Ezekia Elia Zambi

4.4K posts

Ezekia Elia Zambi banner
Ezekia Elia Zambi

Ezekia Elia Zambi

@kakaAFRIKA

Member and Regional party Chairman

Tanzania Katılım Ağustos 2019
864 Takip Edilen182 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Ezekia Elia Zambi
Ezekia Elia Zambi@kakaAFRIKA·
Good Morning Songwe................
Ezekia Elia Zambi tweet media
English
2
10
20
1.1K
Ezekia Elia Zambi
Ezekia Elia Zambi@kakaAFRIKA·
Only a rotten mind would attempt this foolishness. Emu @mangekimambi Achana na Huo Ujinga.Unajisikiaje unafanya kazi kubwa kumchafua @zittokabwe afu Mwamba Yupo zake uko katulia anaangalia zake mechi ya Simba na TRA ata hashughuliki na wewe MJINGA MMOJA
Ezekia Elia Zambi tweet media
Filipino
0
1
1
16
Ezekia Elia Zambi
Ezekia Elia Zambi@kakaAFRIKA·
Mwanzo walipokuwa wanasema wanaharakati Uchwara Ni wengi Sana Nilikuwa najua Ni kauli tu za CCM kwa Upinzan Lakin Leo Hata Dunia Inashangaa. Sisi Tunaomjua vzr @zittokabwe na tunaokufuatilia wewe vzr itokee tumewaweka jukwaa moja wewe na Zitto 😁😁. Afu ubaya unaemsema ata hakujb
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸@mangekimambi

Mwenye ile video ya Zitto Kabwe akiwahakikishia CCm kuwa wasijali hakuna maandamano yatatokea kwenye uchaguzi sababu kuna kimoja tu Tanzania kinachoweza kuitishisha maandamano na chama hiko ni ACt na wao wanashiriki uchaguzi. Naomba nitumie hiyo video WhatsApp +1 424 537 3057

Indonesia
0
0
0
3
Ezekia Elia Zambi
Ezekia Elia Zambi@kakaAFRIKA·
Mimi tokea nimejiunga na ACT nikiwa Kama Mwanachama Hadi kuwa kiongoz sijawai kushuhudia kwa macho yangu kitu chochote,tukio lolote la kiongozi au chama kuonesha wazi au kwa kitendo chake au itikadi au mawazo yake Kushirikiana na CCM Kwahiyo @mangekimambi Tuachane na Huo Ujinga
Ezekia Elia Zambi tweet media
Indonesia
0
0
1
14
Ezekia Elia Zambi
Ezekia Elia Zambi@kakaAFRIKA·
Hajawai Kushiriki Moja kwa Moja (direct) kwenye Siasa Za Tanzania sikuzote @mangekimambi amekua Kama Mbwa anaebwekea Mbali ko huwez Kujua Anabwekea Nyumba Ipi..Mtu yeyote ambae hajawai kuwa kiongoz wa chama chochote Cha siasa hawez kuelewa vyama vinaendeshwaje na huo ndo Uhalisia
Ezekia Elia Zambi tweet media
Indonesia
0
0
0
10
Ezekia Elia Zambi retweetledi
Peter Madeleka
Peter Madeleka@PMadeleka·
Mheshimiwa Jaji FRANCIS MUTUNGI, ni Msajili wa Vyama Vya Siasa. Kwa mujibu wa HOTUBA ya Jaji CHANDE, Ofisi ya Msajili ni CHANZO kimoja wapo cha MAUAJI ya watu ZAIDI YA 500. Msajili HAPASWI na HANA Mamlaka ya KUHUJUMU Vyama Vya UPINZANI kwa MANUFAA YA CCM.
