human

48 posts

human banner
human

human

@humano003

Arusha, Tanzania Katılım Ocak 2016
6 Takip Edilen27 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
human
human@humano003·
.This user does not support @SuluhuSamia
English
0
0
0
22
human
human@humano003·
@MsigwaGerson .Zee la ufafanuzi unapoweka kupanda kwa bei ya mafuta USA usiweke sababu ya kufungwa kwa strait of hormuz mafuta yao hayapiti pale ....halafu hatufanani kipato na hao jamaa ,achaga hii ujinga
Indonesia
1
0
1
1.4K
Gerson Msigwa
Gerson Msigwa@MsigwaGerson·
#UfafanuziMuhimu // Leo tarehe 08 Aprili, 2026, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati akiwaapisha viongozi aliowateua hivi karibuni amezungumzia changamoto ya kupanda kwa bei za mafuta Duniani. Kutokana na baadhi ya watu kuhitaji ufafanuzi wa kauli hiyo, Mheshimiwa Rais alimaanisha ifuatavyo; 1. Bei za mafuta ya dizeli katika soko la dunia zimeongezeka kwa dola za Marekani 800 kwa tani ambapo zimetoka dola 650 ya mwezi Februari 2026 hadi kufikia dola 1,450 mwezi Machi 2026. 2. ⁠Bei za mafuta ya petroli katika soko la dunia zimeongezeka kwa dola za Marekani 434 kwa tani ambapo zimetoka dola 618 ya mwezi Februari 2026 hadi kufikia dola 1,052 mwezi Machi 2026. 3. ⁠Bei za mafuta ya taa na mafuta ya ndege katika soko la dunia zimeongezeka kwa dola za Marekani 821 kwa tani ambapo zimetoka dola 679 ya mwezi Februari 2026 hadi kufikia dola 1,500 mwezi Machi 2026. Pamoja na kuwepo kwa athari za kupanda kwa bei za mafuta kwa watumiani Duniani kote, bado viwango vya bei za mafuta vya Tanzania ni vidogo ikilinganishwa na nchi zingine. Kupanda kwa bei za mafuta kumesababishwa na athari za vita inayoendelea kati ya Irani dhidi ya Israel na Marekani iliyosababisha kufungwa kwa lango la Hormus ambalo hupitisha mafuta mengi yanayotumiwa Duniani ikiwemo Tanzania na nchi zingine za Afrika.
Gerson Msigwa tweet media
Indonesia
325
25
90
36.5K
human
human@humano003·
@rena2xy .Nijifunze kitu ...ulipata BOS kwenye bullish trend how or why ulikuwa order ya sell hapo?
Filipino
1
0
1
13
Renatus
Renatus@rena2xy·
$eu After Long waiting 📊 ...
Renatus tweet mediaRenatus tweet media
English
8
5
20
299
human
human@humano003·
@Roma_Mkatoliki .Basi wanamzunguka wanapiga sana hela pale ....hata kujiongeza hamna
Indonesia
0
0
1
1K
#NIPENI_MAUA_YANGU💐
#NIPENI_MAUA_YANGU💐@Roma_Mkatoliki·
Gallon 1 🇺🇸 = 3.79 Liters So 1Liter = 0.26 Gallons. Kama Gallons 6🇺🇸 =22.7 Liters = 30$=Tsh.77,500/= Then Gallon 1 🇺🇸 = 3.79 Liters =5$ = Tsh. 12,900/= Gallon 0.26 = 1.3$ = 1Liter = Tsh. 3,360/= Hence 🇹🇿 Wese lita 1 = 3800 🇺🇸 Wese Lita 1 = 3,360 HII DOLA 800 Imetoka wapi?🤔 800$ Lita 1?😌😳 Ujue 800$ = Milioni 2 Na Elfu 70
#NIPENI_MAUA_YANGU💐 tweet media
English
99
200
924
60.6K
mTusi original 👦
mTusi original 👦@mTusiOriginal·
Najua wengi mmekuwa mkijiuliza kwa nini Michael Olise kabla ya mechi huwa anasugua pichi kisha anarudi vyumbani?😂 Jana aliulizwa na waandishi wa habari, akajibu hivi, "Kama unacheza mpira unaelewa kuna aina tofauti za studs kuna za pichi ngumu, laini, na za kati.Mimi huwa naja👇
mTusi original 👦 tweet mediamTusi original 👦 tweet media
Indonesia
7
18
401
30.4K
human
human@humano003·
@swahilitimes ."Chama cha mapinduzi ambacho kinasimamia serikali" sawa tunasubiri yashuke
Indonesia
0
0
0
461
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeishauri Serikali kuangalia mpango wa kutoa ruzuku ili kupunguza gharama za mafuta nchini.
Indonesia
59
11
157
26K
human
human@humano003·
@ayubu_madenge .Iwe kamba au real mimi nasubiria movie iwe kama lone survivor
Indonesia
0
0
0
531
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Askari wa USA aliyeokolewa Iran ni Kanali. Alipoanguka chini aliumia mnoo na akavunjika ankle, licha ya majeraha alitumia mbinu za vita akapanda mlima wenye urefu wa mita 2100 akajificha kwa saa 48. Ripoti inasema ndege 150 na makomando wa SEAL 6 na Delta Force walitumwa kumuokoa
