El Conde

5.8K posts

El Conde banner
El Conde

El Conde

@Available8r

Allah Kareem

Katılım Şubat 2022
4.9K Takip Edilen2.8K Takipçiler
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Hivi funguo za pingu huwa zinaingiliana?
Indonesia
61
64
852
44.5K
Presenter Noah
Presenter Noah@PresenterNoah·
Sad hii ndio shida yetu wengi tukiwepo sehemu zenye fursa, tunataka kuonekana tupo hapo ila tupate picha zakupost na story za kusimulia ila hatufaidiki na chochote kifursa Sitaki sema Jemedari alimkuta Juma Offguard but trust me chukua waandishi wote waliokuwepo kwenye huu msafara wa Rio, hata ule wa Drogba na mingine mingi itakayokuja na uwaulize same questions amini hawatakua na positive context wala majibu ya maana zaidi ya kuruka ruka Nazijua changamoto za wanahabari na maripota (nimeishi huko) ila kuna muda tunatakiwa kujua aim ya msingi ya kila tunachofanya au kushiriki na sio tu kuonekana ulikuwepo au ulishiriki halafu basi utaishia kupost tu picha na kuhadithia kwa wanao Content creators wanapata content kwenye mambo kama haya sababu ya field yao ila Mwanahabari ambaye amekua kwenye msafara wote amesikiliza speechs, amefanya interview lakini still hana anything ya maana yakuzungumzia ziara aliyoishiriki 🚶🏾‍♂️kazi ipo
Indonesia
37
41
312
41.8K
Eng.Mapunda Jr
Eng.Mapunda Jr@EngMapundajr·
Mmeona Michoro ya hiyo Interchange inaenda kujengwa hapo Dodoma Wakuu..?Hii project ikikamilika Dodoma inaenda kuwa kama New York City 🔥🔥🙌🏿
Indonesia
42
27
445
45.3K
James Munisi
James Munisi@NjiwaFLow·
💨 Contents za outdoor 🙌 Kuna video 3 nimezipakia insta mfululizo hizo views Milioni ni zinagusa tu 🔥 Sasa hivi comedians kibao hawatoboi views 1M+ Tiktok na Insta ila @Njiwa_Store Mungu ni mwema 🙏
James Munisi tweet media
Filipino
38
65
768
28.9K
Tanzania Abroad TV
Tanzania Abroad TV@AbroadTanzania·
Wafungwa wa mama Naona hao wawili mbele ndi walienda Ubalozi wa Vatican kupinga uongozi wa Padri Kitima
Tanzania Abroad TV tweet media
Filipino
32
47
590
55K
Privaldinho
Privaldinho@privaldinho·
Hii ndio Yanga Afrika
Privaldinho tweet mediaPrivaldinho tweet media
Filipino
54
10
217
28K
El Conde
El Conde@Available8r·
@Phbhimself Huu uzi utakuja kutembea sana dingi akivuta kwa kutatanisha
Indonesia
0
0
4
209
Mwinshehe 🕊️
Mwinshehe 🕊️@Mwinshehe07·
Kutoka stand ya magufuli- mbezi ukiwa unaelekea morogoro kuzimaliza kilometres 80 ni karibia unafika Chalinze mkoa wa pwani Huu umbali wakwenda na kurudi kila siku kwa mwanafunzi au hata sisi watu wazima hata kwa baiskel hautoboi 😂
Mwinshehe 🕊️ tweet media
Indonesia
128
83
407
20.5K
El Conde
El Conde@Available8r·
@PMadeleka Vito vyote vya thamani vinaachwa admisssion...hii kweli kaole
HT
0
0
0
497
Peter Madeleka
Peter Madeleka@PMadeleka·
Mimi nimekaa GEREZANI kwa muda wa miaka 2. Uzoefu nilionao ni kwamba; MAHABUSU au MFUNGWA wa KIKE haruhusiwi KUVAA HERENI kama huyo 👇. Jambo hili linafanya TUKIO lote la siku ile lionekane kama ni KAOLE SANAA GROUP.😂😂
Peter Madeleka tweet media
Indonesia
147
207
1.7K
73.4K
𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷 7.o
Juzi nimekopa 134k selkomu nalipa 144k in 7 days mzee Manake nalipa 7% kwa week moja(kama 10,000 tzs) Kwa mwezi ni 29%(kama 40k TZS) Nalipa 388% kama nitakopa kila week kwa Mwaka mzima (520K 😭😭) Fikiria yaani umekopa pesa unalipa mara 5 yake hapo kutajirika utakuskia tu.
Ibwe Salim Thekiete@SalimuIbwe

