Jana nilipigiwa simu saa 6 mchana na mteja namba imesajiliwa Stanford basi akaniambia yuko mwanza anahitaji samaki kilo 3 nikamwambia anapata
Yuko Mwanza mabatini kanisa la KKKT kiukweli hapo sikupajua nikamwambia sipajui ila hakiharibiki kitu huwa namtuma boda utamuelekeza