CPA harison

48 posts

CPA harison

CPA harison

@harison_derulo

Accountant by professional

Dar es salaam Katılım Nisan 2022
98 Takip Edilen5 Takipçiler
chuga girl❣️
chuga girl❣️@Lizzie36021·
Kama huna mpenzi sema “hellow 😀
Indonesia
25
3
69
3.3K
CPA harison
CPA harison@harison_derulo·
@zittokabwe @ACTwazalendo @AdoShaibu Wewe huitaji mabadiliko unaisapoti CCM ila unajificha nyuma ya ACT... Unajua kabsa huna huwezo wakushinda ata nafasi Moja Kwa kura za watanzania... Pambania chakula chako mzee na viti vya uteuzi tu... Hatipigi kura na utasikia kapita Kwa kishindo Tz tunaishi tu @HecheJohn
Indonesia
0
0
1
201
CPA harison
CPA harison@harison_derulo·
@millardayo Hii nchi kila mtu ni mnafiki na anamasilahi yake binafsi... Mwanzoni wahislamu walioji inawezekanaje kuongozwa na mwanamke tena dini ya islamic maneno yakaanza ila leo eti ndio hao hao wanakaa chini kuomba Dua... Mtanzania mpe chakula atanyamaza tu ni njaa zinasumbua
Indonesia
0
0
1
619
millardayo
millardayo@millardayo·
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelitaka Jeshi la Magereza, Mamlaka husika na vyombo vya dola kutoa taarifa wazi na za haraka kwa umma kuhusu mahali alipopelekwa Tundu Lissu wakisema wamepewa taarifa kuwa gerezani hayupo. Taarifa iliyotolewa leo Aprili 18, 2025 na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa CHADEMA, Brenda Rupia imesema “Leo ljumaa, Aprili 18, 2025, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Wakili Ali Ibrahim Juma, Mawakili, Familia na Wanachama kwa nyakati tofauti, wamefika katika Gereza la Keko ambapo Mwenyekiti wa Chadema, Mheshimiwa Tundu Lissu anashikiliwa” “Hata hivyo, juhudi zao za kumuona Lissu hazikufanikiwa baada ya kuelezwa kuwa hayupo katika gereza hilo, cha kusikitisha, hawakupewa maelezo yoyote rasmi juu ya alipopelekwa” “CHADEMA tunalitaka Jeshi la Magereza, mamlaka husika na vyombo vya dola kutoa taarifa wazi na za haraka kwa umma kuhusu mahali alipopelekwa , Tundu Lissu, iwapp bado anashikiliwa katika Gereza la Keko, ni haki ya familia, viongozi na wanachama kumuona ni haki ya msingi ya kibinadamu na kikatiba” #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Indonesia
112
237
2.1K
97.8K
CPA harison
CPA harison@harison_derulo·
@eastafricatv Kwa idadi ya comment inamaanisha CHADEMA ndio chama Bora apa ila hakindio huwa haitendeki.. ndio mana vyombo vya habari vya taifa haisemi vizuri vya CHADEMA ila usema maovu na kukipamba chama tawala ili kupumbaza watanzania wasio jua Siasa na haki zao.
Indonesia
0
0
3
877
EastAfricaTV
EastAfricaTV@eastafricatv·
Unakikubali chama gani cha siasa nchini? Maoni yako yatasomwa LIVE kwenye EATV SAA1 na JOHN LUPOKELA EATV SAA1 Kila Jumatatu – Ijumaa 1: 00 – 2:00 Usiku Tunapatikina LIVE katika mitandao yetu ya kijamiii kwa anwani ya #EastAfricaTV #EATVSAA1 #UtajiriWaHabari
EastAfricaTV tweet media
Indonesia
573
45
824
141.5K
CPA harison
CPA harison@harison_derulo·
@anuskills3 Mwangu kumbe na ww ulipelekwa... Sasa mm nilipofika niliwakuta njee wamejianika naniii..... Nikajua nijoto tu la dar mwishoni ndio mwamba ananiambia kama unabuku mbili chagua sehum tu. Unaingia😁😁
Indonesia
0
0
1
177
CPA harison
CPA harison@harison_derulo·
Bro. Dem hanaye post picha za makalio sio Materiality, we piga utuachie na sisi pia, tuwachie mwenzetu.
Polski
0
0
0
2
CPA harison
CPA harison@harison_derulo·
@fumbokhanJr Wasomi wa zamani walikuwa watumwa wa mwingereza... Kizazi Cha saivi ata Elimu yenyewe haitusaidii tena...
Indonesia
0
0
0
63
Fumbo Khan
Fumbo Khan@fumbokhanJr·
Huu ni Ukweli Mchungu mtu kamaliza Degree kabisa lakini hawezi kuongea sentence moja iliyo nyooka kwa kingereza, Sijui kwanini aise?
Fumbo Khan tweet media
Indonesia
186
42
1.1K
74.1K
CPA harison
CPA harison@harison_derulo·
