@EsirEid Hata magufuri wengi walimpenda baada ya kufa ..Kuna uwezekano ikawa kweli alikua anachukiwa na watu wengine pia hata 35% ya Raia wa nchini kwake
@Kil0voltI@Cowwbama@Sativa255 Wapo wengi nawajua wanaiyo hela na wanatambo za kifala anza na baba levo ,mwijaku , msigwa na wengine kibao tu hata na sugu
@Cowwbama@Sativa255 Mimi nachojua hela haina kelele.
Ila ina outcomes ambazo utaziona tu.
Mtu mwenye mil 100 wala huwezi kumsikia ana tambo za kifala.
Narudia vijana hizi mil 10 - mil 50 tulizoshika, zinatupa ujinga saaaana.
@EsirEid tajiri la kihaya hela anayo suala la kukupa 1M ukanywe soda suala la kawaida sio wale wanaosema uwe na pic na Internet ukae ndani upate 100M+ sidhani
@LifeofSteph_1 Sasa kama team ni kubwa anaogopa nini ao anaocheza nao kwa uefa si ni wadogo sana kumliko awafunge tu tenah akivuka apo apewe PSG au bayern
But nawaelewa UEFA kampen yao kwa madrid ka dominate sana haya mashindano that's why they're doing all they can kumfanya asitembee. Imagine City, Bayern, PSG hyo njia hawez toboa milele na milele Amina.
@killo_killo11 Neymar sio vin vini shida sio ushangiliaji Kwan unazani vin ndo mchezaji wa kwanza kucheza kwenye kibendera baaya kufunga goal ???? Grezman , tevez , Neymar tangu Barca , na wengine wapo hila vini ana kiburi ana dharau na anamadeko saana
Kwanini Wakristo Hawafuturishi Msimu Huu wa Kwaresma Kama Waislam Msimu wa Ramadhani..?!
——————
Tufuatilie Kupitia 92.9 Dodoma, Singida, Manyara, Gairo - Morogoro na Mtera.