𝐉𝐫 

19.7K posts

𝐉𝐫  banner
𝐉𝐫 

𝐉𝐫 

@imaaJr01

Influencer

Katılım Mayıs 2024
1.3K Takip Edilen4.1K Takipçiler
𝐉𝐫  retweetledi
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿
Wakombozi wakidai haki kwa kufunga barabara kwa kutumia meza za wafanyabiashara wadogo kwa maelekezo ya Chadema na wanaharakati. 29/10/2025 #NeverAgain
Indonesia
2
18
19
1.2K
𝐉𝐫  retweetledi
Stori za Pombe 👽
Stori za Pombe 👽@storizapombe·
Kweli Mlikinukisha Kwa Kuchoma Mali Za Watu Na Kuibia Wafanya Biashara Ambao Wanajitafuta, @ChademaTZ2 Kupitia Mwenyekiti Wenu LISSU Hili Tukio Ambalo Ninyi Ndio Orchestrator Kesho Tutajua ✍🏿✍🏿
Indonesia
2
9
8
145
𝐉𝐫  retweetledi
Adui Wa Yanga
Adui Wa Yanga@Aduiwayanga·
Kiini cha machafuko ya October 29 kinajulikana. Kesho tunaenda tu ku confirm 👍
Eesti
8
18
20
371
𝐉𝐫  retweetledi
Adui Wa Yanga
Adui Wa Yanga@Aduiwayanga·
Chadema na wanaharakati mlifikiri kesho haitafika sio?☹️☹️☹️
Adui Wa Yanga tweet media
Indonesia
11
15
15
869
𝐉𝐫  retweetledi
Adui Wa Yanga
Adui Wa Yanga@Aduiwayanga·
Miradi ya kimkakati na fursa ya ajira kwa vijana nchini Kupitia utekelezaji wa miradi mbalimbali ya kimkakati, maelfu ya vijana wamepata ajira nchini. 1.⁠ ⁠Mradi wa reli ya kisasa (SGR) umechangia zaidi ya ajira 35,000 2.⁠ ⁠Bomba la mafuta zaidi ya 10,000 3.⁠ ⁠Bandari ya Dar es Salaam zaidi ya 3,000 4.⁠ ⁠Uwanja wa Ndege wa Dodoma umezalisha ajira zaidi ya 2,400 5.⁠ ⁠Daraja la JP Magufuli likitoa zaidi ya ajira 1,500.
Adui Wa Yanga tweet media
Indonesia
0
13
12
236
𝐉𝐫  retweetledi
Adui Wa Yanga
Adui Wa Yanga@Aduiwayanga·
MTANZANIA ASHINDA MEDALI YA FEDHA NCHINI MAREKANI Aliphonce Simbu amekuwa mshindi wa pili Boston Marathon 2026, kwa mara ya pili mfululizo, akitumia saa 2:02:47, Mwaka 2025 alitumia saa 2:05:04.
Adui Wa Yanga tweet media
Indonesia
0
14
12
96
𝐉𝐫 
𝐉𝐫 @imaaJr01·
Wanaharakati uchwara haya ndio waliita maandamano ya Amani Watu waliiba waliharibu miundombinu ya Serikal kwa kigezo cha maandamano itoshe kusema wanaharakati uchwara na mama wacheza Chudai subiri ripoti itasema ukweli
Indonesia
1
10
9
1.2K
𝐉𝐫  retweetledi
Godfather fan
Godfather fan@Godfxer_fan·
Mtu aseme anahamisha uasi bila woga anakazia tutakinusha haishii hapo anaenda mbali zaidi anasema watazuia uchaguzi, Leo wanatoa wapi nguvu kusema anaonewa?
Indonesia
2
13
13
206
𝐉𝐫  retweetledi
Godfather fan
Godfather fan@Godfxer_fan·
Hivi ndivyo walikusudia kufanya na wakafanya wale walio sema watazuia uchaguzi na kuhasisha uasi, hakuna namna watajitetea tukawaelewa.
Indonesia
1
11
11
137
𝐉𝐫  retweetledi
Stori za Pombe 👽
Stori za Pombe 👽@storizapombe·
