💨mangi mkuu
70.1K posts

💨mangi mkuu
@kavishePb














Napenda kuwajulisha umma na wote wenye mapenzi mema kwa Tanzania, Chadema na Mwenyekiti Tundu Lissu kuwa Jopo Mawakili la kumtetea na kumfanyia utafiti Mwenyekiti Lissu li imara kabisa. Kwa niaba ya Chadema ninapenda kuwashukuru mawakili na wanasheria wote waliojitolea muda wao, taaluma yao, rasilimali zao na mshikamano katika kumtetea Mwenyekiti Lissu. Mmeonyesha kuwa mu marafiki wa kweli katika vita dhidi ya Mamumiani na mafisadi wa demokrasia ya kweli katika nchi yetu. Katika harakati tunazoendesha tofauti lazima zijitokeze na hata kutiliana mashaka. Msikatishwe tamaa hata mara moja tusonge mbele kwa pamoja. Kama mjuavyo sasa tumepeana mwongozo wa namna ya kutoa taarifa zimuhusuzo Mwenyekiti Tundu Lissu. Taarifa hizo zitatolewa na uongozi mkuu wa chama, Mwanasheria Mkuu na Mkurugenzi wa Sheria baada kushauriana na Mwanasheria Mkuu. Jopo la Mawakili wa Mwenyekiti Tundu Lissu ni hawa wafuatao: Orodha ya mawakili: 1. Mpale Kaba Mpoki 2. Dr Rugemeleza Nshala 3. Peter kibatala 4. Jeremiah Mtobesya 5 Hekima Mwasipu 6.Gaston Garubindi 7. Jebra Kambole 8. Deogratius Mahinyila 9. Paul Kisabo 10.Sisty Aloyce 11. Nashon Nkungu 12.Catherine Michael 13. Ikoti Lissu 14. Emanuel Chengula 15. Gloria Ulomy 16. Deus Singa 17. william Maduhu 18. Fredinand Makore 19.Jacob Mogend 20. Dorice Kafuku 21. Michael Mwangasa 22. Pastory Kong’oke 23. Matojo Cosata 24. Mzee Alute Mughwai Lissu. 25.Dickson Matata 26. Edward Heche 27.Maria Mushi 27. Selemani Mohamed Matauka 28.Michael Lugina 29. Melchiory Sanga 30. Edson Kilatu. Naomba tuwatie moyo Mawakili hawa wote na tusonge mbele kwa pamoja na kwa moyo mmoja (tiyende pamodzi, ndi mtima umodzi) kama Mzee Kenneth Kaunda alivyotufundisha. Aluta continua Vitoria e certa!

























