Sabitlenmiş Tweet
Liber Nehemiæ
42.6K posts

Liber Nehemiæ
@iamNehemia
Just someone with a curious mind exploring technology | Learning, writing and building in public
Dar Es Salaam - Tanzania Katılım Mayıs 2011
3.7K Takip Edilen10.1K Takipçiler

@MkulimaKante Bila kugusa pain point za waumini kupata doo ni ngumu hasa kwa kizazi hili cha Gen Z.
Indonesia

Natamani sana makanisa yetu badala ya kuhubiri mafanikio ya kimiujiza
Wafundishe watu wao uhalisia wa kupambana na umaskini kwa mbinu halisia, Kanisa isiwe sehemu ya kuwaambia waumini "pokea gari, pokea nyumba"
Badala yake waumini waelezwe vizuri namna pesa inategwa.
Najua kwa hakika watu wote hatuwezi kuwa matajiri lakini watu wote tunao uwezo wa kuwa na uchumi imara.
Watumishi wetu wajifunze namna njem ya kuwahubiria watu, Injili za miujiza zimepunguza sana watu kuwa hard workers📌
Indonesia

@Adv_innocent 😂😂🙌 Raia wa Mbezi Mwisho hawafagilii Brand wala nini, na huna cha kuwaambia.
Kuuza hata simu ya maana Kwa Mbezi ni kipengele, wengi wana ujuaji wa kishamba.
Indonesia

Kujifunza ujuzi kwa nja ya mtandao isn't a joke. Wengi wanatamani kujifunza lakini hawajui waanzie wapi. Wajifunze nini na kwa nini, Je kinalipa in a long run!?
Nimekusogezea skills tano unazoweza kujifunza online free kabisa, na sehemu gani nzuri za kujifunza.
1.Copywriting (Uandishi wa kibiashara)
Kuuza kwa njia ya maandishi, hapa unajifunza kumshawishi mteja kwa njia ya maandishi, kuandika matangazo, emails, na maandishi ya kuuza bidhaa.
Biashara zote zinahitaji mauzo => Pesa
Hauitaji experience kubwa kuanzia kujifunza copywriting, unachohitaji ni kujua namna ya kuandika.
Hapa unaweza kulipia kozi kutoka kwa mtaalamu wa copywriting Tanzania @NyandaAmosi, ingia hapa the-mcb.grwebsite.com/kisha fuata taratibu zote kupata kozi yako.
Au unaweza anza kujifunza hapa for free copyschool.co/unskippables-h…
2.Social Media Management (Usimamizi wa mitandao ya kijamii)
Wafanya biashara na makampuni yanahitaji mtu atakayeweza kusimamia kurasa zao za mitandao ya kijamii. Ubunifu wa kupost, kutengeneza caption na reels zitakazo badili followers kua wateja.
Hapa unaweza kulipia kozi kutoka kwa @samsonmbembela, @CoachRusagira ni wa Tanzania wanaofanya vizuri kwenye hii industry.
Au unaweza kujifunza hapa for free coursera.org/learn/social-m…
3.Video Editing
Utengenezaji wa maudhui kwa njia ya video ni kitu inayohitajika sana katika industry ya sasa. Uzuri hapa level ya ubunifu wako ndio itaamua ulipwe kiasi gani. But mostly wanaoanza hulipwa 10$-20$.
Unaweza kuanza na simple tools kama Capcut then ukahamia kwenye tools kubwa kama Adobe premiere pro, After Effect nk
Hapa chimbo ni moja tu YouTube 🐐
4.Web Development
Website ni kitu most of companies, business or individuals wanahitaji kuendesha na kusimamia shughuli zao za kila siku. Kwa beginner unaweza anza kujifunza HTML, CSS, JavaScript au Word press uanze kutengeza pesa.
Sehemu ya kujifunza for free ni share.google/PPvQzeISX0s1E3…
5.Ai Skills (Akili unde)
Kutumia Ai tools kama claude, Chatgpt ku automate kazi, kutengeneza maudhui ya kibiashara.
Mf kutumia Ai kuandika CV, kuandaa content strategie ya biashara nk
Unaweza jifunza mwenyewe na ni for free from Google ai ai.google/learn-ai-skill…
6.Graphics Design
Ni watu wanaohitajika karibu kila sekta kutengeneza logos, posters na design kwa shughuli mbali mbali.
Hapa kwa anaye anza chimbo ni moja tu YouTube 🐐
Graphic ndio kitu najifunza kwa sasa,
Unaweza pitia portfolio yangu hapa
behance.net/nehemiagodbles
niko tayari kujifunza na kufanya kazi na mtu binafsi, taasisi au kampuni.
NB: Kama mwanafunzi unayetaka kujifunza skills hususani za mtandaoni jitahidi usichanganye madesa.
➣Chagua skill moja tu,
➣Jifunze na upractise,
➣Tengeneza samples 4-8 ya kile ulichojifunza hii itakusaidia kama proof baadae unapo tafuta kazi,
➣Tafuta wateja => insta, upwork, x, cold dms nk
Mwisho tafuta community ya watu wa Kariba yako. Connect nao, jifunze kwao, share ujuzi wako, ikiwezekana hudhuria event zinazoendana na niche yako. Ndio utakapokua kwa haraka.
Kama kuna kitu umejifunza repost ili na wengine wajifunze.
Nifollow @iamNehemia
Kisha sogea hapa whatsapp.com/channel/0029Vb…… kupata fursa zilizo kwenye tech industry.




