Mwisho

10.1K posts

Mwisho banner
Mwisho

Mwisho

@macdeandy

Spain Katılım Nisan 2011
356 Takip Edilen458 Takipçiler
Mwisho
Mwisho@macdeandy·
@Eric__Bernard Tume inasema inaitajika uchunguzi zaid 😃😃 ,, sasa wao walikuwa wanafanya kazi gani 😃
Indonesia
0
0
0
468
MR BEN
MR BEN@Eric__Bernard·
Jaji Chande ameliheshimisha Taifa, wale waliofikiri tunahitaji usaidizi toka nje wajue kwamba tunaweza maliza changamoto zetu wenyewe!! Kikubwa tuendelee kuungana kama Taifa, huu si wakati wa kunyosheana mikono, ni wakati wa kuungana na kuliponya Taifa letu,!
Indonesia
92
11
91
13.9K
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Neno moja kwa Jaji Chande..?
Hilda Newton tweet media
HT
197
46
378
44.9K
Mangi wa Kichaga
Mangi wa Kichaga@MangiwaKwanza1·
Kwa maoni yako unadhani hii report ya tume italiponya taifa?
Filipino
102
37
235
8.2K
millardayo
millardayo@millardayo·
Mwenyekiti wa Tume iliyoundwa na Rais Dkt. Samia kuchunguza matukio yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu October 29, 2025, Jaji Mstaafu Mohamed Chande Othman amesema Kijana mmoja wa USA River Arusha mwenye umri wa miaka 16 alishawishiwa, kupewa Tsh. elfu 50 ashiriki maandamano na Wafadhili walimuahidi watampa milioni 5 akishiriki na kwa ushahidi wake anasema alipewa mchongo utakaomtoa kwenye umasikini. Jaji Mstaafu Chande amesema hayo wakati akiwasilisha Ripoti ya Tume hiyo mbele ya Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo April 23,2026 Ikulu Jijini Dar es salaam. “Kijana mmoja wa USA River Arusha mwenye umri wa miaka 16 alishawishiwa, alipewa Tsh. elfu 50 ashiriki maandamano na walimuahidi watampa milioni 5 akishiriki na kwa ushahidi wake anasema walinipa mchongo utakaonitoa kwenye umasikini, huyo ni mmoja tu kwenye Mashahidi waliokuja mbele ya Tume kueleza walivyorubuniwa kushiriki maandamano” #MillardAyoUPDATES.
millardayo tweet media
Indonesia
119
6
254
29.9K
joseph_selasini
joseph_selasini@joeselasini·
Chande utaimaliza nchi au kuijenga. Kazi kwako. Kama ujinga huu ndio ushahidi wako wa siri sijui wa kiapo ni takataka; hakuna atakayekuamini.
joseph_selasini tweet media
Indonesia
31
27
180
24.7K
Suphian Juma Nkuwi
Suphian Juma Nkuwi@SuphianJuma·
Sasa CHADEMA muache “mawenge” muwe na Shukrani kwa Rais wetu Dkt @SuluhuSamia kwa wema wake lukuki kwenu na muwe watiifu kwa dola inayoongoza nchi, otherwise mkiendekeza “kilomolomo” mtarudi kifungoni si punde hadi 2030.
Suphian Juma Nkuwi tweet media
Indonesia
194
9
72
12K
Mwisho
Mwisho@macdeandy·
@SuphianJuma Liquid haipimwi kwa Tani .. kama wewe na rais hamjui ulizeni kwanzw
HT
0
0
1
1.1K
Suphian Juma Nkuwi
Suphian Juma Nkuwi@SuphianJuma·
RAIS SAMIA ALIMAANISHA BEI YA MAFUTA KWA TANI SIO KWA LITA‼️ 1. Dizeli imeongezeka kwa dola 800 kwa tani ambapo zimetoka dola 650 ya mwezi Februari 2026 hadi kufikia dola 1,450 mwezi Machi 2026.
Suphian Juma Nkuwi tweet media
Indonesia
113
3
28
10.6K
Mwisho
Mwisho@macdeandy·
