alinamdaj

5.1K posts

alinamdaj banner
alinamdaj

alinamdaj

@m_king100

MTANGAYIKA extremist.

heaven Katılım Aralık 2017
202 Takip Edilen102 Takipçiler
AJBachi1
AJBachi1@Bachi1Aj·
@Twaha_Mwaipaya Acheni utapeli pesa za Ford Foundation c mnazo mnachangisha nini
Indonesia
6
0
1
390
Twaha Mwaipaya
Twaha Mwaipaya@Twaha_Mwaipaya·
TURUDISHE TABASAMU LA CATHERINE NA FAMILIA YAKE. Tuma mchango namba 0740264760 Voda Jina: Catherine johaness protace Catherine johaness protace ni mwanafunzi wa mwaka wa 3 Chuo cha CBE Dare es salaam. Anaishi Mtaa wa Mashine ya Maji Kata ya Buza Wilaya ya Temeke Dar. Catherine amekosa matumaini ya kuendelea na Chuo baada ya kaka yake Baraka Chacha Mwita aliekuwa anamsomesha kuvunjwa miguu yote miwili na kupewa kesi ya Uhaini, mpaka sasa yupo gerezani. Mahitaji muhimu ya Catherine na Familia yake. 1.Ada ya Chuo Million 1 2.Bima ya Afya 3.Kodi ya Nyumba 4.Mahitaji ya kila siku 5.Matumizi ya Kaka yake magereza. Tumchangie kiasi cha Million 5, namba yake ni 0740264760 Catherine johaness protace
Filipino
11
106
314
20.2K
alinamdaj retweetledi
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Hata pale ambapo watawala wanataka tukate tamaa, ujasiri wako unatufundisha kusimama. Tuko pamoja, sasa na siku zote. Hatuwezi kuona kila machozi yako, lakini tunaona ujasiri wako na jitihada zako. Huu ni wakati wa kushikamana na kuendelea kupigania haki. Hatufanyi hivi kwa ajili yetu hata kidogo. Bali kwa ajili ya vizazi vya Taifa hili.
Godbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
39
348
2.1K
43.3K
alinamdaj
alinamdaj@m_king100·
@chekururama @Shadaya_Knight Who are you lying to?your wife?we all do this including you or better yet your wife does it,dont be hypocrite
English
0
0
0
193
alinamdaj retweetledi
Kasimba Nolasco
Kasimba Nolasco@KasimbaNolasco1·
Kweli watanzania wameamua kuwaambia watawala ukweli
Filipino
4
73
191
4.4K
alinamdaj
alinamdaj@m_king100·
@EricNjiiru The only team you want to beat is us,I have laughed hard, you are too funny man.ok now we have decided we will go out by group stage.now what?
English
0
0
0
169
Eric Njiru ⚽️
Eric Njiru ⚽️@EricNjiiru·
Hello Morocco 🇲🇦 Kenyans have arrived for #AFCON2025. We are always there!… with a ‘special’ interest on Tanzania 😏
English
45
188
1.7K
59.2K
alinamdaj retweetledi
Amnesty Eastern Africa
Amnesty Eastern Africa@AmnestyEARO·
In response to the election protests between 29 October and 3 November 2025 in #Tanzania, security forces used unnecessary or disproportionate force showing a shocking disregard for the right to life and to the freedom of peaceful assembly. amnesty.org/en/latest/news…
Amnesty Eastern Africa tweet media
English
46
470
1.5K
38.2K
🇨🇩
🇨🇩@TfrmTheSev·
OFFICIAL🚨 FIFA Rejects Nigeria's🇳🇬 Complaint Against DR Congo FIFA has ruled that the complaint filed by Nigeria against DR Congo🇨🇩 has been rejected due to lack of Evidence. As a result The Super Eagles will remain Knocked Out of World Cup 2026🏆.
🇨🇩 tweet media
English
663
851
6.3K
282.1K
Joseph Oleshangay
Joseph Oleshangay@Oleshangay·
Huyu sio Odero wa miaka 4 iliyopita . Kuna mabadiliko mengi sana yametokea Kwa watu wengi kuelekea October na baada ya October. Nini kimetokea? A terrible U-turn.
Jambo TV@Jambotv_

VIDEO: Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mwenyekiti wa Kamati ya Kusukuma Maridhiano Tanzania, Charles Odero, amesema ni muhimu kwa vyama vya siasa pamoja na Serikali kukaa meza moja ya mazungumzo kwa lengo la kulisogeza taifa mbele kimaendeleo na kuimarisha mshikamano wa kisiasa nchini. Akizungumza na Jambo TV, Odero amesema Chama cha CHADEMA hakitakiwi kuona ugumu wa kukutana na Serikali pamoja na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kwa ajili ya kufanya maridhiano licha ya changamoto mbalimbali zinazokikabili chama hicho. Amesema changamoto hizo ni pamoja na kukamatwa kwa viongozi wa chama, kushikiliwa kwa wanachama na wafuasi wake, pamoja na kushikiliwa gerezani kwa Mwenyekiti wa CHADEMA taifa, Tundu Lissu kwa tuhuma za uhaini, akisisitiza kuwa hali hiyo haiwezi kuwa kikwazo cha mazungumzo ya kisiasa. “Hata sasa pamoja na CHADEMA kuwa na kesi mahakamani, wafuasi wake mamia kuwa gerezani na Mwenyekiti Tundu Lissu kushikiliwa kwa kosa la uhaini, mambo yote hayo na maumivu makali hayawezi kumzuia John Heche kukutana, kupeana mkono na Rais Samia Suluhu Hassan, kwani katika mazungumzo suluhu haikosekani,” amesema Odero. Akisisitiza hoja yake, Odero ametolea mfano wa kipindi cha aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe ambaye alishikiliwa gerezani kwa tuhuma za ugaidi, ambapo aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, aliweza kukutana na Rais Samia Suluhu Hassan, mazungumzo ambayo yalifungua ukurasa mpya wa kisiasa nchini.

