Sabitlenmiş Tweet

Tulipoanzisha @kuzabusiness, tuliamini jambo moja: biashara nyingi hazikui kwa kuruka hatua, hukua kwa muda.
Kwa miezi ya hivi karibuni tumetembelea maduka mbalimbali Dar es Salaam. Tumekuwa tukisikiliza.
Na sentensi moja imejirudia mara nyingi:
“Ukubwa ni swala la muda.”
Indonesia