Ayubu Madenge tweet media
Filipino
91
78
1.3K
38.5K
WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr·
Chapati zimepanda bei kutoka 300 mpaka 400 kwa moja. Athari za vita ya Iran imetufikia mpaka wananchi wa chini kabisa. 🙌🙌🙌
Indonesia
16
23
335
10.4K
human
human@humano003·
@Kidah_01 .Kikao cha wanaume tumeenda kuongelea namna ya kuishi na wanawake 😁 ...utofauti wake na kitchen party ulikuwa mdogo sana
Filipino
0
0
0
111
human
human@humano003·
@HecheJohn .Hii tweet ungeanzia hapo kwenye "kwenye kila lita moja " ungekuwa umeona vya muhimu sana lakini hapo juu kuhusu kwamba haiwezi kupandisha bei ya mafuta sio kweli makamu inaweza na imepandisha ila mtawala wetu wa hovyo anatakiwa kufanya hicho cha kuhusu makodi kwenye bei ya wese
Indonesia
0
0
0
398
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Vita ya mashariki ya kati haiwezi kuwa kisingizio cha mafuta kupanda bei. Tunajua mmeagizwa na aliewateua kusema vita vita vita. Kwenye kila lita moja ya mafuta kuna kodi na tozo mbali mbali za serikali zinazofikia 16. Ukiondoa hizo tozo hata nusu bado mafuta yatabaki sh 2,700 na hii itamsaidia Mwananchi kupumua.. Hizi kodi na tozo zote zinakusanywa na kuibiwa kama vile ni kawaida tu.. Baadae wanasema Mwizi asemwe hadharani ili aone aibu !!! Hakuna hatua za kuchukua!
Indonesia
48
255
1.2K
52.3K
Dr Lwaitama
Dr Lwaitama@lwaitama1·
Tunaposema Tanzania tuna Rais kilaza ndiyo kama hivi!
Eesti
23
32
328
11.4K
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿
Hii ni kama Movie sasa kuhusu wakina Angela Kizigha na familia yake nzima ya Mzee Charles Kizigha,mkongwe wa tasnia ya habari ya Bongo pale Daily Mews.SIKILIZA 1. _Bongolanderz_ wasiomjua Bi Angela Kizigha, huyu ni binti ya Mzee-Mzima Charles Kizigha, aliyekuwa Kigogo _Daily News_ enzi za Mwalimu. 2. Huenda Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, angekuwa amedanjishwa 1983 kama si Charles Kizigha! 3. Wahaini, akina Zacharia Hanspope na wenzie 19, walipanga kumdanjisha Bwana Julius Januari 9, 1983 kwenye kanisa la St Peter's, Oysterbay. 4. Mkiambiwa Pombe ina madhara kuliko faida, mkaage kwa kutulia. Miongoni mwa wahaini hao wakawa wanakodi taxi ambayo mara nyingi Charles Kizigha ndio alikuwa akiikodi pia. 5. Siku moja, taxi driver akamwambia Charles Kizigha "Kuna Mijamaa ina mbumba za kufa mtu nimeanza kuipeleka maeneo mbalimbali na huwa haibishi nikiitajia bei. Kila yakilewa yanamkosoa sana Rais Nyerere na kusema siku zake zimefika, sijui wana mpango gani". 6. Charles Kizigha akawezesha wahaini hao kunyakwa kama kuku wa mdondo! Walienda kukutania nyumba moja pale Kinondoni, mamwera wakawaingilia! Komandoo Tamimu akaruka ukuta akawa anakimbia kuelekea Kawawa rd. Akadandia pick up iliyokuwa na bia, akaanza kurushiana na mamwera ambao walimdanjisha! Kwahiyo familia ya Angela Kizigha ni familia konki sana katika siasa za Tanzania,pamoja na hilo moja ambalo Mzee wa Atikali katukumbusha, lakini pia familia hii ina damu ya kiukombozi kwani waliweza kupambania Nchi ya Tanzania na Viongozi wake na ndio maana Maadam Angela Charles Kizigha amekuwa akiaminika "nyakati" zote kwa kuipambania Tanzania kama ilivyokuwa kwa wazazi wake,kwa wanaojua historia ya Tanzania yetu nadhani wanatikisa vichwa. Sina shaka kuwa Makala hii fupi inaenda kuziba pengo la taarifa kwa wale wanaodhani kuwa Maadam Angela Kizigha ni mtu wa kuja tu ndani ya Taifa hili. Msipende kuwachukulia poa poa watu msiwajua.
Indonesia
53
14
54
34.1K
Farhan Kihamu Jr
Farhan Kihamu Jr@FKihamu·
Mheshimiwa Kiswaga, Mbunge wa Kalenga anasema tuna unafuu kidogo tofauti na nchi Jirani hivyo tupunguze masuala ya Mtandao.
Farhan Kihamu Jr tweet media
Indonesia
64
12
265
19.8K
MR BEN
MR BEN@Eric__Bernard·
