Β Я ꓥ Ż ꓥ

7.2K posts

Β Я ꓥ Ż ꓥ banner
Β Я ꓥ Ż ꓥ

Β Я ꓥ Ż ꓥ

@hassanools

Academician|A LECTURER at Fisheries Education and Training Agency(FETA)|UNESCO-IHE|Proud Muslim|Oceanographer MSailor|UNNF Alumni

Manhattan, NY Katılım Eylül 2010
361 Takip Edilen569 Takipçiler
Β Я ꓥ Ż ꓥ retweetledi
al-maghribī
al-maghribī@abulhusayn01·
[Mwombe Allah Mahitajio Yako Ni Mwenye Maombi] Anasema An-Nu'amaan bin Bashir [Allah Amridhie]: قال النبيﷺ: الدعاء هو العبادة ، ثم قرأ :وَقَالَ رَبُّكُمُ ادْعُونِي أَسْتَجِبْ لَكُمْ Amesema Mtume [Swala Na Salaam Ziwe Juu Yake]: Dua Ni Ibadah, Kisha Akasoma: "Na Mola Wenu Amesema: Niombenii Mimi, Nitajibu Maombi Yenu" [40:60] [حسن] [كتاب الدعاء للطبراني (٥)]
Català
0
4
8
109
Β Я ꓥ Ż ꓥ retweetledi
al-maghribī
al-maghribī@abulhusayn01·
Katika Wametaja Wanachuoni Ni Kuwa Mtu [Muislaam] Anaweza Kukufuru Kwa; 1. Matendo 2. Kauli [Matamshi] 3. Shaka 4. Kwa Itiqadi يا مقلب القلوب ثبت قلوبنا على دينك Ewe! Mwenye Kuzigeuza Nyoyo, Zithibitishe Nyoyo Zetu Katika Dini Yako... Aamiin
1
6
14
241
Mariam
Mariam@Maryftaddoh·
Gen Z telling Millennials to learn how to use social media? Bruh we millennials built this shit brick by brick. Mmewahi kutumia Facebook bila internet nyie 😂?
English
327
875
5.2K
283.5K
Legacy (Fan)
Legacy (Fan)@LegacySiu·
Name a football club without letter "E" You can’t
Legacy (Fan) tweet media
English
20.1K
434
8.8K
2.3M
Β Я ꓥ Ż ꓥ retweetledi
rajab
rajab@iam_rajabu·
Ibn Baaz kuhusu kurekodi kwa video camera mihadhara ya dini Swali: Ni ipi hukumu ya kurekodi mihadhara kwa kifaa cha video camera ili maeneo mengine yaweze kufaidika nao na faida ienee zaidi? Jibu: Hili ni jambo linalohitaji kutazamwa vizuri. Kurekodi katika kanda ni jambo linalotakikana na hakuna haja ya kuchukua picha. Lakini nyakati fulani picha inaweza kuhitajika ili mtu awe na uhakika kuwa mzungumza ni mtu fulani. Kwa sababu picha inaweka wazi yule mzungumzaji. Kuna vilevile kuwepo sababu nyinginezo. Mimi nimechukua msimamo wa kunyamaza juu ya jambo hili. Nimefanya hivo kutokana na zile