Sultan Leguna🇧🇷

19.5K posts

Sultan Leguna🇧🇷 banner
Sultan Leguna🇧🇷

Sultan Leguna🇧🇷

@Leguna4

Mtu wa kawaida

Rio de Janeiro, Brazil Katılım Mart 2020
4.9K Takip Edilen3.7K Takipçiler
Sultan Leguna🇧🇷 retweetledi
Sekenke One 🌻
Sekenke One 🌻@AlexSamoja·
Leo nimekumbuka huyu binti alitaka kupindua nchi yangu, angefanikiwa kupindua maana yake tungekuwa mateka wake, ni nani aliwaambia Polisi kuwa mimi sitaki kuwa Mateka wa huyu, 🤣 Aje anipindue mimi niwe mateka wake milele,
Sekenke One 🌻 tweet mediaSekenke One 🌻 tweet media
Indonesia
36
78
765
55.4K
Sultan Leguna🇧🇷 retweetledi
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
BODA BODA wa Mbweni heshima yenu wanangu-wamewafukuzia watekaji mpaka wanaimgia nao kwenye kambi ya usalama wa taifa. Baada ya kuona mnaweza kuwafikia wakaamua kusimamisha gari na wote wakatoka na bunduki kuanza kuwashambulia. Wakati wote wanawashambulia na nyie mnakimbia huku nyuma mliokoa maisha ya DJUMBE. MUNGU AWABARIKI WANANGU NA KAZI ZENU NA FAMILIA ZENU.🙏🏾
Indonesia
53
439
2.9K
62.1K
Sultan Leguna🇧🇷
Sultan Leguna🇧🇷@Leguna4·
👊
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿@EsirEid

#TajiriLaKihaya Wewe Kijana ulieajiriwa; Achana na kufanya fadhila kwa kampuni yako, fanya kile unacholipwa na uende nyumbani. Unapofanya kazi kwa kampuni kwa masaa 8, usiende nyumbani uangalie TV au Kucheza Game au kushinda mtandaoni… fikiria kuanzisha biashara ili familia yako iweze kurithi, Hawawezi Rithi kazi yako. Kujifunza hakuishi…

