M K

35.6K posts

M K banner
M K

M K

@MarryKayoa

💖💓

Kanazawa-shi, Ishikawa Katılım Haziran 2019
4.4K Takip Edilen22.9K Takipçiler
M K retweetledi
Dafarida🥀😌
Dafarida🥀😌@Dafarida01·
Title: Lee Cronin's The Mummy IMDb rating: 6.3/10 Genres: Horror Country: United States Story: The young daughter of a journalist disappears into the desert without a trace. Eight years later, the broken family is shocked when she's returned to them. However,
Dafarida🥀😌 tweet media
Dafarida🥀😌@Dafarida01

Title: Mortal Kombat II (2026) IMDb rating: 7/10 Genres: Action, Crime Country: United States (English, Spanish) The fan favourite champions, now joined by Johnny Cage himself, are pitted against one another in the ultimate battle to defeat the dark rule of Shao Kahn ⤵️

English
11
21
22
693
M K retweetledi
𝐌dananda 🇯🇲
𝐌dananda 🇯🇲@SteveMfinanga·
Mtaani kwetu kila siku shughuli tu, sijui hata kazi wanafanya saa ngapi
Indonesia
2
8
18
1.1K
M K retweetledi
Swahili RealTalk🇹🇿🇦🇺
ANASTAHILI KUWA MVP WA LIGI YA TANZANIA Allan Okello usajili wake umeinufaisha zaidi Yanga SC kwenye eneo la ushambuliaji kwa muda mfupi sana. Okello ametukumbusha mchezo wa mpira wa miguu unachezwa zaidi akili alafu miguu hubaki kama vitendea kazi. Okello anacheza namna ambavyo soka la sasa linahitaji aina yake ya uchezaji. Hakuna timu isiyotamani kuwa na mchezaji kama Okello na anastahili kuwa kuwa mchezaji bora wa msimu huu na endapo ikiwa tofauti na hapo basi itakua dhulma kwake. Kama kuna anayebisha alete takwimu za mchezaji wake aliyeanza msimu au aliyeingia dirisha dogo ambaye amempiku Okello kwenye namba. Narudia tena hakuna timu isiyotamani kuwa na mchezaji kama Okello kutokana na mchango wake kwenye kikosi.
Swahili RealTalk🇹🇿🇦🇺 tweet media
Indonesia
8
15
14
276
M K retweetledi
BARADHULI
BARADHULI@Baradhuli2·
Kwa ukali alionao Chid leo anakubali kushikwa shavu?duh!
6
13
26
1.9K
M K retweetledi
Headboy wa mtaa
Headboy wa mtaa@Sirajitz1·
Mchagga OG 🎤 D voice unachukuliaje kauli za watu wanaosema Lulu Diva ni mdada wa mjini na ashatumika sana? D voice 🎤 Niwe mkweli huenda ni kweli ila mimi sijamtumia kwahiyo waniache na mimi nimtumie, unajua kuna msemo wanasema mapenzi ni upofu, sasa mimi ndo huyo kipofu mwenyewe waniache na babe wangu nampenda mnooo ----------------------------------- Semi li lulu diva ni likali sana afu limenonaaaa dogo anaenjoy na mshangazi wake fresh
Headboy wa mtaa tweet media
Filipino
12
17
42
3.4K
Nyani Ngabu
Nyani Ngabu@NNgabu_·
In their attempts to discredit @DavidHundeyin , the Ford Foundation activist circle may actually be strengthening the credibility of both David and the @Spearhead_Af team. I say this for several logical reasons. First, they have been eager to label What Happened on October 29 as pro-government propaganda after seeing only a two-minute trailer. How can they confidently condemn an entire documentary without watching it in full? Their rush to dismiss it raises questions about whether they fear the perspectives it may present. Second, many of these same activists openly supported documentaries by CNNNN and BCCC, both of which largely criticized the Tanzanian government. At the time, they defended those productions as important journalistic work. Why, then, are they suddenly opposed to another documentary on the same subject simply because it appears to challenge their preferred narrative? What makes this contradiction even more striking is that the CNN and BBC documentaries were promoted heavily despite the fact that no representatives from those media organizations reportedly came to Tanzania to engage directly with people on the ground. In contrast, Spearhead actually sent a team