Hadiyh zilizopokelewa kuhusu kuchukua picha viumbe vyenye roho na matishio makali ya adhabu juu ya hilo. Ingawa wako ndugu zetu katika wanachuoni ambao wameona hakuna neno kufanya hivo kutokana na yale manufaa yenye kuenea. Lakini hata hivyo mimi katika jambo hili nimechukua msimamo wa kusimama kutokana na ile khatari kubwa ya picha. Jengine ni kutokana na zile Hadiyth zilizothibiti kwa al-Bukhaariy, Muslim na vitabu vyenginevo zinazobainisha kwamba watu wataokuwa na adhabu kali siku ya Qiyaamah ni wale watengeneza picha na pia Hadiyth zinazowalaani watengeneza picha. Zipo Hadiyth nyenginezo vilevile. Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz Tarjama: Firqatunnajia.com Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (05/355) Imechapishwa: 26/06/2020 firqatunnajia.com/ibn-baaz-kuhus…
Indonesia
0
4
7
188
Β Я ꓥ Ż ꓥ retweetledi
Abaa Hannan
Abaa Hannan@_AbuuHannan·
Kuyaanza Maisha Ya Ndoa Kwa Kumuasi Mola Wa Viumbe | Sheikh Dr. Muhammad Saeed Raslaan [Allaah Amhifadhi]
Indonesia
0
7
20
308
Β Я ꓥ Ż ꓥ retweetledi
al-maghribī
al-maghribī@abulhusayn01·
[Nasubiri Kifo Nikiamka Na Sijuw Ntakuja Kwa Hali Gani] Alisema Mtu Kumwambia Al-Hasan Al-Baswrī [Allah Amrehem]: Ni Ipi Hali Yako?? Akasema Al-Hasan: Hali Mbaya Kabisa, Akasema: Kivip Una Hali Mbaya?? Akasema: Kwa Sababu Mimi Ni Mtu Ambaye Nasubir Kifo Pindi Kukipambazuka
Indonesia
1
6
12
284
Β Я ꓥ Ż ꓥ retweetledi
al-maghribī
al-maghribī@abulhusayn01·
[Tufanye Haya Kujikumbusha Akhera] Anasema Mtume [Swala Na Salaam Ziwe Juu Yake]: عودوا المريض، واتبعوا الجنائز تذكركم الآخرة Tembeleani Wagonjwa, Na Wafateni Majeneza, [Kwan Kufanya Hivyo] Kutawakumbusheni Kunako Akhera [حسن] [مسند الإمام أبي يعلى (١١١٩)]
0
10
14
219
Β Я ꓥ Ż ꓥ retweetledi
al-maghribī
al-maghribī@abulhusayn01·
[Kushikamana Na Sunnah Ni Uongofu] Anasema Al-Imaam Az-Zuhrī [Allah Amrehem]: Walikuwa Waliotangulia Katika Wanachuoni Wetu Ni Wenye Kusema: الِاعْتِصَامُ بِالسُّنَّةِ نَجَاةٌ، Kushikamana Na Sunmah Ni Uongofu [صحيح] [سنن الدارمي (٩٧)]
al-maghribī@abulhusayn01

