaTz tweet media
Indonesia
27
31
899
54.8K
Chalii
Chalii@furedii·
@KapingaMashaka @SportsarenatzTz Ukitaka kujua udhaifu wa timu zetu nenda kwenye jedwali la alama. Timu zinakaribia kumaliza mzunguko wa kwanza mechi 15 hakuna iliyofikisha alama 30 kati ya 45 itajika. Na nyingi wamecheza Wao Kwa Wao.
Indonesia
0
0
0
62
Chalii
Chalii@furedii·
@MarekaMalili Habibu na Crew yake. Na inavuta pesa ndefu kutoka Kwa mazwazwa. Na wanapeleka feedback pesa itoke nyingi zaidi na wanajipongeza kabisa
Indonesia
0
0
1
218
Chalii
Chalii@furedii·
@MarekaMalili Hakika sana Inatia kinyaaa balaaa. Hata kama ni Uchawa siyo Kwa kiwango hiki
Filipino
0
1
6
534