Peter Madeleka tweet media
Indonesia
20
75
396
10.8K
Ezekia Elia Zambi retweetledi
ROYAL TELEVISION
ROYAL TELEVISION@Royal_Tv_Tz·
Chama cha ACT Wazalendo kimesema kinasikitishwa na mwenendo wa Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa Nchini unaolenga kuvihujumu vyama vya upinzani na kukipendelea Chama cha Mapinduzi CCM, wakisisitiza kuwa ukosefu wa misingi ya haki ni hatari kwa utulivu, amani na mshikamano wa Kitaifa na hivyo kumtaka Msajili wa vyama vya siasa kuifuta haraka barua yake aliyoituma kwa Chadema na akiache Chama hicho kuendelea kutekeleza wajibu wake bila vikwazo pamoja na kuiacha CCM ishindane kisiasa katika majukwaa ya kisiasa dhidi ya Vyama vingine vya siasa vilivyopo Nchini. Taarifa ya ACT Wazalendo iliyotiwa saini na Naibu Katibu wa habari, uenezi na mahusiano ya umma Bi. Shangwe Ayo leo Mei 14 2026, siku moja baada ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa kutoa siku 13 kwa Chadema kujieleza kwanini usajili wake usisimamishwe kutokana na ukiukwaji wa sheria ya Vyama vya siasa, ACT Wazalendo ikitoa wito pia kwa wanademokrasia na wananchi kuunganisha nguvu pamoja ili kulinda demokrasia dhidi ya mashambulizi dhidi ya mmoja wao au dhidi yao kwa pamoja. "ACT Wazalendo tunasikitishwa na mwenendo huu wa Msajili unaolenga dhahiri kuvihujumu vyama vya upinzani na kukipendelea CCM. Wajibu wa msajili si kushughulikia vyama vya upinzani, wajibu wa msajili ni kusajili vyama na kuviwezesha viweze kutekeleza wajibu wake kisiasa ili kukuza na kuimarisha demokrasia, hata hivyo Msajili amepindua wajibu huo na sasa anatekeleza wajibu wa kuua vyama na kuangamiza demokrasia ya vuama vingi. Jambo hili halikubaliki." Amesema Bi. Ayo. Miongoni mwa hoja zilizotajwa kwa uzito mkubwa na Ofisi ya Msajili kama sababu ya kutaka kusimamisha usajili wa Chadema ama kukitoza faini cjama hicho ni pamoja na kauli zinazodaiwa kutolewa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, kuhusu mpango wa kuitisha maandamano nchi nzima kushinikiza kuachiwa kwa mwanasiasa wa upinzani Tundu Lissu. Kwa mujibu wa Msajili, kauli hizo zinaweza kutafsiriwa kama kuhamasisha taharuki, kuchochea migogoro ya kisiasa pamoja na kuingilia mwenendo wa shauri ambalo bado lipo mahakamani. Barua hiyo pia imemnukuu Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Korogwe, Oliver Kisaka, kwa madai ya kutoa matamshi yanayohusishwa na “mageuzi makubwa” pamoja na matukio ya Oktoba 29, 2025, huku Msajili akieleza kuwa baadhi ya kauli hizo zinaweza kufasiriwa kama uchochezi au kuhamasisha matumizi ya nguvu kisiasa. Kulingana na Bi. Ayo, hatua hiyo ameeleza kuwa si ngeni kwa Ofisi ya Msajili katika kuviandama vyama makini vinavyotekeleza wajibu wake kwa umma, akisema makosa yanayotumiwa na Msajili kuviandama vyama hivyo ni masuala ya kawaida lakini huonekana kuwa na shida pale tu Chama Cha Mapinduzi na serikali yake inapoguswa. "Wakati vyama vya upinzani vinaandamwa kwa vitisho na kutakiwa kujieleza Msajili hajawahi hata kwa bahati mbaya kukionya CCM ambacho baadhi ya Viongozi na wanachama wake wako kwenye rekodi za kukiuka si tu sheria ya Vyama vya siasa bali pia sheria na maadili mengine ya Nchi yetu ikiwemo kauli za baadhi ya viongozi wakisema watateka na kuwapoteza watu." Amesema Ayo.
