Sabitlenmiş Tweet
JEFF 🦁@jeff
12.5K posts

JEFF 🦁@jeff
@jeffjrj98
Mkulima & Mfugaji (Poultry & Pig)... Karibu nikuhudumie kuku Broiler.... Wasiliana nami kwa namba 0627747297.... Napatikana Rombo - Kilimanjaro.
Kilimanjaro, Tanzania Katılım Aralık 2020
3.1K Takip Edilen5.7K Takipçiler

Naaam naaam asogee DM kwa @pastajoshuatz apate huduma kwa bei ya jioni kabisa😁🫵🏾
The mandevu@ze_mandevu
Wanaume wezangu, naomba tumsaidie Mwanaume mwenzetu hapa ili nae aweze kuitwa Mwanaume.😥
Filipino

Barabarani kuna vichaa wengi unaamka zako fresh kabisa mtu anakuja kukusababishia ajali
Tanzania Bound Buses@TBoundBuses
"Roads ain't playgrounds"
Indonesia

@KennedyMmari @Sharb84 Kwa uku broiler wa kilo nne bei ndo iyoo 35k
Indonesia

@Sharb84 @jeffjrj98 Broiler wanafikisha hadi kilo 8 na wanakuwa wakubwa.
Kuna mama mmoja alikuwa anawafuga hadi kilo 6-8 na kuwauza kuanzia 35k
instagram.com/reel/C6GY-2vN0…
Filipino

Nikisema kuku wa kisasa wengi tunaokula Tanzania wanauzwa prematurely (vifaranga), utakubali?
Kuku wa broiler inashauriwa anakuwa tayari kwa matumizi akiwa na angalau uzito wa 1.8-2.5kg akiwa hai na baada ya kuchinjwa abaki na zaidi ya 1.3kg.
Average chicken wengi wanaouzwa mtaani wanakuwa na hadi gramu 700, ni a rare find kukuta kuku wa 1.3kg.
Kwa wenzetu, kuku wao huachwa kukua hadi kufikia kilo 2 wakiwa wamechinjwa. Yaani hapo labda ni kilo 3 akiwa mzima.
Hili suala lazima lina “side effects” kwenye public health. Labda tutakuja kugundua miaka mingi sana mbeleni kama tusipoanza kufanya regulation ya farm to table products.
NB: Picha hii sikuipiga Tanzania. Ni kuku wa kilo mbili.

Indonesia

@Sharb84 @KennedyMmari Hahaa broiler wanaishi hadi miezi 5 ,. Pale kilacha huwa nachukua apo vifaranga wale kuku wanawakuzaa maalumu kwasababu wanasoko la uwakikaa
Filipino

@KennedyMmari Kule Kilacha Himo Moshi kuku wao huanzia 3kg hadi 5kg.
Nilikuwa nashangaa sana.
Mimi nilidhani broilers hufikia maturity week 8 regardless ya Uzito!.🤔
Indonesia












