Sabitlenmiş Tweet
JB X💎
8.1K posts

JB X💎
@jackjose075
🔰🔰🖐vs 💙✌🏾 😎
Dar es Salaam, Tanzania Katılım Kasım 2022
2K Takip Edilen1.9K Takipçiler
JB X💎 retweetledi

$720 hata mimi naweza msajili kumbe akakipige Majimaji ya Songea tupande daraja msimu ujao
EL SUKAYO LE ANALYSTE 🇹🇿@Elsukay0
🚨EXCLUSIVE : Mkataba wa Duke unaisha msimu huu mwishoni Azam Fc wametuma offer ya $ 720 USD kama sign fee kwenye management ya Duke mazungumzo ya awali yamefanyika kati ya Azam Fc na management ya Duke Msimu ujao Duke anaweza kucheza Azam na alie mli- recommend Duke ni Ibenge
Indonesia
JB X💎 retweetledi

Ninatoa pongezi za dhati kwa Alphonce Simbu kwa kushika nafasi ya pili na kuweka rekodi ya Taifa katika Mashindano ya Kimataifa ya Mbio ya Boston (Boston Marathon), kwa mara ya pili mfululizo.
Umeendelea kuipeperusha vyema bendera ya Taifa letu, ukilitangaza jina la Tanzania kimataifa katika moja ya mashindano mashuhuri zaidi duniani, na umetuletea heshima kubwa katika ulimwengu wa michezo. Mafanikio yako ni chachu ya matumaini na hamasa kwa vijana wengi.
Watanzania wote tunajivunia.

Indonesia
JB X💎 retweetledi
JB X💎 retweetledi
JB X💎 retweetledi
JB X💎 retweetledi
JB X💎 retweetledi
JB X💎 retweetledi
JB X💎 retweetledi
JB X💎 retweetledi

Generali Duke Abuya mchezaji bora 𝐍𝐈𝐂 𝐈𝐍𝐒𝐔𝐑𝐀𝐍𝐂𝐄 𝐏𝐋𝐀𝐘𝐄𝐑 𝐎𝐅 𝐓𝐇𝐄 𝐌𝐎𝐍𝐓𝐇 kwa mwezi Machi 2026
#NICInsuranceSisiNiBima #TimuYaWananchi

HT
JB X💎 retweetledi

Mashindano ya Ligi ya Muungano ya Mpira wa Miguu yanatarajiwa kuanza Aprili 21 hadi 29, 2026 katika Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar,
Timu nane zitashiriki mashindano hayo, ambapo kwa upande wa Zanzibar ni KVZ FC, Mafunzo SC, Mlandege FC na Muembe Makumbi City, huku Tanzania Bara ikipeleka Azam FC, Simba SC, Singida Black Stars FC na Yanga SC.

Indonesia
