ROYAL TELEVISION tweet media
Indonesia
3
18
74
2.8K
Ezekia Elia Zambi retweetledi
Land Dwellers
Land Dwellers@Land_Dwellers·
Chama cha ACT Wazalendo kimemtaka Msajili wa Vyama vya Siasa Tanzania, Jaji Francis Mutungi kufuta barua aliyoandika kukitaka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kujieleza kwanini kisisimamishwe usajili na kupigwa faini kwa madai ya kukiuka sheria ya vyama vya siasa.
Land Dwellers tweet media
Indonesia
1
6
10
374
Ezekia Elia Zambi retweetledi
ROYAL TELEVISION
ROYAL TELEVISION@Royal_Tv_Tz·
Mwanasiasa Zitto Zubeir Kabwe amesema tishio lolote dhidi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema ni tishio la demokrasia ya Tanzania, akisisitiza umuhimu wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa Nchini kuchutama, kuwajibika na kubadilika badala ya kurudia baadhi ya makosa ya ubaguzi na kutotenda haki kwa Vyama vya siasa Nchini kama iliyoelezwa katika ripoti ya Tume ya kuchunguza ghasia za wakati na baada ya uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. "Tunachukulia kuwa tishio lolote dhidi ya Chadema ni tishio dhidi ya demokrasia. Msajili achana na mpango wako huo wa kutaka kuifuta Chadema, utafutwa wewe na hakuna shaka kuhusu hili." Ameandika Zitto Kabwe. Zitto ametoa hisia zake hizo kupitia andiko lake kwenye Mtandao wa Kijamii wa X leo Alhamisi Mei 14, 2026, siku moja mara baada ya Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa kutoa siku 13 kwa Chadema kujieleza ni kwanini wasichukuliwe hatua ya kusimamishwa kwa usajili wa chama hicho, madai yakiwa ni kukiukwa kwa sheria ya vyama vya siasa pamoja na matamshi yanayohatarisha amani, usalama na utulivu wa nchi yanayotolewa na Viongozi wa Chama hicho. "Tume ya Jaji Chande iliyoundwa na Rais imetoa Taarifa inayosema wananchi wanailalamikia Ofisi ya Msajili kwa kutokutenda haki kwenye kusimamia shughuli za vyama vya Siasa. Badala ya Msajili kuchutama, kuwajibika na kubadilika anarudia makosa yaleyale. Msajili anajua, Watanzania wanajua na Dunia inajua kuwa Kuna ushahidi wa kutosha wa CCM kufanya makosa makubwa kuliko hata ambayo msajili ameituhumu Chadema, hatukuwahi kuona hatua zozote zimechukuliwa na Ofisi hii ya Msajili." Ameandika Zitto. Aidha Katika barua ya Msajili iliyotumwa kwa Chadema, ilieleza kuwa Ofisi hiyo imekuwa ikifuatilia kwa karibu mwenendo wa viongozi wa CHADEMA, kauli zao katika mikutano ya hadhara, taarifa za vikao vya chama pamoja na maudhui yanayosambazwa kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii. Miongoni mwa hoja zilizotajwa kwa uzito mkubwa ni kauli zinazodaiwa kutolewa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, kuhusu mpango wa kuitisha maandamano nchi nzima kushinikiza kuachiwa kwa Mwenyekiti wa Chama hicho Bw. Tundu Lissu. "Ofisi ya Msajili iiache CCM ifanye Siasa za ushindani dhidi yetu. Ujumbe huu sio wa Msajili tu bali pia ni kwa vyombo vya ulinzi na usalama pia. Kaeni pembeni acheni vyama vya Siasa vifanye Siasa. Mnataka watu wangapi wafe ili mpate somo?" Ameongeza kusema Bw. Zitto.
