MoonRose

20.7K posts

MoonRose banner
MoonRose

MoonRose

@glorynnah

Kibaha Katılım Ekim 2010
1.4K Takip Edilen3.5K Takipçiler
MoonRose
MoonRose@glorynnah·
@OnlineDentistTz Hizo cancer na magonjwa yasiyojulikana madaktare kazi mnayo Kwanini watu hawataki uzee
Indonesia
0
0
0
15
Salés Nicco
Salés Nicco@OnlineDentistTz·
Final look is IRRELEVANT Although it is not that impressive to begin with. This procedure should be done under sterile conditions, the way this woman (i dont believe she is a doctor) handles the sterility tells me she puts patients lives at risk for money. Major red flag.
Big baby🌸@lizzyjollof

All the way from London to Calabar to do face lift. She’s really looking 10 years younger.😌🤭 The way the poster is hyping mummy ehn! What do you think of the final look?

English
1
0
2
484
MoonRose retweetledi
Malafyale
Malafyale@MwansasuSnr·
Haya ndio mambo ya Wanaume kuambiana sio ya kuitana kwenye Vikao vya kuambiana uduanzi. 📌
Indonesia
22
185
669
54.4K
MoonRose retweetledi
Black
Black@LilithBlack25·
Our priority should be making politics unprofitable
English
246
11.8K
37.9K
319.7K
MoonRose retweetledi
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Kuna kitu kinaitwa routines,nidhamu ya kufanya mambo sahihi kila siku,hata kama hujisikii. Hakikisha unaweka kwenye ratiba yako yale yanayokujenga kimwili,kiakili na kinafsi. Maana ukweli ni huu,matokeo hayawezi kudanganya, yanaakisi kile unachofanya kwa uthabiti kila siku.🤛🏼🙏🏼
Indonesia
12
84
303
4K
MoonRose retweetledi
Mariam
Mariam@Maryftaddoh·
Fun fact: Men can cause BV if they’re not clean and their semen can destroy the vagina PH. So hata ukienda hospital if a man you’re dealing with hajisafishi vizuri utapata BV milele na milele some cases harufu ya kisamaki gets bad hata kutoka out ni shida.
English
2
3
6
512
MoonRose retweetledi
Dada Conso 🐺
Dada Conso 🐺@DadaConso·
Kama hujashauriwa na daktari, achana kwanza na kubugia supplements. Kula matunda, balance your diet, hydrate, rest well, stay away from stressing situations and a bit of workout can go a long way. 😊 Otherwise you will just be peeing some expensive urine.. 🫵🏿
English
4
12
51
1.9K
MoonRose retweetledi
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Nimewahi kunyeshewa mvua kali, na leo nimepigwa jua kali, ukiniuliza kati ya mvua na jua bora nini, I recommend GARI.
Filipino
44
111
1K
29.1K
MoonRose retweetledi
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
JWTZ imetangaza nafasi ya kujiunga na jeshi kuanzia elimu ya Sekondari hadi Elimu ya juu, kwa wale wa Elimu ya kidato cha nne hadi sita usiwe umezidi miaka 25 na kwa elimu ya juu usizidi miaka 28. Vigezo vingine ni vilevile na pia lazima uwe umepita JKT Kazi kwenu sasa
Indonesia
25
43
410
16.3K
MoonRose
MoonRose@glorynnah·
@LuhambaI Wakuja na kuondoka wengi wadokozi kianzia vyombo, nguo na chakula
Suomi
1
0
1
23
Luhamba II
Luhamba II@LuhambaI·
Pia Mimi nadhani kununua gadgets kama washing machine, hizo pressure, rice cookers, steamers, air fryers zinapunguza sana haja ya house girls. Pia kama itakua lazima, basi tafuta mtu wa kuja asubuhi na kuondoka jioni.
Kibayasi FS 🇹🇿@Hon_KibayasiF

Ladies: Mnapoishi na Wadada wenu wa kazi kuweni nao makini. Jirani leo naona anamsafirisha Binti wake wa kazi. Binti tangu kaja ana wiki 1 tuu. Jirani kanisimulia kuwa kila siku asubuhi anatumia dakika 15-30 kumgongea ili kumuamsha Binti wake wa kazi. 👇

