Milestone~Otana🇹🇿

29.5K posts

Milestone~Otana🇹🇿 banner
Milestone~Otana🇹🇿

Milestone~Otana🇹🇿

@katema1878

Football

Singida, Tanzania Katılım Şubat 2022
3.1K Takip Edilen1.5K Takipçiler
Milestone~Otana🇹🇿 retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
“Wakati nakuja hapa nimepigiwa simu na Mdogo wake Lissu aitwaye Vicent ameniambia tangu jana jioni Mwenyekiti wetu anaumwa sana Tumbo, Tumbo linamkata haarishi lakini ana maumivu makali sana tumesema tena na tena na tena Lissu akipata shida haitaeleweka Nchi hii”-; Mhe. @HecheJohn
Indonesia
21
265
1.2K
33K
Milestone~Otana🇹🇿 retweetledi
Fabrizio Romano
Fabrizio Romano@FabrizioRomano·
🚨 José Mourinho finishes the season undefeated at Benfica in Portuguese league, another win today on his likely last game at the club. 23 wins, 11 draws, 0 defeats. Benfica will play Europa League next year. 🦅
Fabrizio Romano tweet media
English
2.3K
10.1K
173.4K
5.1M
Milestone~Otana🇹🇿
Milestone~Otana🇹🇿@katema1878·
@Available8r @HildaNewton21 Ngekuwa njaa kali angempamba mpumbavu mama yenu ili apate ulaji. Yeye amechagua upande wa haki.watu wanaopigania haki hawana njaa maana Mungu huwalisha na hawapungukiwi kamwe.
Indonesia
1
0
0
18
Milestone~Otana🇹🇿 retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Hii imeniliza sana!😭😭😭
Română
18
292
1.2K
39.1K
Milestone~Otana🇹🇿 retweetledi
Vitus Nkuna
Vitus Nkuna@VitusNkuna·
CHADEMA✌️
Vitus Nkuna tweet media
English
6
74
718
5.9K
Milestone~Otana🇹🇿 retweetledi
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸@mangekimambi·
Stay strong Mr. Future President. UTASHINDA NA TANZANIA ITASHINDA. Jela watakutoa bila kupenda. Watanzania wanapambana utoke, serikali nyingi duniani zinapambana utoke. Na Utatoka bila masharti yoyote na bila kuwapa Maridhiano ya kishetani wanayoyafosi ili Wakuache….
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸 tweet media
Indonesia
32
338
1.7K
27K
Milestone~Otana🇹🇿 retweetledi
Cristiano Ronaldo
Cristiano Ronaldo@Cristiano·
All set
Cristiano Ronaldo tweet mediaCristiano Ronaldo tweet mediaCristiano Ronaldo tweet media
English
8.2K
20.8K
344.1K
30.7M
Milestone~Otana🇹🇿 retweetledi
Cristiano Ronaldo
Cristiano Ronaldo@Cristiano·
What a win tonight!!! Let’s keep going!!
Cristiano Ronaldo tweet mediaCristiano Ronaldo tweet mediaCristiano Ronaldo tweet mediaCristiano Ronaldo tweet media
English
10.5K
33.7K
441.1K
35.3M
Milestone~Otana🇹🇿 retweetledi
The mandevu
The mandevu@ze_mandevu·
Hizi salamu zifike mpaka Ukonga "We Love You, Respect You and Appreciate You"✌️🫡
The mandevu tweet media
HT
30
359
2.4K
20.1K
Milestone~Otana🇹🇿 retweetledi
Fabrizio Romano
Fabrizio Romano@FabrizioRomano·
Cristiano Ronaldo hits 970 career goals. ✨
Fabrizio Romano tweet media
English
4K
23K
198.1K
3.6M
Milestone~Otana🇹🇿 retweetledi
Cristiano Ronaldo
Cristiano Ronaldo@Cristiano·
YALLA!! WE ARE AL NASSR!! ✈️🤷🏽‍♂️💪🏽
Cristiano Ronaldo tweet mediaCristiano Ronaldo tweet mediaCristiano Ronaldo tweet mediaCristiano Ronaldo tweet media
English
15.8K
58.7K
624.8K
52.3M
Milestone~Otana🇹🇿 retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
“Report ya Chande imepikwa na watu wasiojua hesabu.”-; Mhasham Rweyongeza
HT
19
317
1.3K
28.9K
Milestone~Otana🇹🇿 retweetledi
Joseph Mbilinyi
Joseph Mbilinyi@TheRealJongwe·
Hii nchi tumeipambania sana kubabake! Hapo wadwanzi walichana suti yangu mpya kabisa ya Calvin Klein, MATAKO YAO!😎 #FREELISSU #KATAARIPOTI
Joseph Mbilinyi tweet media
Filipino
270
497
4.1K
83.1K
Milestone~Otana🇹🇿 retweetledi
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
😅😅🤣🤣 NGOMA ya KYANDE imetoka. Repost 200
111
286
1.5K
60.2K
Milestone~Otana🇹🇿 retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Baada ya spana kuwa nyingi jana TISS walimwambia Jaji Chande aitishe press siku ya leo ili pamoja na mambo mengine aje kusema kwamba ile Report aliandika yeye na sio Kabudi Na kwamba Report ipo kwa Idd Amin Mama haijachomwa sasa mliokaribu na Jaji Mwambieni pia aseme lile rundo la Makabrasha ambayo alibeba Mchengerwa na Abdul kutoka Dar siku ya jana, wakaenda nayo hadi Kizimkazi kisha wakayatia kiberiti ilikuwa ni makabrasha ya nini..? Mwisho Jaji Chande aseme kwanini amekataa kabisa kufanya mahojiano na DW , CNN, Voice Of America na Al Jazeera.? Anagopa nini?
Hilda Newton tweet media
Indonesia
39
185
1.2K
52.7K
Milestone~Otana🇹🇿 retweetledi
Joseph Mbilinyi
Joseph Mbilinyi@TheRealJongwe·
Yes kwa sababu mmezingua sana, yaani mmejivunjia hata heshima ndogo mliyokuwa mmebaki nayo kama WAZEE…Mmelisaliti Taifa na kuliongezea maumivu mioyoni kwa kutoa ripoti ya ovyo ya KUBUMBA!
Joseph Mbilinyi tweet media
Indonesia
94
282
1.9K
28.5K
Milestone~Otana🇹🇿 retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Mama Ana Komu, aliyetumiwa wa Idd Amin Mama kuishitaki CHADEMA mpaka ikazuiwa kufanya shughuli za kisiasa amefariki usiku wa kuamkia leo.
Hilda Newton tweet media
Indonesia
112
101
1K
29.4K