ROYAL TELEVISION tweet media
Indonesia
1
16
56
1.6K
Ezekia Elia Zambi retweetledi
ROYAL TELEVISION
ROYAL TELEVISION@Royal_Tv_Tz·
Rais wa Chama cha wanasheria wa Tanganyika Law Society TLS na mwanaharakati wa haki za binadamu Boniface Anyisile Mwabukusi amelaani kile alichokiita uonevu na ubaguzi unaofanywa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa Nchini kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, akishauri ofisi hiyo idhibitiwe mapema kabla haijaleta madhara Nchini. Kauli ya Mwabukusi imekuja siku moja baada ya taarifa ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa ya jana Mei 13, 2026, kueleza kuwa wameiandikia barua Chadema ikikitaka Chama hicho kujieleza ni kwanini kisisimamishwe usajili wake, kikidaiwa kuvunja sheria ya Vyama vya siasa pamoja na Viongozi wake kutoa kauli ambazo zimekuwa zikihatarisha amani, usalama na utulivu wa Nchi. Katika andiko lake Mwabukusi katika mtandao wa kijamii wa X, ameinyooshea kidole pia Tume ya Taifa ya uchaguzi akisema kutowajibika kwa Ofisi hizo mbili huenda ikawa ni visababishi vya ghasia za Oktoba 29, 2025 ambazo zilisababisha vifo vya watu wengi, uharibifu wa mali pamoja na miundombinu mbalimbali. "Baadhi ya Maofisa wa Ofisi ya Msajili kwa makusudi, kujipendekeza au kutumika wana mchango mkubwa sana katika kuharibu Haki, Amani, umoja na utulivu wa kidemokrasia ndani ya vyama vya siasa na ustahimilivu wa Kidemokrasia. Ofisi hii Inafanya na Kutenda kwa kuzingita uonevu, ubaguzi, hila na Inaongoza kwa matumizi mabaya ya Mamlaka." "Tunaweza tukalaumu vyombo vingine vya kusimamia sheria kama Polisi, Jeshi, Mahakama na vyombo vingine vya Ulinzi ila kuna Ofisi hii ya Msajili wa vyama vya Siasa ambayo imeacha kazi ya kusajili vyama na imejigeuza Ofisi ya kuvuruga utulivu ndani ya vyama na kuminya uhuru wa kidemokrasia na ushiriki mpana wa vyama vya siasa." Ameandika Mwabukusi.
ROYAL TELEVISION tweet media
Indonesia
2
16
45
1.2K
Ezekia Elia Zambi retweetledi
Maulid Kitenge
Maulid Kitenge@mshambuliaji·
Chama cha ACT Wazalendo kimeeleza kusikitishwa na mwenendo wa Msajili wa vyama vya siasa Nchini ambao kimedai unalenga dhahiri kuvihujumu vyama vya upinzani huku kikimtaka Msajili afute barua yake kwenda Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akikitaka kijieleze kwa nini kisisimamishwe usajili wake au kutozwa faini kwa kile alichokieleza kuwa ni 'ukiukaji wa sheria ya vyama vya siasa'. Kupitia taarifa iliyotolewa leo Mei 14, 206 na Naibu Katibu wa Habari, Uenezi na Mahusiano na Umma ACT Wazalendo, Shangwe Ayo, Chama hicho kimemtaka Msajili kuacha kuviandama vyama vya upinzani makini vinavyotekeleza wajibu wake kwa umma kikamilifu kikieleza mwamba mara zote, makosa anayoyatumia Msajili kuviandama vyama vya upinzani ni masuala ya kawaida ya kisiasa isipokuwa huonekana kuwa na shida pale tu Chama cha Mapinduzi au Serikali yake inapoguswa. “Wakati vyama vya upinzani vinaandamwa kwa vitisho na kutakiwa kujieleza Msajili hajawahi hata kwa bahati mbaya kukionya Chama cha Mapinduzi (CCM) ambacho baadhi ya viongozi na wanachama wake wako kwenye rekodi ya kukiuka si tu sheria ya vyama anayojinasibu Msajili kuisimamia, bali sheria na maadili mengine ya nchi yetu.” imesema sehemu ya taarifa hiyo. “Tumewasikia viongozi wa CCM kwa nyakati tofauti wakitamka hadharani kuwa watateka na kuwapoteza watu. Wakati kauli za namna hiyo zikitolewa na hatua zozote kutochukuliwa, Watanzania wameshuhudia wananchi kwa mamia wakitekwa, kupotea na kuuawa kama panya!” “Wajibu wa Msajili si 'kushughulikia' vyama vya upinzani. Wajibu wa Msajili ni kusajili vyama na kuviwezesha viweze kutekeleza wajibu wake wa kisiasa ili kukuza na kuimarisha demokrasia. Hata hivyo, Msajili amepindua wajibu huo, na sasa anatekeleza wajibu wa kuua vyama na kuangamiza demokrasia ya vyama vingi. Jambo hili halikubaliki na tunalipinga kwa nguvu zote.” ACT Wazalendo imetoa wito kwa wanademokrasia na wananchi wote nchini kuunganisha nguvu pamoja kulinda demokrasia yetu dhidi ya mashambulizi hayo ikieleza kwamba mashambulizi dhidi ya mmoja wetu ni mashambulizi dhidi yetu sote na kwamba gharama ya kutoweka kwa demokrasia katika nchi yetu ni kubwa, lazima tuilinde.