@Aduiwayanga Kubana matumizi au ela za Ulaya zimeanza kukata ,, na wese lishakuwa la moto.. watapanda baiskel safari hii !!
Indonesia
0
0
0
5
Adui Wa Yanga
Adui Wa Yanga@Aduiwayanga·
Rais ametuonyesha njia kwa kuagiza serikali kubana matumizi ikiwemo ikulu na idara nyingine za serikali kukabiliana na changamoto ya Mafuta iliyoikumba Dunia. Hakika Dkt Samia Suluhu Hassan ni mzalendo namba moja kwa taifa letu.
Adui Wa Yanga tweet media
Indonesia
6
16
18
458
Mwisho
Mwisho@macdeandy·
@Sisimizi3 Ela za wazungu haziko Mafuta yako juu !! nje ntiti ndani ntiti !! daaa
0
0
0
1
Dr. Sisimizi
Dr. Sisimizi@Sisimizi3·
BREAKING NEWS : Rais SAMIA amesema atabana matumizi ya Serikali hasa kwenye suala la mafuta, kuanzia sasa kwenye MSAFARA wake kutakua na gari chache, gari ya polisi, gari yake na wengine waliobaki watapanda basi, awe Waziri Mkuu au Mawaziri wa kawaida
Dr. Sisimizi tweet mediaDr. Sisimizi tweet media
Indonesia
27
10
129
11.8K
Gerson Msigwa
Gerson Msigwa@MsigwaGerson·
#UfafanuziMuhimu // Leo tarehe 08 Aprili, 2026, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati akiwaapisha viongozi aliowateua hivi karibuni amezungumzia changamoto ya kupanda kwa bei za mafuta Duniani. Kutokana na baadhi ya watu kuhitaji ufafanuzi wa kauli hiyo, Mheshimiwa Rais alimaanisha ifuatavyo; 1. Bei za mafuta ya dizeli katika soko la dunia zimeongezeka kwa dola za Marekani 800 kwa tani ambapo zimetoka dola 650 ya mwezi Februari 2026 hadi kufikia dola 1,450 mwezi Machi 2026. 2. ⁠Bei za mafuta ya petroli katika soko la dunia zimeongezeka kwa dola za Marekani 434 kwa tani ambapo zimetoka dola 618 ya mwezi Februari 2026 hadi kufikia dola 1,052 mwezi Machi 2026. 3. ⁠Bei za mafuta ya taa na mafuta ya ndege katika soko la dunia zimeongezeka kwa dola za Marekani 821 kwa tani ambapo zimetoka dola 679 ya mwezi Februari 2026 hadi kufikia dola 1,500 mwezi Machi 2026. Pamoja na kuwepo kwa athari za kupanda kwa bei za mafuta kwa watumiani Duniani kote, bado viwango vya bei za mafuta vya Tanzania ni vidogo ikilinganishwa na nchi zingine. Kupanda kwa bei za mafuta kumesababishwa na athari za vita inayoendelea kati ya Irani dhidi ya Israel na Marekani iliyosababisha kufungwa kwa lango la Hormus ambalo hupitisha mafuta mengi yanayotumiwa Duniani ikiwemo Tanzania na nchi zingine za Afrika.
Gerson Msigwa tweet media
Indonesia
428
32
142
88.8K
Dr. Boaz
Dr. Boaz@PhysicsJ7·
Nimeanza kuamini Rais amezungukwa na Useless peoples. Au ni mpango wa kumdhalilisha unaendelea🤔 Yani Lita 1 iuzwe Milioni 2 na bado anasema amerekebishwa🫢🫢
Filipino
107
99
562
37.9K
Mwisho
Mwisho@macdeandy·
@Sativa255 @HecheJohn Duuu,, Hata kama Shule ni za bule tunasoma aiseee!! Io bei ni kwa Pipa au Lita 1 😀😀
Filipino
0
0
0
213
