Sabitlenmiş Tweet

Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, natoa shukrani zangu za dhati kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, @SuluhuSamia kwa kukubali kuwa mgeni rasmi katika hafla ya utoaji wa Tuzo za Samia Kalamu Awards
Hotuba yako Mh. Rais, iliendelea kutukumbusha wajibu wetu 1/3



Indonesia
