Maulid Kitenge tweet media
Indonesia
0
13
86
3.8K
Ezekia Elia Zambi retweetledi
MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus@MwanzoTvPlus·
#TANZANIA:ZITTO:TISHIO LOLOTE DHIDI YA CHADEMA NI TISHIO DHIDI YA DEMOKRASIA Anaandika Zitto Kabwe Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo na aliyewahi kuwa mbunge wa Kigoma Mjini Zama za Ofisi ya Msajili wa Vyama kuwa mchezaji namba 12 wa CCM FC zimekwisha. Dola isome alama za nyakati. The writing is on the walls! Msajili STOP THIS NONSENSE ya kutaka kufuta CHADEMA. Utafutwa wewe, No doubt about this! Tume ya Chande iliyoundwa na Rais imetoa Taarifa inayosema wananchi wanailalamikia Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa kutokutenda haki kwenye kusimamia shughuli za vyama vya Siasa. Badala ya Msajili kuchutama, kuwajibika na kubadilika anarudia makosa yaleyale yaliyopelekea mauaji yaliyoanza Oktoba 29. Msajili anajua, Watanzania wanajua na Dunia inajua kuwa Kuna ushahidi wa kutosha wa CCM kufanya makosa makubwa kuliko hata ambayo msajili ameituhumu Chadema, hatukuwahi kuona hatua zozote zimechukuliwa na Ofisi hii ya Msajili. Ofisi ya Msajili ijue WATANZANIA SIO MABWEGE. Tunachukulia tishio lolote dhidi ya CHADEMA ni tishio dhidi ya Demokrasia. An attack to one, is an attack to all. Iacheni CCM ifanye Siasa za Ushindani dhidi yetu. Nasi tufanye siasa za ushindani dhidi yao. Acheni kuwa mbeleko ya CCM. Mtaanguka nayo. Ujumbe huu sio wa Msajili tu bali pia ni kwa VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA pia. Kaeni pembeni acheni vyama vya Siasa vifanye Siasa. Mnataka watu wangapi wafe ili mpate somo?
