Huyu bibi anateseka sana. Mauwaji aliyofanya na Polisi wake yatamtoa roho.
Nadhani anaongelea clip za yale mauwaji.
Ili mradi vimerekodiwa lazima vitarushwa sana.
Utatunyamazishaje wakati tunasubiri kuzika?
Tunazitaka maiti za ndugu zetu tuwazike kwa heshima na kumaliza matanga.
"Amani na utulivu tulionao leo haukuja kwa bahati, bali matokeo ya kazi ya Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na vyombo vyetu vingine vya ulinzi na usalama." - Rais Samia Suluhu Hassan akihitimisha mafunzo ya Maafisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Jeshi la Polisi
Rais Samia Suluhu Hassan, amesema Tanzania haiwezi kudharau vitisho vya kiusalama, akisisitiza kuwa uzoefu wa muda mrefu wa nchi kuwa ya amani na utulivu haupaswi kuwafanya wananchi au vyombo vya ulinzi kupuuza dalili za hatari.
Akizungumza leo Alhamisi, Mei 28, 2026, wakati wa hafla ya kufunga mafunzo ya Maofisa na Wakaguzi Wasaidizi wa Polisi wapya, Rais Samia alitaja tukio la Oktoba 29, 2025 kuwa funzo muhimu kwa taifa katika kuimarisha ulinzi na usalama.
“Walisema kwamba labda uzoefu, mila na desturi zetu kwamba Tanzania ni nchi ya amani tu, ni nchi ya usalama tu, na kwamba vikitokea vitisho hatuvipi uzito wake. Tunasema ‘aah watatukuta asubuhi tunapiga mswaki,’ kwa hiyo wao wakija sisi tupo bwana,” amesema Rais Samia.
Ameongeza kuwa mtazamo huo wa kawaida wa kijamii haupaswi kuzuia umakini wa vyombo vya ulinzi, akisisitiza kuwa tukio la Oktoba 29, 2025 lilikuwa jaribio lililotoa funzo kubwa kwa nchi.
“Yaliyotokea Oktoba 29, 2025 yametupa funzo. Tulijaribiwa lakini kwa dhati kabisa nishukuru vyombo vya ulinzi na usalama, majaribio yale waliweza kuyaondoa kwa muda mfupi sana,” amesema.
#mwananchiupdates#tunaliwezeshataifa
@MsigwaPeter@HecheJohn Umekuja na
Kasi
Tushakuzoea hata ulipokwenda ccm ulikua kila siku kama sio tv redio jukwaani unakipaji ya kuigiza msigwa unachosha na magazeti yako
“Udanganyifu mkubwa na hatari zaidi katika siasa ni kuamini kwamba kesho itaendelea kufanana na jana.”
Tawala nyingi huanguka si kwa sababu zilikuwa dhaifu, bali kwa sababu zililewa na mafanikio ya zamani. Zikaamini kwamba hofu ile ile, propaganda zile zile, mfumo ule ule, watu wale wale, na mbinu zile zile zilizowafanya watawale jana, vitaendelea kuwabeba milele.
Lakini historia haijawahi kuwa mwaminifu kwa watawala wanaokataa kusoma nyakati.
Wananchi hubadilika.
Vizazi hubadilika.
Hasira hubadilika.
Na hata ukimya wa wananchi hubadilika.
Kuna ukimya wa heshima.
Lakini pia kuna ukimya wa kuchoka.
Na viongozi wengi hushindwa kutofautisha hayo mawili.
Tatizo la madaraka ya muda mrefu ni kwamba hujenga udanganyifu wa kutokuguswa. Watu wanaanza kuamini kwamba taasisi ni mali yao, sheria ni silaha yao, na taifa litaendelea kuzunguka majina yao milele.
Lakini historia inaonyesha:
Hakuna dola iliyowahi kushinda vita dhidi ya ukweli kwa milele.
Siku zote tawala huanza kuanguka pale zinapoanza kuamini:
• hakuna mbadala,
• hakuna anayethubutu kusema,
• hakuna atakayewawajibisha,
• na hakuna kitakachobadilika.
Lakini dunia hubadilika ghafla.
Kilichokuwa nguvu jana kinaweza kuwa mzigo kesho.
Waliokuwa wanaogopa jana wanaweza kuwa wa kwanza kusema kesho.
Na waliokuwa wakisifiwa jana wanaweza kuachwa peke yao na mfumo walioujenga wenyewe.
Historia imejaa viongozi waliochelewa kuelewa kwamba wananchi wanaweza kunyamaza kwa muda…
lakini hawaachi kuona.”
@s_sportsweartz@Sativa255 Uelewa ndio tatizo kwa marekani ugaidi ni kwa dini ya kiislam tu au uislam tu wanapokwenda kuvamia nchi za watu wakaua watu ambao hawana sababu za kufa sio ugaidi
Ila KOMBO ni msanii na JAMBAZI sana 😂😂
Anasahau miezi kadhaa amejaribu kuhonga MABILIONI huko kwa maseneta na hajasikilizwa.
Leo anasema atawaleta maseneta waje bongo waangalie wapi tunachinjana😂😂
NA MISUKULE YA MAMA INAGONGA MEZA KAMA IMEONA MAITI MPYA.😂😂
“Who are you” mnafikiri wamekurupuka?
