iamthatguy
182 posts


Kwani kwa Samsung yako Ruto ako na afya?
Nga Focus@Focuss_ed
Kama unatumia tv ya vitron jigonge kifua useme "mimi ni fala"
Filipino

Manzi anatoka all the way from Naivasha to Uthiru kwa matatu na pesa yake. I'm guessing alifika usiku juu nilianza kuskia commotion around saa tatu. Kumbe amefika kwa my neighbour a ninja who is a nurse anafanyanga hizo kazi za shift, like anapewa tu ashikilie another nurse, akapata mjamaa kwa nyumba na dame mwingine.
Mimi nikawamute na nikaendelea na Peaky Blinders alafu around saa tano nabishiwa mlango. Kufungua kumbe ni huyo dame akilia. Ati jamaa amesema hafukuzi mwenye amepata huko yeye ndo aende. Hiyo couple nilikuwa nawasalimia lakini hatujazoeana so nashindwa unakuja kwangu ndo? Told her I can't help her na nikafunga mlango kumbe mdame alikaa hapo nje between our houses akilia.
Manze, I couldn't watch the freaking movie in peace, so I let her in and gave her strungi. I made it categorically clear kulala kwangu itakuwa noma. So I gave her 2 options, ukae hapo kwa mlango ulie ama we find you a solution. I told her hapo kwa shell copa hatakosa gari zinaenda hiyo side but si guaranteed juu ya hiyo masaa na pia si safe.
Told her atafute anyone she knows ako ako nearest akapata wa kawangware. Told her to ask that friend not to sleep hadi afike then to get a cab and go before ikuwe late sana.
Ningempea option ya kulala hapo kwa kakiti kangu ata kakiwa uncomfortable and go in the morning, but experience has taught me that as a guy, being kind to strangers will land you in more trouble than being mean.
I just received a call leo jioni, and it was her. She said asanti amefika Naivasha after kukopa everyone juu alitumia pesa yake on the cab. Ata number yangu sijui ametoa wapi. Was it mean not letting her sleep? Yesss? Was it the best option for the both of us? Fvcking Yessss
Filipino

@generali_osumo Ruto ataiba kura ya wakenya kweli wenye hawatambui polis
Indonesia

@abbiezuena @Ademba_47 Kuna baddie ananiomba ya chipu ebu niekee ademba hiyo soo
Filipino

#TukoKadi has made people have sleepless nights yaani.
Na bado.
@Ademba_47 wacha kwanza I buy lunch ya leo. Juu itabidi we keep funding you na si tafadhali.

English


@Osama_otero Yes at least hawaendi statehouse kuuza wengine wauawe for money
English

@ClintonObonyo I can never hit a man cz of another woman unless he deserves it
English

Huyu mdem hakufanya poa ako station sai...
Huyu dem alifanya mtu wa bolt apigwe na mob bure hapo Kilimani Argwigs Kodhek. Alikataa kulipa bei wameskizana jamaa akataka kurudi na parcel place alitoa na dem akapiga nduru ati jamaa ni Mwizi. Within minutes jamaa amevunjwa mguu na mob... Ndio riders walipita wakasaidia na kuuliza ukweli wa mambo🙆Riders called an ambulance jamaa akapelekwa hossy🙆🙆 Police came and took the lady to kilimani police station



Indonesia





