TAZAMA KWENYE JEDWALI UNAFUU WA BEI YA MAFUTA TANZANIA NA NCHI NYINGINE Ukilinganisha bei ya mafuta ya Petrol na Dizeli kati ya Tanzania na nchi nyingine utaona Tanzania kuna nafuu kubwa.
MR BEN tweet media
Filipino
325
31
150
81.9K
human
human@humano003·
@millardayo .Endeleeni kuongea utumbo hivi hivi watu wafuge hasira ili siku tukiingia road tuingie jumla jumla mpaka mtoke
Indonesia
0
0
0
83
I ❤️ Dar Es Salaam
I ❤️ Dar Es Salaam@FaradayMtz01·
Naomba mnitajie mageuzi makubwa ya Teknolojia yaliyofanywa na CCM nchini. Kwenye upande wa Crypto, Fin-Tech, AI, Aerospace, IoT, Blockchain, Ev, Data centers. nikupe milioni moja saivi.
HT
13
1
28
1.5K
human
human@humano003·
@Aduiwayanga .Halafu ukifika petrol station unatoa 4k yako kama sisi na hairudi mia
Eesti
0
0
3
464
Adui Wa Yanga
Adui Wa Yanga@Aduiwayanga·
TAZAMA KWENYE JEDWALI UNAFUU WA BEI YA MAFUTA TANZANIA NA NCHI NYINGINE Ukilinganisha bei ya mafuta ya Petrol na Dizeli kati ya Tanzania na nchi nyingine utaona Tanzania kuna nafuu kubwa.
Adui Wa Yanga tweet media
Filipino
73
16
52
11.9K
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
HABARI: Katika kukabiliana na wimbi la kupanda kwa bei za mafuta duniani, Serikali mbalimbali barani Afrika zinaanza kuchukua hatua za moja kwa moja kulinda watumiaji na kudhibiti mfumuko wa bei. Hatua hizi zinakuja wakati mvutano wa kisiasa unaoendelea Mashariki ya Kati, hasa katika eneo la Strait of Hormuz, ukiathiri kwa kiasi kikubwa upatikanaji na gharama za nishati duniani. Mfano wa hivi karibuni ni Namibia, ambayo Machi 27, 2026 ilitangaza kupunguza kwa muda ushuru wa mafuta kwa asilimia 50 kwa kipindi cha angalau miezi mitatu hadi mwisho wa Juni. Hatua hiyo inalenga kupunguza makali ya ongezeko la bei kwa watumiaji huku serikali ikijaribu kuweka uthabiti wa bei za ndani katika mazingira ya soko lisilotabirika. Akizungumza mjini Windhoek, Waziri wa Nishati Modestus Amutse amesema serikali italazimika kutumia Mfuko wa Taifa wa Nishati kuanzia Aprili 1 hadi mwisho wa Juni kufidia gharama za ongezeko hilo. Kwa mwezi Aprili pekee, serikali inatarajiwa kutumia takribani dola za Namibia milioni 500 kufidia tofauti ya bei, hatua inayolenga kupunguza mzigo kwa wananchi licha ya bei za mafuta kupanda kwa N$2.50 kwa petroli na N$4.00 kwa dizeli. Katika hali ambayo Namibia bado inategemea kwa asilimia 100 uagizaji wa mafuta, Serikali pia imehakikisha kuwa akiba ya mafuta inatosha kwa mwezi mmoja hadi miwili na kuwataka Wananchi kuepuka ununuzi wa hofu, huku ikilenga kudhibiti athari za mfumuko wa bei katika uchumi wa ndani.
Jambo TV tweet media
Indonesia
12
30
173
12.6K
cousin 420
cousin 420@420Cousin·
Rais Samia huwa haongei sana ana set mfumo. And that’s how power is crafted. Kuna tatizo moja la msingi watu wengi wameipokea ripoti ya CAG kwa hisia, wakaacha reasoning, hawajaiona big picture. Rais Samia amefanya kitu cha kimfumo Amepokea ripoti ya manunuzi ya umma hadharani hii ni precedent Mpya hamjajiuliza kwanini? Kisha TAKUKURU, halafu ripoti ya CAG. Watu wamereact kwa hisia kuna wizi and a lot of blah blah, wanamiss trategy. Kikanuni, ripoti hizi sasa zinaingia Bungeni kwa mjadala - Hawajiuliza kabisa what is next? Hili nalo litawakuta by surprise pia! accountability inachukua sura ya taasisi msije kulalamika mlionewa Rungu litashuka zito sana.
cousin 420 tweet media
Filipino
47
29
42
15.8K
human
human@humano003·
@RudraVibeX .And everyone here is a winner 🏆
English
0
0
1
1.3K
Benjamin Fernandes 🇹🇿
Benjamin Fernandes 🇹🇿@Benji_Fernandes·
Wow @elonmusk, I’m getting 210 Mbps on Starlink… on a flight. Airplane WiFi just became better than most ground networks globally 🤯 I barely get 30 Mbps in my home country of Tanzania with local networks.
Benjamin Fernandes 🇹🇿 tweet mediaBenjamin Fernandes 🇹🇿 tweet media
English
42
38
471
36.8K