Daudi Kitua
15.3K posts

Daudi Kitua
@kituajr
Welp!
Dar es Salaam, Tanzania Katılım Ağustos 2012
553 Takip Edilen1.3K Takipçiler

How old are you?
Karthik@karthikponna19
startup idea: sim card slots on laptops so you never depend on wifi again
English
Daudi Kitua retweetledi

I mean..... #Pixel10series is for anyone who did not buy a #Pixel9
It feels like a software upgrade year. I applaud Google for this btw. #GooglePixel
English

Leo Jumamosi ya SABATO nimetafakari sana jinsi neema na rehema hupuuzwa kipindi cha amani na furaha. Imenifanya kugundua kuwa kuta za MAHOSPITALI na MAGEREZA zimesikia maombi ya dhati kuliko kuta za KANISANI. Tusali sana.
#HekimaZaMtaani
Filipino

Kama uaminifu na uadilifu ni WA KWELI, basi maji yasingetumika kumpika Samaki. Weka MIPAKA kwenye MAISHA YAKO.
#HekimaZaMtaani
Filipino

Ndugu yangu, "Shoka huingia misituni kuangusha miti japokua mpini ni mmoja wao. USALITI hutoka kwa MTU WA KARIBU."
#HekimaZaMtaani
Indonesia

Jitahidi from time to time uonyeshe makali Yako. It's ok kukumbusha watu your other "no bullshit personality". Nyoka angezoeleka kwa upole tungemgeuza kamba.
#HekimaZaMtaani
Indonesia

Kuna Mzee aliniambia, "Ipe familia Kipaumbele. Jitahidi sana kuishi. Uhai Kila mtu anao"
#HekimaZaMtaani
Indonesia

Mdogo wangu, kuiba ngoma ya kijiji ni rahisi, lakini kupata mahali pa kuipiga kwa amani ndiyo shida.
#HekimaZaMtaani
Indonesia

Dada yangu, akisema "hana kazi" haimaanishi "hana pesa". Usijichanganye. #HekimaZaMtaani
Indonesia

Swahiba kamata hii....
"USIRUHUSU njaa ikusaidie kufanya maamuzi. Ukishiba UTAJUTA."
#HekimaZaMtaani
Indonesia
Daudi Kitua retweetledi


