𝐉𝐫 

19.6K posts

𝐉𝐫  banner
𝐉𝐫 

𝐉𝐫 

@imaaJr01

Influencer

Katılım Mayıs 2024
1.3K Takip Edilen4.1K Takipçiler
𝐉𝐫  retweetledi
Manchester United
Manchester United@ManUtd_ID·
𝗦 𝗢 𝗟 𝗜 𝗗 💪
Manchester United tweet mediaManchester United tweet mediaManchester United tweet media
English
787
6.7K
61.9K
1.2M
𝐉𝐫  retweetledi
cousin 420
cousin 420@420Cousin·
Fundi wa siasa na mjuzi wa jiko kutoka Kizimkazi leo amekutana na mafundi wa jikoni Baba Lishe na Mama Lishe wa Jiji la Dar es Salaam. Angalia furaha usoni mwao, angalia vibe lao. Chakula chema hakiharakishwi.
cousin 420 tweet mediacousin 420 tweet mediacousin 420 tweet mediacousin 420 tweet media
Indonesia
5
23
26
396
𝐉𝐫  retweetledi
HER
HER@heroinelincoln·
Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ni Alama ya uvumilivu, busara na uongozi madhubuti. Mwanamke shupavu anayeongoza kwa hekima, akilea taifa kwa upendo, uthabiti na maono mapana. Mfano wa kuigwa kwa kizazi cha sasa na kijacho
0
7
8
45
𝐉𝐫  retweetledi
One Sister
One Sister@Rahma_Simba·
Rais Samia Ni Alama ya Uvumilivu, Busara na Uongozi Madhubuti.
0
10
11
58
𝐉𝐫  retweetledi
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿
Nyinyi (Mama na Baba Lishe) ni kundi muhimu katika nchi, mnalisha wafanyakazi, wanafunzi, wasafiri na wananchi kwa ujumla, na kwa kufanya hivyo mnawezesha kutekelezeka vyema kwa shughuli nyingine za kiuchumi na huduma za kila siku, kwa kuwa chakula ni afya" Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 tweet media𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 tweet media𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 tweet media𝐃𝐫.𝐙𝐚𝐜𝐤™🇹🇿 tweet media
Indonesia
1
16
18
151
𝐉𝐫  retweetledi
HER
HER@heroinelincoln·
Serikali chini ya uongozi wa Raia Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea kuweka mkazo katika kuwajengea vijana uwezo wa kidijitali ili kuendana na mabadiliko ya dunia ya sasa.
Indonesia
1
6
6
37
𝐉𝐫  retweetledi
HER
HER@heroinelincoln·
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa amevaa sare za Umoja wa Mama na Baba Lishe Tanzania (UMALITA) mara baada ya kukabidhi mitungi ya gesi na majiko yanayotumia nishati safi ya kupikia katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius
HER tweet mediaHER tweet mediaHER tweet mediaHER tweet media
Indonesia
1
6
6
52
𝐉𝐫  retweetledi
One Sister
One Sister@Rahma_Simba·
UMALITA Watapata Mafunzo ya Teknolojia Serikali ya Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea kuwekeza katika kuendeleza ujuzi wa vijana katika sekta ya teknolojia. UMALITA watapata mafunzo ya kisasa yatakayowawezesha kujifunza ujuzi muhimu wa kidijitali.
Indonesia
1
12
9
69
𝐉𝐫  retweetledi
Godfather fan
Godfather fan@Godfxer_fan·
RAIS SAMIA AWAPA MITUNGI YA GESI MAMALISHE NA BABALISHE Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan awapatia mitungi ya gesi Mama Lishe na Baba Lishe hatua ya kupunguza gharama, kulinda mazingira na kuboresha afya zao. Hakika watanzania tuna kila sababu ya kumshukuru na kujivunia kuwa na Rais mwenye kujali na kuthamini.
Indonesia
0
11
9
90
𝐉𝐫  retweetledi
cousin 420
cousin 420@420Cousin·
Starehe ya muda mfupi inaweza kukuacha na hasara ya maisha hali kadhalika, hasira ya dakika chache inaweza kukuachia kilema cha kudumu. #ChoraMstariUsivukeUsipowezaKuruka