to speak with Tanzanians who witnessed the events of that fateful day firsthand. One would expect such direct engagement to be welcomed rather than attacked. The campaign against David has also relied on questionable tactics. At one point, activists circulated a photo supposedly showing David with President Samia. The image was later exposed as fabricated and heavily photoshopped. If the evidence against David were truly strong, why resort to using fake material to push the narrative? David himself is both a journalist and an activist based in Ghana, much like Maria was a Tanzanian journalist and activist based in Kenya before relocating to Canada. On the surface, one might expect solidarity between individuals who occupy similar spaces. Yet Maria has emerged as one of David’s fiercest critics. The reason may lie in what the short trailer appears to suggest: that activists such as Maria and her associates may have played a role in escalating tensions and encouraging unrest before and after October 29. Ultimately, the events of the past few days reveal an important reality: activists, like all human beings, are not free from bias, personal interests, or political agendas. Their interpretation of the truth should not automatically become the universal standard by which all other perspectives are judged.
Nyani Ngabu tweet mediaNyani Ngabu tweet media
English
3
21
25
566
M K
M K@MarryKayoa·
Utakuwa unalala wapi?😅
M K tweet media
Filipino
0
3
7
167
M K
M K@MarryKayoa·
Wanaume huwa mnahuruma sana.
Filipino
0
1
8
284
M K retweetledi
Headboy wa mtaa
Headboy wa mtaa@Sirajitz1·
Baba levo avunja ukimya atoa ya moyoni 🗣️. " Natoa siku 7 kwa Abdul Nondo asiponiomba msamaha atanilipa Tsh Mil 550 maana nimeona clip yake kaita waandishi wa habari na kuwaambia kua ubunge wangu sijauoata kiuhakali wakati wote nimashahidi, tumefanya kampeni, tumenadi sera na wananchi wameamua kidemokrasia" ---------------------------- Wakuu ukimshambulia mtu kwa maneno makali na yasiyo na ukweli jiandae kula faini kubwa kama hizi hasa wazee wa spana humu umakini unahitajika sana
Headboy wa mtaa tweet media
Indonesia
17
19
115
18.8K
M K retweetledi
Headboy wa mtaa
Headboy wa mtaa@Sirajitz1·
Ricardo Momo 🗣️. " Za ndani kabisa walipanga kujisafisha na kujitutumua lakini mambo hayakuenda kama walivyotarajia, wakaona wamtoe mmoja mbuzi wa kafara lakini hata aliekuja nae kilimlamba " "Walitaka kujisafisha na kukata ile perception ambayo watu washaiona kwao wakikutana na wale" 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Ni akina nani hao
Headboy wa mtaa tweet media
Indonesia
14
22
330
49.2K
M K retweetledi
Headboy wa mtaa
Headboy wa mtaa@Sirajitz1·
Sa itakuaje🤔. Benchi la ufundi la Simba SC limeingia kwenye wasiwasi mkubwa baada ya kiungo wao mbunifu, Clatous Chota Chama, kuonekana akichechemea mara baada ya kumalizika kwa mchezo wao dhidi ya Dodoma Jiji FC. Nyota huyo raia wa Zambia alionekana kuwa kwenye maumivu makali wakati akitoka uwanjani kuelekea vyumbani, jambo linalozua maswali mengi kuhusu utimamu wake wa mwili (fitness) kuelekea mechi za lala salama ya msimu huu. Hali hiyo inatazamwa kama mtihani mzito kwa club hiyo katika kipindi hiki ambacho viongozi na benchi la ufundi wanapambana kusuka mikakati ya kumaliza msimu vizuri na kujipanga kwa ajili ya michuano ya kimataifa msimu ujao. Mpaka sasa, jopo la madaktari wa Simba halijatoa taarifa rasmi kueleza ukubwa wa jeraha hilo, huku mashabiki wa Msimbazi wakisali lisije kuwa kubwa litakalomfanya fundi huyo kukaa nje ya uwanja kwa muda mrefu. ------------------------- Chama ni mchezaji Tegemezi kwa sasa msimbazi 🔥
Headboy wa mtaa tweet media
Indonesia
12
22
236
