
@nehemiacharles1 @CoolestDudeOnX @VungaEl74 @fabrizAfricano1 Wagalatia ninini? Wagalatia ni waraka wa Paulo kwenda kwa jamii ya wagalatia sio kitabu cha Mungu ndo mana inapingana na kauli ya Yesu ambae ndie mtume wa Mungu.
Filipino
mwinuse
4.3K posts

@jaymaabadi
hakuna Mola apasae kuabudiwa kwa haq isipokuwa Mwenyezi Mungu
























@bonifacejoseph_ @Makaveli_255 Biblia imethibitisha haya unayosema?