@RahmaMwita Wenye degree, masters na PHD ndio wanachangia kupoteza hii nchi kabsa.. Elimu zao hazisaidii kwenye maendeleo ya nchi yetu.. Bora tubaki na wabunge wa lasaba wenye akili ya maendeleo...
Filipino
0
0
0
8
Rahuuuum
Rahuuuum@RahmaMwita·
Tuseme ukweli tuu jamani wabunge wawe na Degree au Diploma ama tubaki na hawa wa Darasa la Saba.
Rahuuuum tweet media
Filipino
198
41
1.1K
82.9K
CPA harison
CPA harison@harison_derulo·
@millardayo Hii haipo sawa kabsa... Mkutano mkuu wa wanaume unazinduliwaje na mwanamke... @CWWT
Indonesia
0
0
0
16
millardayo
millardayo@millardayo·
Umoja wa Wanaume Tanzania unatarajia kuzinduliwa rasmi mwishoni mwa mwezi huu wa nne na Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano mkubwa wa umoja huo utakaofanyika Dodoma. Mwenyekiti wa Wanaume Tanzania (CWWT), Claude Benedict Kim amesema hayo mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Singida, Godwin Gondwe, wakati DC Gondwe alipomwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Singida Halima Dendego, kufungua Mkutano Mkuu wa Umoja wa Wanaume Tanzania, ambao umefanyika Mkoani Singida ikiwa ni maandalizi ya mkutano mkubwa utakaofanyika Mkoani Dodoma utakaombatana na uzinduzi wa umoja huo. DC Gondwe kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Singida, ametoa wito kwa Umoja wa Wanaume Tanzania kuwa chachu ya maadili mema kwa Vijana wa kiume na akina Baba “Tumieni Umoja huu, kuwakumbusha Vijana wa kiume na akina Baba, kuwajibika katika Familia na nchi ili kupunguza madhara yanayotokea kwa kuharibi Famili, katika tamaduni zetu, Wamasai wana njia bora ya kulea Vijana wa kiume kuwa Wanaume, zipo tamaduni zetu bora zitunzwe” Kwa upande wake Mwenyekiti wa Wanaume Tanzania (CWWT), Claude Benedict Kim amekabidhi Katiba ya Umoja na Nyaraka mbalimbali za usajili na Gondwe ameahidi kuzifikisha kwa Mkuu wa Mkoa Halima Dendego ambaye amewaahidi kuwapa eneo la ujenzi wa Makao Makuu ya Umoja wa Wanaume Tanzania. Malengo makuu ya umoja huo ni kuwaunganisha Wanaume wote ndani ya Tanzania na kuwa kitu kimoja ili washirikiane kupinga kwa nguvu zote aina zote za ukatili ndani ya Jamii hususani ni kwa Wanawake na Watoto na hata baadhi ya Wanaume wanaonyanyaswa kuanzia ngazi ya Familia na Jamii. #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Indonesia
528
85
1.8K
209K
Daktari Wa Manesi 💉💊
Daktari Wa Manesi 💉💊@McinikaWaLamar·
Dear 1991, 1992, 1993, 1994, 1995, 1996, 1997, 1998, 1999. It's time for a second baby
English
103
48
900
67.5K
CPA harison
CPA harison@harison_derulo·
@ortamisemitz Uwongo huo kabisa... Shule ya primari vituka dar es salaam wilaya ya temeke bado wanakaa chini watoto... Mmeboresha lini iyo.
Filipino
0
0
1
34
CPA harison retweetledi
The mandevu
The mandevu@ze_mandevu·
Retweet hii post mpaka iwafikie.
The mandevu tweet media
Indonesia
24
113
570
19.8K
CPA harison retweetledi
Daktari Wa Manesi 💉💊
Daktari Wa Manesi 💉💊@McinikaWaLamar·
Appreciation tweet for Stephane Aziz Ki 🔰
Daktari Wa Manesi 💉💊 tweet media
English
9
29
612
22.3K
CPA harison retweetledi
Fumbo Khan
Fumbo Khan@fumbokhanJr·
No Tanzanian can Scroll this picture without Dropping some like and Repost
Fumbo Khan tweet media
English
28
128
5K
100.7K
CPA harison retweetledi
Young Africans SC
Young Africans SC@YoungAfricansSC·
𝐅𝐔𝐍𝐆𝐀 𝐊𝐀𝐙𝐈🔰🙌🏽 Ndani ya Mbagala Zakhem, tunakwenda kununua tiketi zetu wenyewe, kupata burudani na Masurprise kibao! Hakuna tiketi za JanjaJanja, Wananchi tukutane Mbagala kesho👊🏽 #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
Young Africans SC tweet media
Indonesia
131
139
1.6K
48.8K
CPA harison retweetledi
Anko J
Anko J@IamMborrow93·
Mkoa gani Tanzania unaongoza kwa kuwa na Wife material…? Me:..Kilimanjaro.
Anko J tweet media
Indonesia
4
1
4
425
CPA harison retweetledi
KIRIKUU✏️
KIRIKUU✏️@Kirikuu20·
Wanangu wa Simba wekeni hendo usiku huu kuna followers kutoka yanga wakutosha. Chap chap🥸
KIRIKUU✏️ tweet media
Indonesia
196
56
645
39K