Walifanya haya yote baada ya kuhakikishiwa na moja ya kiongozi wa upinzani kuwa'KITANUKA' na Wanaharakati walishatoa hakikisho jeshi lipo upande wao. Mbivu na Mbichi Kesho Mapema ✍🏿
Indonesia
1
9
8
117
𝐉𝐫  retweetledi
kichefuchefuu
kichefuchefuu@kichefuchefuu·
Wewe ajuza @MariaSTsehai kwahiyo hawa vibaka ndo mliwalipa hela waje kufanya uhalifu huu alafu manasema ni waandamanaji wa amani kesho jiandae kuwa uchi Tume inaenda kuweka wazi kila upuuzi wenu na mtakamatwa wote nyie mataperi
Indonesia
3
21
12
491
𝐉𝐫  retweetledi
Popobawa
Popobawa@popoobawa·
Hawa ni waharifu sasa haya ndo maandamano ya amani?? Hawa walikuwa ni wahalifu na wezi
Filipino
6
24
25
1.6K
𝐉𝐫  retweetledi
cousin 420
cousin 420@420Cousin·
The moment you raise your hand against government buildings, public property, or critical infrastructure, you cross from protest into crime. A moment of anger can create a lifetime of consequences.
English
4
24
24
609
𝐉𝐫  retweetledi
Godfather fan
Godfather fan@Godfxer_fan·
Haya ndio wanasema yalikua maandamano ya amani!! Amani gani hii? Huu ni uhalifu wa wazi kabisa watu walilipwa ili kuchomwa nchi yetu lazima wachukuliwe hatua stahiki.
Indonesia
0
14
10
140
𝐉𝐫  retweetledi
cousin 420
cousin 420@420Cousin·
Nchi ipo salama, ikiwa na uhakika wa chakula cha kutosha.
cousin 420 tweet mediacousin 420 tweet mediacousin 420 tweet media
Filipino
8
30
41
888
𝐉𝐫  retweetledi
Popobawa
Popobawa@popoobawa·
Kwahiyo hawa vibaka ndo mlikuwa mnasema waandamanaji? Nyie wanaharakati uchwara mliwalipa hawa vibaka waje wafanye huu uhalifu
Indonesia
0
16
11
210
𝐉𝐫  retweetledi
Papii Mananasi
Papii Mananasi@the_fortuna73·
Haya hayakua maandamano bali uhalifu Never again
Filipino
0
18
10
354
𝐉𝐫 
𝐉𝐫 @imaaJr01·
UKARABATI WA MV LIEMBA WAFIKIA 64%, KUKAMILIKA JULAI 2026. Ukarabati wa meli ya MV Liemba umefikia asilimia 64 na unatarajiwa kukamilika ifikapo Julai 2026. Baada ya kukamilika, meli hiyo inatarajiwa kudumu kwa zaidi ya miaka 30 kabla ya kufanyiwa ukarabati mkubwa kama huu tena.
𝐉𝐫  tweet media
Indonesia
0
7
7
501
𝐉𝐫  retweetledi
Kilwafinest 🦈
Kilwafinest 🦈@Kilwafinest·
MIRADI YA KIMKAKATI NA FURSA YA AJIRA KWA VIJANA NCHINI. Kupitia utekelezaji wa miradi mbalimbali ya kimkakati, maelfu ya vijana wamepata ajira nchini. 1.⁠ ⁠Mradi wa reli ya kisasa (SGR) umechangia zaidi ya ajira 35,000 2.⁠ ⁠Bomba la mafuta zaidi ya 10,000 3.⁠ ⁠Bandari ya Dar es Salaam zaidi ya 3,000 4.⁠ ⁠Uwanja wa Ndege wa Dodoma umezalisha ajira zaidi ya 2,400 5.⁠ ⁠Daraja la JP Magufuli likitoa zaidi ya ajira 1,500.
Kilwafinest 🦈 tweet media
Indonesia
0
9
9
63