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Hili limama lenu kichwani kuna FUNZA? Anasema Europe bei ya mafuta ni Euro elfu sita (6000) kwa lita moja, kwa hela ya bongo ni milioni 16-17 Kaenda mbali zaidi anasema Marekani bei ya mafuta ni dola elfu nane (8000) ambayo bongo ni sawa na milioni 20. Ukweli ni kwamba bei ya Mafuta kwa Europe ni Euro 3.57 Wakati huo Marekani wao huwa hawanunui mafuta kwa lita bali wananunua kwa Gallon na Gallon moja ni Dola 3.80 Elimu mbali mbali inaongea na hutashangaa wanapiga makofi na suti zao kama misukule. Nchi imeozeana inanuka kishenzi.
Indonesia
164
217
1.3K
59.1K
Mwisho
Mwisho@macdeandy·
@zoetjesheeftX Gwajima aliseka Samia fyeka ... sasa Samia yupi wa Zanzibar au Tanganyika au Kasumba lesa
Indonesia
0
0
0
614
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️
Wakati Gwajima anaombea wachawi wote wafyekwe, Amekosea sana Hakutakiwa Kutaja majina ya Viongoz wa Serikali nao Kufyekwa, hasa Rais Samia, Amemkosea sana.. Gwajima anatakiwa kumuomba msamaha Mh.Raisi Amemkosea sana.. 👉👉👉Mwamposa.🤣😃.. una lipi la kumwambia Mwamposa? Uwanja wa maoni uko waz👇👇👇👇.
❤️ Miss Platnumz ❤️💃🏽🧚🏻‍♀️❣️ tweet media
Indonesia
35
2
84
27K
Mwisho
Mwisho@macdeandy·
@PMadeleka Wanafanya tukio alafu wanachunguza ,, ni kama Baba familia anaaribu home then anaunda tume 😀😀
Filipino
0
0
0
97
Peter Madeleka
Peter Madeleka@PMadeleka·
Natoa PONGEZI kwa Serikali kwa uamuzi wake wa KUUNDA TUME YA KUCHUNGUZA CHANZO CHA MOTO SOKO LA MAWASILIANO 👇. Nadhani, Tanzania ni NCHI YA 7 DUNIANI KWA KUWA NA TUME ZA UCHUNGUZI.
Peter Madeleka tweet media
Indonesia
48
11
183
11.2K
Suphian Juma Nkuwi
Suphian Juma Nkuwi@SuphianJuma·
Rais Dkt @SuluhuSamia amepewa mamlaka Kikatiba ibara 36(2) kumteua yeyote wakati wowote nafasi yoyote kadri atakavyoona inafaa kusaidiwa majukumu. Wanaharakati/wapinzani acheni kumpangia Rais; 2030 wekeni Rais wenu mumpangie otherwise jipigieni makelele mtandaoni kama kasuku.
Suphian Juma Nkuwi tweet mediaSuphian Juma Nkuwi tweet media
Indonesia
18
0
10
3.3K
Samia Suluhu
Samia Suluhu@SuluhuSamia·
Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya ajali ya moto ulioteketeza Soko la Mawasiliano (Simu 2000) lililopo katika Kata ya Sinza, Wilaya ya Ubungo, mkoani Dar es Salaam, jana Aprili 4, 2026. Ninatoa pole kwa wafanyabiashara waliopoteza mali zao na wananchi wote walioathirika na ajali hiyo kwa namna mbalimbali. Nimeziagiza mamlaka za uchunguzi kufanya kazi ya kubaini chanzo cha moto huo, kufanya tathmini ya madhara na hasara iliyotokea na kuchukua hatua stahiki haraka.
Indonesia
58
60
232
38K
Mwisho
Mwisho@macdeandy·
@lifeofmshaba Uyu anataka amme uwazili 😀 sio mala paa waziri wa Madini , au Fedha !! daaaa
Filipino
0
0
0
1K
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Toka wameua watu October ni wamechanganyikiwa wana wazimu hakuna suala wanafanya la akili, utaratibu au busara ya kawaida Kesi ya Lissu wanayemtamani kumuua ina wachanganya, Kibibi kinasema hakuna uwezo hata chembe kupambana na mwana siasa kama Lissu yaani kwa sasa ni kukoroga kama watoto wadogo
Think Different tweet mediaThink Different tweet mediaThink Different tweet mediaThink Different tweet media
Indonesia
13
65
290
28.4K