Indonesia
Liber Nehemiæ retweetledi

Huu mji hakuna anayelala, wengi tunapumzika tu.
Adventure-360@Adventure_36
Saa 02:38 nani yuko macho humu ndani
Eesti
Liber Nehemiæ retweetledi

Kuhusu Usalama Mahali pa kazi, Asante sana @CrownMediaTZ Kwa Nafasi hii..
As usual, guys.. STAY SAFE #SafetyFirst
Filipino

Wanaoishi Mbezi Mwisho wengi ni watu wa mikoani, hawana exposure ya kutumia genuine product. Kuna jamaa yangu nilipo mwambia hii T8 yangu nimenunua 250k ni kama alipigwa na butwaa Ati "mnasikiliza nini hicho kinachogharimu hio bei!"😂😂
Adv.Innocent⚖️@Adv_innocent
Mbezi mwisho Ukiuza vitu original utanunua mwenyewe, wewe waletee JBL za alf kumi na tano..utafuatwa hadi nyumbani.
Indonesia

@LocalFundi_ Namuonaga tu insta, ila anaonekana yupo smart Sana.
Filipino
Liber Nehemiæ retweetledi

Wengi sijui AIBU au WOGA wanaogopa kuonesha wanachofanya, Kazi, Talent ama Ajira na kurudia kila siku hadi wakawa wakubwa
Watu wanadhaniaga me natamba kila siku kusema Dubai This Dubai that😄
Kumbe me ndo kazi yangu ndo namna nnavotangaza BIASHARA yangu
Sio lazima niseme kila post nauza kitu X toka Dubai bei X
sasa social media ina Principle moja "What gets repeated gets remembered
And what gets remembered gets repeated"
Vile unarudia rudia watu wanameza kuna mtu fulani anafanyaga hiki acha nimcheki anisaidie,aniuzie,tufanye nae hiki.
Yateli Content yake sio ngumu kila siku anaonesha experience yake anavofanya kazi
Sasa @LocalFundi_ unaweza kila siku kutuonesha uko Site bila kuchoka?
🇯🇲JamaicanSweetheart🇯🇲@LocalFundi_
There’s this guy anaitwa Yateli ni bolt driver, yule kaka anaipenda sana kazi yake. I hope some of y’all have experienced his services despite kumuona tu instagram
Indonesia

@ShijaDenis Quick share hua napenda kuitumia kuliko Bluetooth. Iko fasta kuliko. Hii ya ku share Whatapp nitaijaribu.
Indonesia

Talk to strangers, because your first big payout will come from people you don't know.
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr
If the Twitter algorithm brings this post to your timeline, please QUOTE it with anything!
English
Liber Nehemiæ retweetledi

Kaa mbali na hivi vitabu kama hutaki kuingia gharama ya kusoma vitabu maisha yako yote.
1. RichDad Poordad
2. Atomic habits
3. Richest man in Babylon
4. Psychology of Money.
Kwanza, humo ndani umasikini umeshushwa thamani sana.
Pili, utafutaji wa maarifa kama sehemu ya maisha yako umepewa hadhi ya juu sana
Tatu, hivyo vitabu vinakuonesha una uwezo wa kubadilika na kubadilisha maisha na vinakupa namna ya kupita
Nne, Utajiri umefanywa kuwa jambo jepesi kiasi kwamba kila mtu anaweza kuufikia.
Kwanini nimesema ukae navyo mbali ni kwa sababu maarifa ni gharama lakini gharama kubwa ipo kuuishi ujinga.


Indonesia