MwanzoTvPlus tweet media
Indonesia
10
41
119
2.5K
Ezekia Elia Zambi retweetledi
MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus@MwanzoTvPlus·
#TANZANIA:MWABUKUSI:OFISI YA MSAJILI NDIO CHEMCHEM YA VURUGU ZA OKTOBA 29 Anaandika Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika(TLS), Boniface Mwabukusi. Tumeshauri sana na tunaendelea kushauri.Ofisi ya Msajili wa Vyama ndiyo chemichemi ya vurugu za kidemokrasia ndani ya Vyama vya Upinzani na inamchango mkubwa katika vurugu za Oktoba 29. Kimsingi Tume ya Uchaguzi na Ofisi hii ya Msajili wa vyama kwa matendo au kutowajibika kwao zimesababisha asilimia zaidi ya 60 kupelekea mauaji ya Oktoba 29/2025. Baadhi ya Maofisa wake kwa makusudi, kujipendekeza au kutumika wana mchango mkubwa sana katika kuharibu Haki, Amani , umoja, utulivu wa kidemokrasia ndani ya vyama vya siasa na ustahimilivu wa Kidemokrasia Ofisi hii Inafanya na kutenda kwa kuzingita Uonevu,ubaguzi,hila na Inaongoza kwa matumizi mabaya ya mamlaka. Tunaweza tukalaumu vyombo vingine vya kusimamia sheria kama Polisi, Jeshi, Mahakama na vyombo vingine vya Ulinzi ila tusisahu kuwa kinu kinachofua na kuandaa hila, fitina na machafuko ni Ofisi ya Msajili wa vyama vya Siasa ambayo imeacha kazi ya kusajili vyama na imejigeuza Ofisi ya kuvutuga utulivu ndani ya vyama na kuminya uhuru wa kidemokrasia na ushiriki mpana wa vyama vya siasa. Tusipo ziba Ufa tutajenga Ukuta, Mwanzo wa ngoma ni lele , na Asiye sikia la Mkuu huvunjika guu.Hala hala kidole na Jicho.
MwanzoTvPlus tweet media
Indonesia
3
66
183
2.4K
Ezekia Elia Zambi retweetledi
ROYAL TELEVISION
ROYAL TELEVISION@Royal_Tv_Tz·
Wenyeviti wa Chama cha ACT Wazalendo kutoka kwenye Mikoa 11 ya Kichama Visiwani Zanzibar wametuma salamu za mshikamano na kumpa moyo Waziri Mkuu mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba kwa kuwa sehemu ya viongozi wastaafu wanaosimamia ukweli kwenye suala la ripoti ya matukio ya uvunjifu wa amani wakati na baada ya uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, wakikemea pia hatua ya madai kuwa vipo vyombo vya dola ambavyo vimekuwa vikimtisha au kumshurutisha Mzee Warioba ili asiendelee kusimama kwenye ukweli. Taarifa yao ya pamoja iliyotumwa kwenye dawati letu la habari leo Alhamisi Mei 14, 2025 mara baada ya kikao chao imepongeza pia taasisi zote ambazo zimesimama imara na kusema kweli juu ya ghasia na mauaji ya Oktoba 2025, wakieleza kutambua pia jitihada za viongozi wa dini, wanaharakati na waandishi wa habari ambao wameamua kusimama kwenye kuusema ukweli kuhusu mauaji yaliyotokea mwaka jana. Viongozi hao kadhalika wametangaza kuyaunga mkono maazimio ya kikao cha Kamati Kuu ya ACT Wazalendo kilichoketi Mei 3, 2026 ikiwa ni pamoja na kuendelea kuikataa Tume ya Jaji Mohamed Othman Chande na ripoti yake ya uchunguzi wa matukio ya ghasia za wakati na baada ya uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 na kutaka wahusika wa mauaji ya watu 518 kwenye ghasia hizo, wachukuliwe hatua za kisheria. Wenyeviti hao pia katika tamko lao (Joint statement) wameunga mkono wito wa Kamati kuu ya ACT Wazalendo wa kuchukuliwa kwa hatua za dharura ikiwemo kuitishwa kwa uchunguzi huru wa Kimataifa kuchunguza mauaji ya Oktoba 29, kuachiwa kwa watu wote wanaoshikiliwa kwa kesi za kisiasa akiwemo Tundu Lissu na kuwajibishwa kwa wote ambao Wizara, vitengo na Ofisi zao zilichangia kutokea kwa mauaji ya raia. "Tunasisitiza kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi, Msajili wa vyama vya siasa, Mkurugenzi na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya uchaguzi, Wakuu wa Mikoa ya Dar Es Salaam, Mbeya, Arusha, Songwe na Mikoa yote iliyohusika na mauaji ya wananchi wawajibishwe sambamba na wakuu wa Wilaya ambazo zilishamiri kwa mauaji." Wamesema Wenyeviti hao. Katika hatua nyingine Viongozi hao pia wametoa rai kwa Rais Samia Suluhu Hassan kuiweka hadharani ripoti yote ya Tume ya Jaji Mkuu mstaafu Mohamed Chande Othman kwani itasaidia kuelewa kwa kina mbinu za kiuchunguzi za tume hiyo na matokeo yake, wakisema Muhtasari wa ripoti hiyo uliosomwa na Jaji Chande umeacha maswali mengi kuliko majibu.
