Sabitlenmiş Tweet
Rezam Six
206.1K posts

Rezam Six
@rezam06
Nothing new here, just an admin behind the scenes👨💻
Tanzania Katılım Aralık 2021
847 Takip Edilen19.4K Takipçiler
Rezam Six retweetledi

Kupitia kalamu za waandishi wa habari @Tamwa_ iliwashirikisha kuandika makala za vinara wanawake wajasiriamali wazalishaji wa mbogamboga
Rose Reuben
#MamaMboga #KinaraMpamvanaji


Indonesia
Rezam Six retweetledi

It started with computer basics.
Now it’s AI tools, CV writing, critical thinking, and real problem-solving.
You can actually see the shift
from confusion → to clarity → to confidence.
That’s not training. That’s transformation.
@helptohelpea #Nashindwaje

English
Rezam Six retweetledi

FRIENDLIES NATIONAL TEAM 04+ ODDS
▶️Hela Bet
Betcode ▶️ RQJ4Q
💥STAKE HIGH
STEP 1:
✳️ Register/Play👉 cutt.ly/twNTfsSW
STEP 2: ✅
🎁Use Promo Code: JOBE
RT TAFADHALI


Betting Tips👽👽@Gyobe_96
Thank God Our Corner option was a 💥 💥 💥 , it's A B🤑🤑🤑🤑🤑M 400k+, Hongereni wote Mliofuata Huu Mkeka..Kama Huna account Hela Bet Jiunge Leo ushinde MEGA ODDS ZANGU Hela Bet👉cutt.ly/twNTfsSW Promo Code👉JOBE RT TAFADHALI
English
Rezam Six retweetledi

Leo, 27 Machi 2026, @TAMWA_ kwa kushirikiana na CRDB Bank Foundation imewakutanisha wanawake wajasiriamali wa mboga mboga kwa ajili ya kujadiliana, kubadilishana uzoefu na kujengewa uwezo kuhusu biashara zao pamoja na changamoto wanazokutana nazo.
#MamaMboga #KinaraMpambanaji




Indonesia
Rezam Six retweetledi

Picha za matukio mbalimbali zikionesha Wasichana mbalimbali wakiendelea kunufaika na programu ya TGEE IT Boot Camp @HelptoHelpea Nchini.
Hapa ni Ujuzi kwa Vitendo #Nashindwaje




Indonesia
Rezam Six retweetledi
Rezam Six retweetledi

Muda wa kuvunja kibubu💰
Akiba ndiyo mpango inakusaidia kutimiza malengo yako kwa urahisi.
Kupitia CRDB Wakala, huhitaji tena kwenda benki:
📍Unaweka
📍Unatuma
📍Unatoa kirahisi kwa TemboCard Visa 💳
#BenkiKimpangoWako
Indonesia
Rezam Six retweetledi

Rezam Six retweetledi

#TaifaKwanza #KataaVurugu
Jeshi la Magereza nchini limeeleza wazi kwamba hakuna Mfungwa au Mahabusu ambaye ni mgonjwa akashindwa kupatiwa huduma ya matibabu. Wanaharakati uchwara na Wanasiasa wao wanaowashikia akili wasipotoshe Watanzania. Lazima wafahamu kwamba Jeshi
Indonesia
Rezam Six retweetledi

Akina mama wengi bado wanakosa huduma salama baada ya kujifungua. Kuimarisha mifumo ya afya ni kulinda maisha ya mama baada ya uzazi. Kila mama anastahili huduma bora na heshima. Tuchukue hatua sasa kuokoa maisha.
#BeyondLabelsVoices

Indonesia
Rezam Six retweetledi

It started with computer basics.
Now it’s AI tools, CV writing, critical thinking, and real problem-solving.
You can actually see the shift
from confusion → to clarity → to confidence.
That’s not training. That’s transformation.
@helptohelpea #Nashindwaje

English
Rezam Six retweetledi

“TAMWA tunafanya kazi na wadau na kama leo tunao wafadhili wa nguvu CRDB katika kuhakikisha simulizi za Vinara wapambanaji zinatoka “ Rose Ruben #MamaMboga #KinaraMpambanaji



Filipino
Rezam Six retweetledi

“Kupitia CRDB Foundation na program ya iMbeju mfanyabiashara mdogo anaweza kushikwa mkono ,kupata mtaji, elimu na usimamizi wa karibu ili kukuza biashara. Uwezeshaji huu haukuhitaji uwe na dhamana, leseni bali utayari wako na uwajibikaji” Joshua Mwakalobo CRDB. #MamaMboga




Indonesia
Rezam Six retweetledi

#TaifaKwanza #KataaVurugu
Uhuru wa kisiasa unaodaiwa na Wanaharakati uchwara ni pamoja wao kukubali kwamba uhuru huo ni pamoja na Mtu yeyote kuwa huru kujumuika na taasisi au watu kwa utashi wake.
Indonesia
Rezam Six retweetledi

The powerful part?
It’s not the CV writing.
It’s not the AI tools.
It’s the mindset shift.
From “can I?”
to “I can.”
That’s the difference.
@helptohelpea #Nashindwaje




English
Rezam Six retweetledi

#TaifaKwanza #KataaVurugu
Wanaharakati uchwara walishangilia taarifa ya AU ya waangalizi wa uchaguzi wa Oktoba 29, baada ya Rais Mstaafu Dkt Jakaya Mrisho Kikwete kuteuliwa kuwa mwakilishi wa AU wa pembe ya Afrika na Bahati ya Shamu kushughulikia migogoro ya kisiasa wamebadili
Indonesia
Rezam Six retweetledi

Kutoka darasani hadi computer lab,
kutoka theory hadi practical.
Wasichana hawa wanapitia experience kamili ya kujifunza, kufanya na kuelewa.
Hii ndiyo tofauti.
@helptohelpea #Nashindwaje

Indonesia
Rezam Six retweetledi
Rezam Six retweetledi

Jana kwenye group letu tulishinda 6M, join sasa pia jisajili na winwin repost vijana wapate mitaji hapa
Code, J24ZP
Odds 30+
Stake 155K
✅️Kampuni WinWin
🚨Zima VPN unapojisajili
REG LINK
topgamewinwin.org/GcDDrt
APK LINK
topgamewinwin.org/DHhkJK
✅️Promo code Anna
Join WhatsApp 👇🏾
chat.whatsapp.com/FunArws6X3y9cc…


Indonesia