[Kidhibiti Cha Kujua Ni Yupi Mtu Anaitiqadi Mbovu Na Yupi Mwenye Itiqadi Sahihi] Anasema Ibn 'Uthaymin [Allah Amrehem]; Katika Maneno Ambayo Ninayafupisha; Itiqadi Sahihi: Ni Ile Ambayo Imeafikiana Na Yale Aliyokuwa Nayo Mtume [Swala Na Salaam Ziwe Juu Yake] Na Maswahaba Zake

0
6
9
162
Β Я ꓥ Ż ꓥ retweetledi
msngi.
msngi.@abusumayyah_o·
#USHIA🇮🇷 NA UISLAM NI #DINI MBILI TOFAUTI KABISA HAZISHIRIKIANI KWENYE MUNGU WALA KWENYE UNABII AU UTUME💦📚 >>HAYO WANAYASEMA WENYEWE MASHIA KWA MIDOMO YAO KUPITIA VITABU VYAO VIKUBWA VYA KUTEGEMEWA 📚 *🫴USHIA NI DHEHEBH NDANI YA #UKRISTO✝️ LILIANZISHWA NA MYAHUDI ABDULLAHI IBN SABAI ...ALIYEKUA MYAHUDI AKAJIFANYA KISILIMU KISHA AKAANZISHA DINI YA USHIA🇮🇷* _KAMA VILE UKRISTO ULIVYOANZISHWA NA MYAHUDI PAULO ✝️ ANASEMA #MWANACHUONI MKUBWA WA KISHIA MWENYE KUTEGEMEWA KWENYE DINI YA #USHIA نعمة الله ال *جزائري (Niimatullahi aljazairiy) ktk kitabu chaka maarufu AL_ANWAAR NUUMANIYYAH (الأنوار النعمانية) JUZUU YA 2 UK 278;* KWAMBA: *"Hakika sisi(MashiA) hatukusanyiki nao – yaani Masunni – juu ya Mungu mmoja, wala juu ya Nabii mmoja, wala juu ya Imamu mmoja. Hiyo ni kwa sababu wao wanasema kwamba Mola wao ambaye Nabii wake alikuwa Muhammad, na khalifa wake baada yake ni Abu Bakr. Sisi hatusemi hivyo; bali tunasema kwamba Mola aliyemfanya khalifa wa Nabii wake kuwa Abu Bakr si Mola wetu, wala Nabii huyo si Nabii wetu.”* قال محدث الشيعة في زمنه / نعمة الله الجزائري : إنا لا نجتمع معهم – أي السنة على إله ولا على نبي ولا على إمام وذلك أنهم يقولون أن ربهم الذي كان محمد نبيه وخليفته بعده أبو بكر – ونحن نقول لا نقول بذلك الرب ولا بذلك النبي بل نقول إن الرب الذي خلق خليفة نبيه أبو بكر ليس ربنا ولا ذلك النبي نبينا – *[[ هذا قاله في الأنوار النعمانية في الجزء الثاني صفحة 278.]]📚📗📕📔*
msngi. tweet mediamsngi. tweet mediamsngi. tweet media
Indonesia
5
2
7
302
Nzeyimana Eddy
Nzeyimana Eddy@EddyBongos11·
@mangekimambi Juzi burundi ilikua mshikemshike ndo nimeamini kua AMANI nikitu muhimu nchini, kwa mabomu kulipuka vile, hukuna aliye mkumbuka mkewe, mwanae, mama, baba, wa Tz amkeni acheni fikira potovu dumisheni amani mlio nayo, Wallahi nawaapieni AMANI nikitu muhimu sana
Indonesia
20
0
9
5.1K
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸@mangekimambi·
Aisee, hii inaitwa hakuna wa kunifanya kitu na sijali. Watanzania nawaita mara 3, nchi imetekwa na majangili ni lazma kila mtu ajitoe. Hakuna namna. Hii haina u CCM tena wala uChadema tena. Huu ni wakati wa Watanzania woote kuungana ili tuwaondoe hawa mashetani madarakani. Aiseee, mnajua kimama hana aibu wala hajui vibaya. In short she doesn’t care anymore. Kaamua kuifirigisa nchi. Na bado kuna Mitanzania yenye low IQ inadhani kuna katiba mpya atayoleta huyu mtu.. Kibaya zaidi kuna Watanganyika bado wanaendelea na uchawa sababu ya kuendekeza njaa za kijinga.
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai

Sister @mangekimambi amkaaaa 😁 Angela Kizigha kateuliwa kuwa mbunge na shostiake @SuluhuSamia Ila jamani hawa kweli wanatuonaje!? Nyie @ccm_tanzania wa Tanganyika mliopo huko mna shida si bure Eniwei hakuna deka - aluta continua! #TutaelewanaTu