Filipino
17
10
59
7.2K
alinamdaj retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
‼️🚨Chukua Tahadhari: Tume ya Chande ni Mtego🚨‼️ 👉🏽 Kuna tume haramu ya Samia Suluhu Hassan inazunguka kwa ajili ya
"kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani" yaliyotokea Tanganyika nchini Tanzania kabla, wakati na baada ya uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 ambao haukufanyika. 👉🏽 Tahadhari inatolewa kwa kila raia hasa GenZ kuwa makini na tume hil ya mchongo. Hii ni tume ya CCM inayofanya kazi ya kukusanya ushahidi.
Kwa hali ya utekaji, mateso, upotezaji, na ufunguliwaji mashtaka ya uhaini unaoendelea, mashahidi wanaweza kujikuta kwenye mtego wa kupotezwa ili Samia Suluhu Hassan na wahalifu wengine wapoteze ushahidi ambao utatumika kwenye Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC). 👉🏽 Kushirikiana na tume hii kwa kuwatumia taarifa au kuwasiliana nao kwa njia yoyote ile ni kuchagua kutekwa, kuteswa, kufirwa, kubakwa, kuuliwa au kufunguliwa kesi za uhaini. #SamiaMustGo #D25 #J1
Maria Sarungi Tsehai tweet media
Indonesia
21
219
816
42K
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
Wapanga mapinduzi leo wamehamisha vikao Serena, sasa wako Sea Cllif Hotel, vikao vinaendelea Lissu wanampora chama, Juzi mmoja wao amenunua li-vieti bab kubwa la 350M+ hivi kama yale makubwa tunayowalalamikiaga mawaziri kuwa ni matumizi mabaya ya pesa. Wajinga matapeli hawa wako serious aisee, wanamfurusha Mnyaturu uenyekiti akiwa jela😂
Indonesia
73
5
84
13.5K
alinamdaj
alinamdaj@m_king100·
@Eric__Bernard Asilimia 98 ya wapigakura milioni 31 ambayo hata mtu asiye na akili anajua huo ni uongo wa kijinga,hivi we jamaa huwa unasifia na kutetra nini?
Filipino
0
0
0
21
Audio na video
Audio na video@kim_2k04·
So painful💔 After 20yrs of marriage this man finds out That his mother-in-law is the mother of his wife WOMEN!! 😭
Audio na video tweet media
English
1.5K
586
8.6K
1.9M
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸@mangekimambi·
Ni kama wiki 2 au 3 zilizopita niliwaeleza Watanzania hali ilivyo tete jeshini. Kuna watu walidhani naongea hivi ili kuwatia moyo Watanzania waandamane kwa mara ya pili. Haya leo Samia muuaji kaongea mwenyewe hadharani. Dada yenu nikiongea jueni habari nimezitoa mulemule. @meta Please return my platform so I can keep informing Tanzanians. My platform was the only uncensored media available to the people.
Indonesia
168
607
3.6K
146.7K
alinamdaj
alinamdaj@m_king100·
@TheRealEkiswaga And are authorized to use another ccm tool,THE POLICCM,we get it now.
English
0
0
0
735
Enock Kiswaga
Enock Kiswaga@TheRealEkiswaga·
The Ethics, Security and Discipline Committee of CCM has full legal and constitutional authority to summon and question any leader or member of the party whenever complaints, allegations, or misconduct arise. No one is above party discipline — except the President of the United Republic of Tanzania, who is also the Chairperson of CCM.
Enock Kiswaga tweet media
English
48
4
40
23.6K
𝐈́𝐦𝐦𝐚𝐧𝐮𝐞𝐥
15.12.1998,,, Mgogo nililetwa duniani bhna yaani nilizaliwa, Pongezi nyiingi kwa wazazi wangu kwa malezi yao Mungu awalinde. Happy birth day to me! 🙏
𝐈́𝐦𝐦𝐚𝐧𝐮𝐞𝐥 tweet media
Filipino
126
104
465
22.8K
Peter Madeleka
Peter Madeleka@PMadeleka·
Asanteni DAWASA kwa kuendelea KUTUHESHIMISHA. Huo 👇 ndiyo UZALENDO. Ingawa HAKUNA MAJI, watanzania wataendelea kuwa WATULIVU ili KULINDA AMANI ya nchi yetu hadi MABEBERU WAISOME NAMBA.
Peter Madeleka tweet media
Filipino
28
32
296
12.6K
Rein
Rein@Asamoh_·
The hero who jumped into a gunman in Australia 🇦🇺 is a Muslim. Yes. He is called Ahmed. A 43 year old shopkeeper. This debunks the misplaced narrative that Muslims are terrorists
English
93
56
552
30.8K