moraka2015

727 posts

moraka2015 banner
moraka2015

moraka2015

@kamod2015

marekan Katılım Ağustos 2018
491 Takip Edilen75 Takipçiler
Trojan Horse 🎭
Trojan Horse 🎭@anon_codex·
Namuambia mtuu nimetoka Dar saa saba usiku nimefika Moshi saa 11 alfajiri nimetumia masaa 4 anakata Kwani haiwezekani ?
Trojan Horse 🎭 tweet media
Indonesia
36
15
135
42.8K
Samia Suluhu
Samia Suluhu@SuluhuSamia·
Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Mheshimiwa William Vangimembe Lukuvi (Mb.), aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Isimani, kilichotokea leo jijini Dodoma. Tumepoteza kiongozi shupavu, mahiri, mwenye uzoefu mkubwa, mzalendo na mtumishi wa umma aliyelitumikia Taifa letu kwa uadilifu, weledi na kujitolea. Mchango wake mkubwa katika ujenzi na maendeleo ya Taifa letu utaendelea kuenziwa na kukumbukwa siku zote. Ninatoa pole kwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Mussa Azzan Zungu, familia, wananchi wa Jimbo la Isimani, ndugu, jamaa na marafiki pamoja na Watanzania wote kwa msiba huu. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. Amina.
Samia Suluhu tweet media
Indonesia
243
132
749
66.6K
Maulid Kitenge
Maulid Kitenge@mshambuliaji·
Kenya kesho wataungana na Waislamu wengine Duniani kwa ajili ya kusherehekea Eid Al Fitri. Mamlaka za nchi hiyo zimetangaza hivi punde kuwa mwezi umeonekana na leo ndio mwisho wa Ramadhan katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki. #KitengeUpdates
Indonesia
20
27
261
16.6K
Ricky 
Ricky @mwashi001·
@kalegamyeh “Zilikuwepo, niliongea na mmoja alienusurika, anasema mawimbi yalikua makali sana upepo mkali pia hivyo mawimbi yalikua yakiwazamisha kwa nguvu na kushindwa kujisaidia at the end imekua hivyo” inasemekana zilikuepo
Indonesia
4
1
2
1.1K
Dr. Kala. MD
Dr. Kala. MD@kalegamyeh·
Nimesikitishwa na vifo vya Hawa watumishi wa afya wilaya ya kigoma waliokufa maji baada ya boti Yao kupinduka wakati wanasafiri kwenda kutoa huduma na kugawa vifaa tiba kwa wagonjwa. Mimi Kama mtumishi wa kigoma miaka kadhaa iliyopita, nimeguswa sana. Inasemekana mmoja hata mwili wake haujapatikana. Swali langu kwa wizara ya afya. Ilikuaje hawa wanafanya hizi Kazi bila life jacket? Yaani watu wanaenda kuokoa maisha ya wengine lakini Nyinyi hamuwezi hata kulinda maisha yao?
Dr. Kala. MD tweet mediaDr. Kala. MD tweet media
Indonesia
23
17
137
5.7K
moraka2015
moraka2015@kamod2015·
@kasesco_tz @Jizzlewantandu @CRDBBankPlc ukipiga simu ijumaa wanakuambie “kama tatizo lako halijashughulikiwa tupigie tena jumatano hatufanyi kazi weekend “ yaani pesa yangu hairudi mpaka j5 😂😂😂
Indonesia
1
0
10
1.2K
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Sehemu gani umewahi kwenda ukapata Customer care mbovu kabisa Kama umeenda Kuomba Msaada,,?
Indonesia
75
36
261
23.1K
Nurse Saphia
Nurse Saphia@StoneSaphia·
Kwanini usiku wa Laylatul qadr unatakiwa kuswali kukiwa na giza na sio kuwasha taa?
Indonesia
40
3
86
9.7K
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
@privaldinho Pamoja na kwamba unakiri ni maumivu makubwa sana, lakini ukashindwa kabisa kukemea mauaji ya raia yaliyofanywa na vikosi vya Serikali siku na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025. WHY?
Indonesia
10
11
97
3.8K
Privaldinho
Privaldinho@privaldinho·
Mojtaba Khamenei ameteuliwa kuwa Ayatollah wa Iran kuchukua nafasi ya baba yake. Taarifa za familia yake Baba yake Khamenei ameuwawa Mama yake Monsoureh ameuwawa Mke wake Zahra ameuwawa Mtoto wake kiume ameuwawa Dada yake Hoda ameuwawa Mtoto wa Dada yake ameuwawa Wote hawa wameuwawa kwenye shambulio moja. Hebu vaa viatu vya Mojtaba. 😇
Indonesia
140
19
456
54.5K
moraka2015
moraka2015@kamod2015·
@Sativa255 Tutabanana hukohuko mjini na vi Corolla vyetu vya namba A 😁😁
0
0
2
782
SATIVA
SATIVA@Sativa255·
Anaandika mdau. HII NI BALAA KUBWA SANA KWA WAFANYABIASHARA. Tunaomba utusaidie kupaza sauti😭😭😭 Leo TRA Wameamka na kupandisha kodi za wharfage gari ambayo ulikua unalipa tsh 230,000 leo wametoa control namba ulipie 1,200,000 anaconda ilikua inalipiwa 500k leo ni mil 3.4😭 Maagent wakienda kuuliza TPA wanaambiwa viongozi wenu walishasaini, naasikia ni hela ni kwaajili ya ukarabati wa bandari. Imagine tumempa DPW bandari, tunamkarabatia, yeye ni kuchuma tu hela😭😭😭😭😭😭😭 Inauma jamaniiiiiiiii MAONI YANGU. Ukisema “siasa sio vitu vyangu” wewe na MSUKULE hamna tofauti. Leo mnapiga yowe hata ambao siasa sio vitu vyenu. Kwenye masuala ya kudai nchi hakuna vugu vugu —ukijitenga na siasa haimaanishi upo salama, UTAFIKIWA TUU. TUTAKUWEPO🫵🏾😎