Indonesia
77
214
1.3K
102K
Caravan Serai
Caravan Serai@SokoMoko__·
@msouthherbs mi natamani makka ishushiwe cluster bomb, missile heavy kama 70 hivi tuone inakuwaje
Filipino
1
0
0
31
suriama
suriama@foreigny99·
@Leguna4 @EsirEid @godbless_lema Kabisa mkuu Bora wote tuishi maisha magumu tu siyo kuwa na Mali kibao ila walaji ni familia flani au kikundi cha watu wachache usenge huo 🚮
Filipino
2
0
4
490
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Maduro alikuwa mshenzi, mkatili, muuaji, mtekaji na hata vikosi vyake vilikuwa na wafiraji kama sehemu ya kutesa wapinzani wake, na mabaya yote unayoweza kuyasema,huyu mkatili aliwafanyia wanaharakati na wapinzani wa Serikali yake kila aina ya ubaya. Nimefurahishwa na hatua hii ya mtu mkatili kama huyu kuwa nje ya power. Mungu ajibu maombi sehemu zingine mbali mbali Duniani.
Godbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
200
302
2.3K
95.3K
Β Я ꓥ Ż ꓥ retweetledi
al-maghribī
al-maghribī@abulhusayn01·
[Kuoa Ni Sababu Ya Kuchakarika] Anasema Sheikh 'Abdul'Aziz bin 'Abdillah bin Baaz [Allah Amrehem]: "Mwanadamu Katika Hali Ya Ujanani Na Hali Ya Kupwekeka Kwake Anakuwa Ni Mwenye Kudhoofika Kunako Kufanya Asbabu [Kazi], Na Anakuwa Ni Mwenye Kuridhia Kitu Kidogo, Na Kwa Sababu Yeye Hana Masu'uliyah [Uwajibikaji], Lakini Pindi Atakapo Oa Anakuwa Anatambua Ni Kipi Kinamlazimu Katika Uwajibu, Na Anaongeza Katika Juhudi Zake [Za Utaftaji], Na Achkua Sababu Na Allah Humfanyia Wepsi Katika Jambo Lake Na Riziki Inatoka Kwa Allah" [دليل الزوجين (ص١٩)]
Indonesia
0
4
13
203
Β Я ꓥ Ż ꓥ retweetledi
ابو سمية
ابو سمية@AbuuSumayyah10·
Enyi Waislam Tunaendelea kukumbushana.
ابو سمية tweet media
Indonesia
0
11
21
444
PeterSweden
PeterSweden@PeterSweden7·
Sweden used to be one of the safest countries in the world. Now it is is not. Malmö is ranked as dangerous as Baghdad. The number of reported r*pes has increased by over 2300% in the last 50 years. We now have 65 no-go zones. Something went very wrong.
English
1.7K
5.4K
32.8K
55.9M
TEYE
TEYE@TerazziJr·
UONGO
Salma@MsSalimSM

@iboysean Kumbe hujui kama hao kila nchi wanayokwenda hua wanafukuzwa na wananchi na hawataki kuwahudumia😏

Filipino
1
0
0
128
Β Я ꓥ Ż ꓥ
Β Я ꓥ Ż ꓥ@hassanools·
@Rahim_Meghji @imaamnawawi @husseinabui Nimeitafuta Sana Hapo Picha Yake Ila Kiukweli Kabisa Hata Mimi Ni Eric Cantona. Na Ndiye Aliyekuja Mara Moja Kwenye Mawazo Yangu. Ila Ronaldinho ndio Mchezaji Wangu Pendwa wa Wakati Wote.
Filipino
0
0
0
2
Β Я ꓥ Ż ꓥ retweetledi
al-maghribī
al-maghribī@abulhusayn01·
Faida Anasema Sheikh 'Abdullah bin Muhammad bin Humayd [Allah Amrehem] Baada Ya Kutaja Mlango Huu; "Maana Yake, Makatazo Ya Kusema "Lau", Nako Ni Kule Mtu Kusema, Pindi Allah Anapoqadiria Na Kulipitisha Jambo,
al-maghribī@abulhusayn01

Al-Imaam Muhammad bin 'AbdulWahhab رحمه الله,... Ameweka Mlango Katika Kitabu Chake Kitabu Tawhiiid باب ما جاء في اللو... Mlango Wenye Kuelezea Yale Yaliyokuja Kunako Kuelezea Ubaya Wa Kusema "Lau"

Indonesia
1
2
5
283