@gabyconscious Hasa hizi Songesha zina Ujambazi wa hali ya Juu sana.. Sina uhakika tunasoma Terms and Condition zake. Je wangapi tunajua Riba zake zikoje

Indonesia
13
9
113
10.4K
Milestone~Otana🇹🇿
Milestone~Otana🇹🇿@katema1878·
@Available8r @HildaNewton21 Ngekuwa njaa kali angempamba mpumbavu mama yenu ili apate ulaji. Yeye amechagua upande wa haki.watu wanaopigania haki hawana njaa maana Mungu huwalisha na hawapungukiwi kamwe.
Indonesia
1
0
0
18
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Hii imeniliza sana!😭😭😭
Română
18
292
1.2K
39.1K
George Ambangile
George Ambangile@George_Ambangil·
Oktoba 21 ya mwaka 2019 ndio ilikuwa siku ya kwanza kwa GEORGE AMBANGILE kuhamia Wasafi Media nikiwa " Football Analyst " . Nilipokelewa vizuri , nikapewa platform ya kuonesha kipaji changu , nikakua zaidi . Baada ya miaka takribani Saba , cycle yangu imefikia tamati ndani ya Wasafi Media . It was quite a journey na najivunia , nashukuru , na kuthamini kila dakika niliyotumikia Wasafi Media . Naishukuru sana Kampuni , imenipa vitu vingi sana ,moyo wangu umejaa shukrani . Kipekee kabisa namshukuru CEO @diamondplatnumz kwa thamani uliyonipa , i will never forget it . Asante sana Boss . Bila kusahau nawashukuru wafanyakazi wenzangu wote ambao tumefanya kazi kwa pamoja Wasafi Media kuanzia kipindi cha michezo mpaka wa vipindi vingine na wafanyakazi wa idara tofauti , mchango wenu kwangu una thamani kubwa sana . God bless you all . Wale wote ambao walinipa thamani ya muda wao , masikio yao kusikiliza kazi yangu Radioni , cha kuwalipa sina maana bila nyie ngumu kuwa na George Ambangile bora , nawashukuru sana tena sana . Ambangile hayupo tena Wasafi Media lakini naomba muendelee kuwa " LOYAL " kwa Wasafi Media . ASANTENI SANA THANK YOU SO MUCH WASAFI MEDIA AND GOODBYE " The World is Yours " GEORGE AMBANGILE 🤝
George Ambangile tweet media
Indonesia
482
403
3.6K
122K
Hanis♣️
Hanis♣️@__Masstown·
Twitter wachawi jaribuni hii nakuja na jinsi ya kupata pesa soon💰💰🫰
Hanis♣️ tweet media
Indonesia
24
22
154
18.8K
El Conde
El Conde@Available8r·
@EsirEid Kaza maninaaaa...sio kila story ya maisha yako ni story teller
Filipino
0
0
0
17
Mr.Mbeya
Mr.Mbeya@baraka_asege·
Nielekezwe kwa upole. Hivi ni ipi faida na ulazima wa kumleta DROGBA Bungeni? Kaenda kuongeza nini? Jokate nae anapiga makofi Kwasababu ipi?
Mr.Mbeya tweet media
Indonesia
100
51
818
57.2K
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Uwezo wa kuja kwenye Vikao Kama Hivi hawawezi… WAKAMARIA umeme mdogo kichwani… Pili,wakamaria Wana msongo wa mawazo…. Kitendo cha kuwaza Kujenga maghorofa na kununua magari ya kifahari Jumamosi asubuhi kabla ya mechi…. Alafu usiku Baada ya mechi kwenye JACKPOT unaona game Karibu zote zimechana mkeka sio mchezo… Na hii ni kila wiki unapata hii disappointment … lazima usiwe in a stable mind… na ndio maana WANATUKANA OVYO… wameshajikatia Tamaa… Tatu, WANAHARAKATI UCHWARA hawana CHAMA…
Mwana Mpotevu@nicholausmgo

@EsirEid wanaharakati uchwara wa kamari walikuwepo au wao kazi kutukana kwenye X

Indonesia
25
14
133
8.6K