SATIVA tweet mediaSATIVA tweet media
Filipino
25
83
511
32.9K
moraka2015
moraka2015@kamod2015·
@DanyMsigwa @Adventure_36 Ukimpa mkeo taraka haitakiwi eda iishe kama ikitokea eda ikaisha huruhusiwi kumrejea ni mpaka aolewe na aachwe. @grok muelekeze huyu.
Indonesia
1
0
1
28
moraka2015
moraka2015@kamod2015·
@DanyMsigwa @Adventure_36 Kama ni waislamu haiwezekani mpaka huyo dada aolewe kisha apewe talaka ndio ataruhusiwa kumuoa tena.
Indonesia
2
0
0
238
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Kuna dada nimemsikia kwenye radio anasema alikuwa na rafiki yake ambaye ni mfanyabiashara baada ya kuolewa huyo huyo akapata mchongo wa biashara nje ya nchi. Anasema ndoa yao ilikuwa changa kabisa na inabid akafanye biashara nje, akajitahid ndoa ikawa inambana
Indonesia
27
40
484
38.5K
Narrowbeefly
Narrowbeefly@Narrowbeeflying·
Hii kitu huwa inasaidia nini kwa dada zetu maana naona wanakula kwa Wingi? 😁🤔
Narrowbeefly tweet media
Indonesia
19
11
168
21.2K
moraka2015
moraka2015@kamod2015·
@Your2qh @Bilantanyetae Ukigawanya kwa sita 7.8m nikiipata hii kwa mwezi sifanyi kazi nashinda ndani nimevaa msuli na shemeji yenu 😂😂
Indonesia
1
0
2
39
You
You@Your2qh·
@Bilantanyetae Real alot of money but getting 47.5 M after sx month doing literally nothing is a gem
English
2
0
3
534
You
You@Your2qh·
Unajua kwanini wanasema pesa huwafata wenye pesa ..😅 Ukiweka TZS 1 Billion kwenye Government Bond hii kwa miaka 2 (9.5%): Unapata 47.5M kila miezi 6 kwa 2 years = 95M kwa mwaka = 190M ndani ya miaka 2 Mwisho unarudishiwa 1 Billion yako
You tweet media
Indonesia
23
10
100
15K
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸@mangekimambi·
KIMENUKAAAAAAA!!!!! Lipigwe jitu, Khamenei apitishwe mtaani wananchi walipe kisasi, kama jinsi Khamenei alivyoua wananchi na wananchi waruhusiwe kumalizana nae. Any leader who shoots his/her people should meet the same fate. Khemenei akabidhiwe kwa wananchi!!!!!!!! LONG LIVE DONALD TRUMP!!!!!!!!! GOD BLESS THE USA! BEST COUNTRY IN THE WORLD!!!!!!!!!!
Filipino
277
231
2.1K
137.9K
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️
Shabiby alisema yeye alianza kuuza karanga akiwa mdogo sana kupitia karanga hizo alipofikisha miaka 21 akawa tayari anamiliki Basi tano. Kwaiy hapa vijana Kuna Cha kujifunza kupitia huyu Mzee usidhalau biashala.
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️ tweet media
Indonesia
21
3
86
6.4K
moraka2015
moraka2015@kamod2015·
@Sativa255 Bendera ya Zanzibar haitambuliki kimataifa.
Indonesia
0
0
0
584
SATIVA
SATIVA@Sativa255·
Girishoni jana anatukumbusha kuidai TANGANYIKA yetu kutoka kwenye ukoloni wa WAZANZIBARI. Hii ndio bendera ya Zanzibar, jana Girishoni wakati anatoa UFAFANUZI kuhusu Meli iliyokamatwa El Salvador na shehena ya MADAWA YA KULVYA alisema ile meli imesajiliwa ZANZIBAR. Sasa kama imesajiliwa Zanzibar kwanini hawakuweka Bendera ya Zanzibar? Leo Tanganyika tunaathirika na Uamuzi wa Zanzibar kusajili VIBAKA. Hawa Wazanzibari wao wana BUNGE lao ambalo hakuna Mtu kutoka Tanganyika anaingia humo. Huku Tanganyika Tunalo Bunge ambalo Limejaa Watu wa ZANZIBAR. Ukienda Zanzibar kama umetoka Tanganyika unaona kabisa Umeingia nchi ya kigeni, kwanzia namna utakavyo pokelewa pale Bandarini, lazima uwe na NIDA/ Passport/ Barua ya serikali ya mtaa ya kukutambua wewe. Wao wakija Huku Tanganyika wanaingia bila kuonyesha chochote kikubwa tuu uwe na nauli yako ya kuvuka kuja Tanganyika. Wewe mtanganyika HUWEZI kumiliki Ardhi ukienda Zanzibar—ila wao wamejaza huku Wapemba na wanamiliki Ardhi na hakuna kitu tunawafanya. Mtanganyika HUWEZI kuenda kuwa kiongozi wa zanzibar hilo HALIWEZEKANI mpaka unaingia kaburini. Ila wao NDIO wamejaa sasa serikalini kwanzia kwa huyo MALAYA hapo juu, njoo baraza lake la WASENGE wote wamejaaa matakataka ya zanzibar. Tunaposema huu sio Muungano muwe mnaelewa, sisi ni Koloni la zanzibar. NYERERE ALITUKOSEA SANA AISEE..!
SATIVA tweet media
Indonesia
67
150
1K
45.8K