ROYAL TELEVISION tweet media
Indonesia
3
19
75
2.7K
Ezekia Elia Zambi retweetledi
Ismail Jussa
Ismail Jussa@IsmailJussa·
Msajili Francis Mutungi na Karani wako Sisty Nyahoza mmeivuruga sana nchi. Badala ya kazi ya kusajili, mmejifanya ni wamiliki wa vyama. Watanzania hawatakubali UHUNI huu uendelee. Wakati umefika MJIFUTE wenyewe kutoka OFISI ZA UMMA. Nchi hii si mali yenu!
Indonesia
6
62
269
6.5K
Ezekia Elia Zambi retweetledi
Ismail Jussa
Ismail Jussa@IsmailJussa·
▪︎ 2016 - 2018: Mliihujumu CUF na Maalim Seif ▪︎ 2019: Mkatishia kuifutia Usajili ACT Wazalendo ▪︎ 2024 - 2025: Mkaizuia Chadema isifanye shughuli za kisiasa ▪︎ 2025: Mkamzuia Luhaga Mpina asiwe Mgombea Urais wa ACT ▪︎ 2026: Mnatishia kuifutia Usajili Chadema
Ismail Jussa tweet mediaIsmail Jussa tweet media
Indonesia
84
224
893
30.7K
Ezekia Elia Zambi retweetledi
millardayo
millardayo@millardayo·
Raisi wa Chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, amesema ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa inapaswa kudhibitiwa kabla haijasababisha maafa kwa mara ya pili, kauli ambayo inakuja baada ya Msajili kuiandikia barua CHADEMA akiitaka ijieleze kwanini usajili wa Chama hicho usisimamishwe au Chama kutozwa faini kwa kukiuka masharti ya Sheria ya Vyama vya Siasa, ikiwemo masharti ya usajili. Kwenye andiko lake alilolichapisha leo May 14, 2026 kwenye ukurasa wa X, Mwabukusi amesema “Tumeshauri sana na tunaendelea kushauri, Ofisi ya Msajili wa vyama ndiyo chemichemi ya vurugu za kidemokrasia ndani ya Vyama vya Upinzani na ina mchango mkubwa katika vurugu za October 29, kimsingi Tume ya Uchaguzi na Ofisi hii ya Msajili wa vyama kwa matendo au kutowajibika kwao zimesababisha asilimia zaidi ya 60 kupelekea mauaji ya October 29/2025." “Baadhi ya Maofisa wake kwa makusudi, kujipendekeza au kutumika wana mchango mkubwa sana katika kuharibu haki, amani ,umoja,utulivu wa kidemokrasia ndani ya vyama vya siasa na ustahimilivu wa kidemokrasia” “Ofisi hii Inafanya na Kutenda kwa kuzingita, uonevu, ubaguzi, hila na inaongoza kwa matumizi mabaya ya Mamlaka, tunaweza tukalaumu vyombo vingine vya kusimamia sheria kama Polisi,Jeshi,Mahakama na vyombo vingine vya Ulinzi ila tusisahu kuwa kinu kinachofua na kuandaa hila, fitina na machafuko ni ofisi ya Msajili wa vyama vya Siasa ambayo imeacha kazi ya kusajili vyama na imejigeuza ofisi ya kuvuruga utulivu ndani ya vyama na kuminya uhuru wa kidemokrasia na ushiriki mpana wa vyama vya siasa." “Tusipo ziba ufa tutajenga ukuta, mwanzo wa ngoma ni lele na asiye sikia la Mkuu huvunjika guu, hala hala kidole na jicho” —- ameandika Mwabukusi #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Indonesia
14
56
388
10.4K
Ezekia Elia Zambi retweetledi
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe@zittokabwe·
Tanzania should therefore stop reacting defensively and start leading strategically. Tanga should be presented not simply as a Tanzanian port city, but as the natural energy and industrial gateway connecting East and Southern Africa. thechanzo.com/2026/05/14/tus…