31.9K
M K retweetledi
DAMI FOREIGN🥶
DAMI FOREIGN🥶@TheDamiForeign·
Facts about private chefs?🤔
DAMI FOREIGN🥶 tweet mediaDAMI FOREIGN🥶 tweet media
English
1.5K
590
8.7K
723.8K
M K retweetledi
Swahili RealTalk🇹🇿🇦🇺
Algeria walikuwa na Wachezaji wengi Uwanjani zaidi ya Serengeti Boys (Refa alikuwa wao ) Bado nje VAR ilikuwa yao lakini bado machalii wakaenda Kuchapa Mikwaju ya maana sana Kipa alikuwa anasave zile za mwanzo zote ila vipimo havikuwa sawa akajipanga tena akaokota moja Na wanae wakachapa za kwetu kisawa sawa 😃😃😃😃😃😃 Madogo wanacheza na Swagga sana afu Mpira mguuni upo sana Kuna Moja imepigwa kama ya Cunha...Bruno ...Luke Shaw ...Cunha FOLLOW @SwahiliRealTalk
Swahili RealTalk🇹🇿🇦🇺 tweet media
Indonesia
17
28
291
13.6K
M K retweetledi
Swahili RealTalk🇹🇿🇦🇺
MASTAA WATANZANIA KIMATAIFA WIKIENDI HII,,,,! Hatimae Msimu wa kimashindano nchini Uturuki umematika rasmi huku timu ya Mtanzania Novatus Dismas Miroshi Goztepe Fc ikimaliza Msimu kwenye Nafasi ya 6 ikiwa na Michezo 34 ikijikusanyia Point 55. Nchini Denmark Mshambuliaji Mtanzania Kelvin John Ametambulishwa Mchezoni dakika ya 65' huku timu yake ya Aalborg Fc wakitoka vichwa chini baada ya Kubamizwa Bao 5-0 Ugenini na klabu ya Aarhus Fremad Fc. Baada ya Kukosa Mchezo uliopita Wikiendi hii kiungo Mtanzania Alphonce Mabula Msanga alitambulishwa mchezoni Dakika ya 68'huku timu yake ya Shamakhi Fc,ikichapwa 3-1 Ugenini dhidi ya ya klabu ya Gabala Fc. Nchini Algeria Kiungo Mtanzania Mwenye Asili ya IvoryCoast Jonathan Arthur Bada Wikiendi hii ametambulishwa mchezoni dakika ya 78' kwenye Ushindi wa 1-2 wa timu yake ya JS Kabylie dhidi ya Aso chief Fc. Baada ya Misimu Miwili mfulululizo kucheza Europer Conference League Hatimae Kiungo Mtanzania Charles Mmombwa ataonekana kwenye ngazi ya juu ya Mashindano barani Ulaya(UEFA CHAMPIONS LEAGUE) Hii ni baada ya klabu yake ya Floriana Fc kutwaa ubingwa nchini Malta hivyo kukata tiketi ya Moja kwamoja kucheza Michuano hiyo Mikubwa kabsa Barani ulaya. Nchini Canada Mshambuliaji Cyprian Kachwele ametambulishwa Mchezo dakika ya 79'huku timu yake ya HFX Wanderers Wakitoshana nguvu 1-1 Nyumbani dhidi ya Inter Tolonto Fc. Ndani ya Sodra Svealand kwenye Round ya 9 ya Ligi daraja la Pili(Division 2)Nchini Sweden Mlinda Mlango Mtanzania Kwessi Zion Pira Kawawa amecheza kwa dakika 90' huku klabu yake ya Orebro Syrianska IF ikichomoza na Ushindi wa 1-0 Nyumbani dhidi ya Fittja Fc. "Load to Wembley"ndio Msemo unaozungumzwa miongoni mwa Mashabiki na Wachezaji wa timu ya Mtanzania Hajji Mnoga yaani Salford City ambapo Siku ya Jumatatu ya Tarehe 25 dimbani Wembley itapigwa Playoff ya kumsaka Mshindi atakae panda daraja kucheza EFL league One nchini England kati ya Notts County vs Salford city. Salford walimaliza Msimu wakiwa nafasi ya 4 point 81nyuma ya vinara Bromley,Mk Dons pamoja na Cambrige ambao wamepanda moja kwa Moja,Huku sheria inasema Mshindi 4,5,6,7 Wanacheza playoff kumtafuta atakae ungana na hao Watatu wa juu. Nchini Zambia Mshambuliaji Habib Hajj Kiyombo alikuwa Jukwaani huku timu yake ya Napsa Stars ikitoka kifua mbele 1-0 dhidi ya Mutondo Stars.Huku bendera ya Tanzania ikipeperushwa na Yusuph Athumani ambaye alikuwa benchi kwa dakika zote 90' kwenye Mechi hiyo. Nchini Kenya Kiungo Awesu Awesu alitambulishwa Mchezoni dakika ya 71'huku timu yake ya Police Fc ikitoka 0-0 Ugenini dhidi ya Nairobi United. FOLLOW ME @SwahiliRealTalk
Swahili RealTalk🇹🇿🇦🇺 tweet media
Indonesia
5
12
96
11.8K
M K retweetledi
Big 0047
Big 0047@BigOO47·
Mkuu Chagua Wife Material mmoja hapa... 1. Mwenye Certificate 2. Mwenye Diploma 3. Mwenye Degree 4. Standard Seven Nasoma Comments tuone 😅
Big 0047 tweet media
HT
11
12
14
1.1K