Filipino
3
1
7
386
MoonRose retweetledi
MOTASE
MOTASE@TheRealMotase·
Narcissists want peace, but the peace they demand is your silence while they misbehave. That is what real peace means to them.
English
71
731
2.5K
54.2K
MoonRose retweetledi
سيدة
سيدة@Ajoke__xx·
Now I understand why older people are calmer… after you’ve died enough times inside, you learn to breathe, let go, and simply be.
English
118
10.4K
43K
593.3K
MoonRose retweetledi
Mohammed Jammal
Mohammed Jammal@whitenigerian·
Kids want more dad time. Wife wants more husband time. Parents want more son time. Work wants more of your time. And you still show up. Shoutout to the men doing it all. 🙌
English
94
6.2K
28.7K
630.5K
MoonRose retweetledi
Mudi Mabiriani in Dubai
Mudi Mabiriani in Dubai@Mudimabiriani·
🎯MWALIMU wa SHULE Hizi ni email official za mostly za shule za hapa Dubai na vitongoji vyake kama unatafuta kazi za kufundisha hapa Dubai Dondosha Cv upate Ajira United Arab of Emirates 🇦🇪 NB:Kabla ya kutuma CV muombe mungu na iombee CV yako Sir GOD akupe shavu
Mudi Mabiriani in Dubai tweet mediaMudi Mabiriani in Dubai tweet mediaMudi Mabiriani in Dubai tweet media
5
41
150
6.7K
MoonRose retweetledi
Allan Lucky (Host: Klub A-Z Podcast)
Wataalamu na mamlaka zinazohusika na biashara, viwango na kodi... mna uwezo mkubwa wa kubuni na kutekeleza mipango madhubuti ya kusaidia biashara ndogo ndogo na zinazoanza kukua hadi kufikia hatua ya kulipa kodi kwa ufanisi na kwa wakati, bila changamoto. Uwezo huo mnao; kinachokosekana ni nia. Kila anayefungua biashara huwa na lengo la kukua kwa haraka iwezekanavyo. Hata hivyo, uhalisia ni kwamba biashara nyingi huanza kupata faida baada ya muda mrefu... mara nyingi kati ya miaka 5 hadi 10. Kabla ya hapo, juhudi kubwa huwa ni kuijenga biashara yenyewe ili isimame. Kwa nini basi msiweke utaratibu wa kuwasaidia wafanyabiashara wapya na wadogo... kwa vigezo mtakavyoona vinafaa... kuanzisha biashara zao na kupata vibali vyote muhimu bila gharama za awali? Badala yake, mkawapa usajili rasmi pamoja na elimu ya uendeshaji wa biashara na ulipaji kodi kwa kipindi cha mwaka mmoja au miwili. Baada ya hapo, ndipo waingizwe rasmi kwenye mfumo wa ulipaji kodi na taratibu nyingine za kiserikali kulingana na aina ya biashara zao. Hali ilivyo sasa, mfanyabiashara mdogo analazimika kugawanya nguvu kati ya kutafuta mtaji wa kuendesha biashara na wakati huohuo kukabiliana na gharama za kodi, leseni na vibali mbalimbali. Hii inamfanya apoteze muda mwingi kufuatilia taratibu badala ya kuwekeza nguvu katika kuboresha na kukuza biashara yake. Tukijenga mifumo rafiki na yenye kueleweka, hatutaongeza tu idadi ya walipakodi, bali pia tutaongeza walipakodi wanaolipa kwa hiari na kwa uelewa, si kwa shuruti. Nina hakika kabisa kwamba wataalamu mna ujuzi na mbinu nyingi bora zinazoweza kusaidia bila kuathiri uchumi wa nchi. Tatizo si uwezo... tatizo ni ukosefu wa nia na kuendelea kushikilia mifumo ya zamani isiyoendana na uhalisia wa biashara za sasa.
Indonesia
3
12
44
2.8K
🤠
🤠@_edy03·
@joharimshana Kwa hiyo mama ndio ana msapoti kwenye umalaya?
Filipino
2
0
2
3.5K
Johari Mshana
Johari Mshana@joharimshana·
Watu wa X, Mnapenda mambo makubwa 😂 nimewaona kwenye video hapo chini wote, mnaitana mpaka DM kwasababu ya huyu binti 😂. Jaman huyu ni binti mdogo 😂 ila nimeona hapo mmesema yuko kwenye GSM family, hapana bali alizaa na mfanyakazi wa kutoka GSM aliingia kingi binti wa watu akihisi ni family member!! Hata hiyo G wagon ni ya mama yake, Mama yake ndio well wealth na hata surgery pia kalipiwa na Mama yake! Shida moja ni mtoto wa mjini sanaa ila sio wa kuhongwa hela maparachichi 😂 kazi kwenu mlioitana DM 😂!
Johari Mshana tweet mediaJohari Mshana tweet mediaJohari Mshana tweet media
Indonesia
9
15
160
33K