HAPO mnafungiwa VISA tuu kelele zote hizo, wakianza kufanya makubwa mtakaa humo ndani?😂😂
Tuliwaonya mkahisi tunachekesha-mkaishia kulipa CHAWA watutukane. Sasa ni wakati wa kuwaamini chawa wawatetee kwa maseneta😂😂
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Taarifa: Ili kumuunga mkono Mwenyekiti wetu Lissu na struggles zake gerezani, nimeamua kumuiga style yake mpya ya nywele…Sitachana wala kunyoa nywele zangu mpaka atoke jela akiwa HURU✌🏾✌🏾
#LiMwenyekiti#KatibaMpya#FREELISSU
Ulinzi wa taifa si kulinda mipaka pekee.
Ni pia kulinda misingi inayolifanya taifa libaki taifa.
Taifa hulindwa si kwa bunduki tu, bali pia kwa:
Taasisi imara,sheria zinazoheshimiwa, mahakama huru, bunge lenye uwezo wa kuisimamia serikali, uchaguzi unaoaminika, na wananchi wanaoamini kuwa haki inaweza kupatikana bila nguvu wala hofu.
Kwa sababu mipaka inaweza kubaki salama…
lakini taifa ndani likaanza kuoza.
Mahakama zikikosa uhuru,
bunge likigeuka muhuri wa kupitisha kila kitu,
taasisi za umma zikianza kuogopa watu kuliko sheria,
ndipo taifa huanza kupata ufa wa ndani ambao ni hatari kuliko adui wa nje.
Historia inaonyesha:
mataifa mengi hayakuanguka kwanza kwa kuvamiwa
yalianguka pale ambapo taasisi zilianza kudhoofika, ukweli ukaogopwa, na mamlaka ikawa kubwa kuliko sheria.
Ulinzi wa taifa wa kweli ni kuhakikisha:
Hakuna mtu aliye juu ya sheria,taasisi zinafanya kazi bila hofu,na madaraka yanabaki kuwa dhamana ya wananchi, si mali binafsi ya watawala.
Kwa sababu mwisho wa siku:
jeshi linaweza kulinda mipaka,
lakini ni taasisi huru zinazolinda roho ya taifa.”
@earadiofm Uongozi uliopita au mbowe maana kwenye uongozi Mnyika bado yupo Lissu bado yupo lema
Bado yupo Heche bado yupo sugu bado yupo boni bado yupo na so on Chadema ni wababaishaji ni watu wa maslahi
#TheInterview | Mchungaji Peter Msigwa amekiri kwa mara ya kwanza kuwa aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, alikuwa sehemu ya sababu zilizochangia yeye kuondoka ndani ya chama hicho kipindi cha nyuma.
#TheInterview | #SupaBreakfast | #EastAfricaRadio
Mama Gwajima @Dr_DGwajima,
Sheria yetu (Kifungu 89 cha Penal Code) inakataza matumizi ya lugha chafu na ya kufedhehesha hadharani. Tunapaswa kuwa na siasa safi, yenye hekima na inayoheshimu hadhi ya mwanadamu si siasa ya matusi na kejeli.
“Matako yenu” ni neno la kawaida la kufedhehesha (vulgar/insulting) katika Kiswahili cha Tanzania. Si “hotuba ya kawaida” ni lugha ya matusi.
Msajili akiwapa barua msije pia kuja kulia.
@Twaha_Mwaipaya@Kiganyi_ Yaani comedy mwanzo mulisema alichukuliwa hajachana nywele sasa imekua hatonyoa nywele Lissu ni muhuni kamwe hawei kuwa kiongozi mkuu wa nchi
@earadiofm Wanasiasa wengi hasa wapinzani wanatumia majukwaaa kuwadanganya kuwabagua na kuwapumbaza watanzania badala ya kuwa wakweli katika kuwatumikia watanzania uthibitisho huo umetolewa na msigwa badala kusema siasa za majukwaani ni maigizo sasa tumezidi kuwaelewa
#TheInterview | Mchungaji Peter Msigwa ambaye kwa sasa amerejea rasmi CHADEMA amesema baadhi ya maneno aliyokuwa akiyasema baada ya kuhamia CCM yalikuwa ni sehemu ya siasa za jukwaani, huku akiomba radhi kwa kauli zake za kipindi hicho baada ya kutangaza rasmi kurudi CHADEMA
#TheInterview | #SupaBreakfast | #EastAfricaRadio
@MsigwaPeter Tatizo sio trein wala basi tuambie nini kimebadilika kwa Chadema kilichokurejesha chadema ninileile viongozi ni walewale Msiba munawafanya watz ni kama mazwazwa au kanisa linekurejesha
@automation670@Aqulline1@godbless_lema Ni kwa vile hatujui tunachukulia poa Azam ni mchezaji gani anaweza kufika thuluthi ya thamani ya Rio Fee
Toto? Yaani munachekesha wa Tz ndio maana kina Lema wanawapiga tone kwa
Tone hamujielewi
@lukes7067@Aqulline1@godbless_lema Kwaiyo thamani ya rio n kubwa kuliko azam na facilities zake.. kwaiyo we unaona uu ujio wa rio utakua na impact kuliko impact aliyo nayo azam sasa...daaaah noma sana
@easydigital255@Aqulline1@godbless_lema Hivyo kwa akili ya kawaida tu unaweza fikiria Rio kaja tz bure bure tu hebu tuachane na ujinga naamini Rio kama angekuja tuu isingekuwa ishu watanzania tulifurahia uwepo wa bolizozo ambae sisi ndio tumempa umaarufu lakini tumechukizwa na Rio tukapimwe
@lukes7067@Aqulline1@godbless_lema yaan hapo mnasema anaweza kufungua so hakuna issue specific iliyomleta Tanzania? Yaani kaja tu halafu akafukirie baadae akiona fresh anafungua akiona hapana anaacha?