Indonesia
0
14
12
158
𝐉𝐫  retweetledi
Msemaji Mkuu wa Serikali
Msemaji Mkuu wa Serikali@TZMsemajiMkuu·
Tume Huru ya Kufanya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjiifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025, itawasilisha taarifa yake kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Aprili 23, 2026.
Indonesia
2
6
6
514
𝐉𝐫  retweetledi
Man Mupaya
Man Mupaya@ManMupaya·
Mhe. Rais Samia ni alama ya uvumilivu, busara na uongozi madhubuti. 📝Mama Lishe
Indonesia
0
6
7
66
𝐉𝐫  retweetledi
Stori za Pombe 👽
Stori za Pombe 👽@storizapombe·
Ni kweli kabisa nakubaliana na na Kuunga mkono kauli ya Jumuiya ya Mama na Baba Lishe kuwa Mhe Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ndio alama ya uvumilivu, busara na uongozi madhubuti wa kisasa ambao unaweka mbele maslahi ya watanzania wote!
Indonesia
0
20
19
115
𝐉𝐫  retweetledi
Stori za Pombe 👽
Stori za Pombe 👽@storizapombe·
Rais Samia Suluhu Hassan amesisitiza umuhimu wa kuendeleza mikakati ya urasimishaji na uwezeshaji wa biashara ndogondogo, hususan Mama na Baba Lishe, kama sehemu muhimu ya kufikia malengo ya Dira ya 2050.
Stori za Pombe 👽 tweet mediaStori za Pombe 👽 tweet mediaStori za Pombe 👽 tweet mediaStori za Pombe 👽 tweet media
Indonesia
1
17
17
67
𝐉𝐫  retweetledi
Stori za Pombe 👽
Stori za Pombe 👽@storizapombe·
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa amevaa sare za Umoja wa Mama na Baba Lishe Tanzania (UMALITA) mara baada ya kukabidhi mitungi ya gesi na majiko yanayotumia nishati safi ya kupikia katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam, tarehe 21 Aprili, 2026.
Stori za Pombe 👽 tweet mediaStori za Pombe 👽 tweet mediaStori za Pombe 👽 tweet mediaStori za Pombe 👽 tweet media
Indonesia
0
17
15
66
𝐉𝐫  retweetledi
Stori za Pombe 👽
Stori za Pombe 👽@storizapombe·
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mama na Baba Lishe wanaoshiriki Kongamano la Kitaifa la Mama na Baba Lishe, katika viwanja vya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Jijini Dar es Salaam, tarehe 21 Aprili, 2026
Stori za Pombe 👽 tweet mediaStori za Pombe 👽 tweet mediaStori za Pombe 👽 tweet mediaStori za Pombe 👽 tweet media
Indonesia
0
20
18
100
𝐉𝐫  retweetledi
Stori za Pombe 👽
Stori za Pombe 👽@storizapombe·
Kupitia kauli mbiu ya kongamano la Mama na Baba Lishe mwaka huu isemayo "Shiriki kulinda amani na mshikamano wa Taifa" Mhe Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesisitiza kuwa amani ni hazina ya shuguli zote za kijamii, Amani ndio msingi wa maendeleo Taifa
Indonesia
1
22
19
107
𝐉𝐫  retweetledi
Godfather fan
Godfather fan@Godfxer_fan·
Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ni alama ya uvumilivu busara na uongozi madhubuti.
Indonesia
0
13
16
99
𝐉𝐫  retweetledi
SSH 2530
SSH 2530@cutysuzana·
Nukuu za Rais Samia kuhusu Mama Lishe na Baba Lishe zinaakisi dhamira ya kweli ya kujenga uchumi jumuishi unaomgusa kila mwananchi. 📌 Anathamini mchango wao katika ajira, lishe, na ustawi wa jamii akisisitiza kuwa maendeleo ya taifa huanzia kwa watu wake.
SSH 2530 tweet mediaSSH 2530 tweet mediaSSH 2530 tweet mediaSSH 2530 tweet media
Indonesia
1
15
11
77