
@JonMrema @heche_edward Katiba iko wazi kuhusu usaliti na hicho mnachoshawishiana ni Usaliti.

Filipino
๐ท๐๐ซ ๐ญ๐๐๐๐๐๐ ๐ด๐ฉ๐ฌ
7.9K posts

@lugano2019
Educator, Mentor, Farmer, Activist, Modern Pan Africanist, Artist,Content Creator




G55, malizieni petition yenu haraka ya kupinga Azimio halali la chama la #NoReformsNoElection. Pia, malizieni kualika vyombo vya habari siku ya tarehe 3, kesho. Ila Kumbukeni, kupinga azimio halali la chama ni USALITI.








Suala la Wachina ni suala nyeti ambalo linatakiwa kuangaliwa kwa ndani zaidi. Inatia hofu kwa kweli. Nafurahi rasmi linaingia kwenye mjadala kwa Rais kulitambua kuwa kuna shida pahala.





















