
@sugarbabe_255 Bby why hukuniita mpenx utajiumiza bure
Filipino
Ahmed Brighton HB
161 posts

@inezabrighton
Passionate about Science & Technology | Innovator & Researcher | Driving digital transformation for community impact 🌍 Language:English -Kirundi-Kiswahili Etc


Hii interview ya Leo ije na majibu Positive.!!🤲🏾











Huyu jamaa jina lake limenitoka ila n bolt driver na content creator wa IG....itoshe kusema kazi yoyote ukiifanya kwa bidii na heshima inalipa jamaa kafika hatua mpaka ya kukodiwa na watu awaendeshe kwenda mikoani kwa kifupi jamaa anafanya poa sana 🙌