ART
0
1
1
25
Sultan Leguna🇧🇷 retweetledi
WAWEKEZAJI2💰
WAWEKEZAJI2💰@Injinia777·
KAMPUNI👉: SPORTYBET📌 TRENI LA WIKI(Mixed Options) ODDS 15642⚽️🔥🔥🔥 CODE👉 : 69D05P "EDIT, PICK SOME OR PLAY ALL"📌
WAWEKEZAJI2💰 tweet mediaWAWEKEZAJI2💰 tweet media
English
3
12
64
8.6K
Sultan Leguna🇧🇷 retweetledi
Mwidini_Z_Msang
Mwidini_Z_Msang@DMsangii·
Innah lilah laajun nimempoteza baba yangu usku huu
Indonesia
218
93
763
20.1K
Sultan Leguna🇧🇷 retweetledi
Mbunge wa Kongwa 2030
Mbunge wa Kongwa 2030@AndersonMbalai·
MUHINDI HATANISAHAU KWENYE VITABU VYAKE🔥 Code Betpawa-PUQYHOX Code Sportybet-57E59G Mechi zinaanza Kesho mpaka jumapil Repost mitaa ikapate huu utajiri,hili treni likichanika basi nipigwe mawe nchi nzima Msinisahau kwenye ufalme wenu tukutane siku ya jumapili🙏 0676971122
Mbunge wa Kongwa 2030 tweet media
Indonesia
12
39
203
24.3K
Sultan Leguna🇧🇷 retweetledi
John Heche
John Heche@HecheJohn·
“Kumekuwa na majaribio na vitisho kutoka kwa watawala kunizuia nisiongee. Kuna wakati niliambiwa nizime simu yangu, nisiitumie mpaka (wao) watakapo niambia. Nikawauliza, kwa sheria gani? Kuna wakati nilikaribishwa mahali fulani, nikapigiwa simu na watawala, wakasemam mzee usiendee kwenye huo mkutano. Kwanini? Hauna manufaa. Nikawauliza, nani anaamua hayo manufaa? Nikakataa. Wakawafuata watu walio karibu na mimi ili wanishawishi nisiende, nikakataa pia. Mnakumbuka nilifanya mahojiano hapa na Jamhuri? Wakatoa summary, wakasema watachapisha mahojiano yote, neno kwa neno. Baadae Jamhuri wakanieleza wamezuiwa wasitoe yale mahojiano. Kuna viongozi wanaogopa kuzungumza na mimi, wanatuma ujumbe kupitia mbali huko. Marafiki zangu wanaogopa wakisema nitatekwa au kupewa sumu. Nawaeleza mimi ni mali ya Mungu, ndiye atakayeamua lini ananihitaji.” — Jaji Mstaafu Joseph Sinde Warioba, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais Tanzania.
John Heche tweet media
Filipino
76
527
2.3K
84.7K
Sultan Leguna🇧🇷 retweetledi
joseph_selasini
joseph_selasini@joeselasini·
Shekhe Mkuu wa Mkoa wa DSM BAKWATA. Kwanini viongozi wa dini wanakwepa kudai UKWELI, HAKI na UWAJIBIKAJI? Haya yanaweza kufanywa bila meza ya maridhiano. Kwanini hawataki kuzungumza MSAMAHA? Aliyefiwa, au kuumizwa pamoja na ndugu zao msamaha unaleta faraja. Mengine yawezekana tu.
Indonesia
15
14
94
10.8K
Sultan Leguna🇧🇷 retweetledi
M.D (🅨)
M.D (🅨)@ReganTesla_·
Zaburi 27:10 Zaburi 55:22. Hata katika njia ngumu Mungu hatatuacha.. Atatuvusha 🙏🏽
M.D (🅨) tweet media
Filipino
114
68
680
116.7K
joseph_selasini
joseph_selasini@joeselasini·
Nimemsoma Mzee Wasira akisema huyu mzee ana sifa za Kimataifa na ametumika huko. Nadhani ni vizuri ajue huko nje akikwenda kama msuluhishi(mediator) wa pande mbili. Hapa aliteuliwaa na mtuhumiwa kuongoza uchunguzi akishirikiana na maafisa serikali wakiwa wateule wa mtuhumiwa.
joseph_selasini tweet media
Filipino
11
27
125
2.3K
Sultan Leguna🇧🇷
Sultan Leguna🇧🇷@Leguna4·
Leo mzee sijamwamkia asubuhi nilimsalimia "Vipi bro" kanikata jicho kwa ukali akauliza nani kaka ako nikamjibu "Mimi na wewe ni baba mmoja(Mungu)"..Naona kanitolea nguo zangu sote itakuwa anataka akafue nguo za mdogo wake😨
Indonesia
0
0
2
18
Sultan Leguna🇧🇷 retweetledi
The mandevu
The mandevu@ze_mandevu·
Kitambo wanangu hamjanipa repost zenu.
The mandevu tweet media
Indonesia
6
85
175
2.6K
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Binafsi zile KUKU za KFC,MaryBrown,kookoos nk. Zilishanishinda… Bora niitwe mshamba wa Muleba… ila ule Uchafu hauwezi pita kinywani mwangu…😅😂 Na watoto wangu nao wameiga baba yao… nlishawalazimisha wanatapika😂
Indonesia
51
45
579
20K
Sultan Leguna🇧🇷 retweetledi
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
@rollymsouth Sasa wewe umeona picha ya jamaaa umecheka… Ila huyo Jamaa akiona picha ya manzi acheke kama wewe ulivyocheka … Unaona nongwa? Au kwakua huyo ni jamaa na huyu ni manzi? Au cycle?
Indonesia
62
23
361
114.2K