English
17
33
106
7.2K
Ezekia Elia Zambi retweetledi
ROYAL TELEVISION
ROYAL TELEVISION@Royal_Tv_Tz·
Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Bw. Ado Shaibu Ado amesema mpango wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa kutaka kukifungua Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, kutalitumbukiza Taifa kwenye mkwamo wa kisiasa, akisema kile kilichoelezwa katika barua ya msajili wa Vyama vya siasa kama "Makosa" ya Chadema ni vitu ambavyo vimekuwa vikifanywa na Viongozi mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi na hakuna lolote ambalo limewahi kusema na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa. Ado amebainisha hayo leo Alhamisi Mei 14, 2026, kupitia andiko lake kwenye Mtandao wa Kijamii wa X, ikiwa ni siku moja baada ya Taarifa ya Msajili wa Vyama vya siasa Nchini kueleza kuwa imeiandikia Chadema barua ya kutaka Chama hicho kujieleza ndani ya siku 13, kwanini kisichukuliwe hatua za kusimamishiwa usajili wake ama kutozwa faini kutokana na Chama hicho kukiuka sheria ya vyama vya siasa pamoja na kutoa matamshi yanayohatarisha amani, usalama na utulivu wa nchi, mambo yanayofanywa na Viongozi wa Chama hicho. "Mpango wa dola kuifungia CHADEMA kupitia Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa italitumbukiza Taifa kwenye mkwamo wa kisiasa. Yanayoitwa “makosa” ya CHADEMA yamefanywa na viongozi mbalimbali wa CCM lakini Msajili hajawahi kukiandikia nia ya kusimamisha usajili. "Dola ikiache Chama cha Mapinduzi CCM kipambane chenyewe na vyama vya upinzani. Yaliyotokea Oktoba 2025 yalipaswa kuwa darasa tosha kwa vyombo vya dola juu ya hatari ya kuminya demokrasia na kupuuza maoni ya wadau kwa zaidi ya miongo mitatu." Amesema Ado. Katika barua hiyo ya jana Mei 13, 2026 yenye kumbukumbu namba HA.322/362/16A/22 ya Mei 7, 2026, Msajili amesema ofisi yake imekuwa ikifuatilia kwa karibu mwenendo wa viongozi wa CHADEMA, kauli zao katika mikutano ya hadhara, taarifa za vikao vya chama pamoja na maudhui yanayosambazwa kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii. Miongoni mwa hoja zilizotajwa kwa uzito mkubwa ni kauli zinazodaiwa kutolewa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, kuhusu mpango wa kuitisha maandamano nchi nzima kushinikiza kuachiwa kwa mwanasiasa wa upinzani Tundu Lissu. Kwa mujibu wa Msajili, kauli hizo zinaweza kutafsiriwa kama kuhamasisha taharuki, kuchochea migogoro ya kisiasa pamoja na kuingilia mwenendo wa shauri ambalo bado lipo mahakamani.
ROYAL TELEVISION tweet media
Indonesia
9
32
126
10.7K
Ezekia Elia Zambi retweetledi
Peter Madeleka
Peter Madeleka@PMadeleka·
Siku ambayo CHADEMA “itafutwa”, ndiyo siku ambayo YESU KRISTO ATARUDI. Najua SHETANI na MAWAKALA 👇 wake wanajitahidi sana KUBAHATISHA SIKU HIYO, lakini wanajisumbua bure. CHADEMA ni MPANGO WA MUNGU.
Peter Madeleka tweet media
Indonesia
59
181
838
20.9K