Bunge la Tanzania limepitisha Azimio la kuipongeza Serengeti Boys kwa kufuzu fainali ya AFCON U17, pamoja na kukata tiketi ya kushiriki Kombe la Dunia (U17) mwaka huu.
Aidha, katika azimio hilo wamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuinua na kuhamasisha sekta ya michezo nchini.
Emirates imeweka picha ya wachezaji wa Arsenal kwenye ndege yao A380 kama sehemu ya kushangilia ubingwa wa Arsenal. Picha hiyo imeandikwa “champions” na ina wachezaji 4 wa Arsenal. Emirates inatimiza ushirikiano wa miaka 20 na Arsenal, na ina haki ya kuupa jina uwanja wa Arsenal
Ukweli mtupu maxi na Duke ni wachezaji wa kawaida sana si wa kutegemea kabisa
Ukimtegemea maxi na Duke wakuvushe robo fainal CAFCL utasubiri sana.
Ogopa sana mchezaji anaeingia uwanjani kwa mentality ya kukaba na sio kushambulia huyo atakufelisha tu✍️.
🚨💰 BREAKING:
Arsenal owner Stan Kroenke is reportedly ready to reward EVERY Arsenal player with a brand new Rolls-Royce Phantom worth between $530K–$580K if they beat Paris Saint-Germain tomorrow and deliver Arsenal’s FIRST EVER Champions League title. 😳🏆
While bingwa wa hii michuano anapewa million 330😁 so madogo wakichukua wanapiga kama million 900?.....swali Je madogo pesa zitawafikia au kuna watu watanufaika nazo ? Au ndo kila mtu anapewa million 1 na viatu then go home.
Kama wewe ndio ungekuwa huyo dogo na hizi timu zote zimekutumia offer ya kusaini… ungechagua timu gani? 👀⚽🔥
• Slavia Praha
• Como 1907
• Malmö FF
• Simba SC
• Yanga SC