Madrax

6.8K posts

Madrax banner
Madrax

Madrax

@madraxnative

💥BA-COMMERCE IN MARKETING💥ConsciousCode2004💥 Upper Cover with no Iimit.

world Katılım Ekim 2015
529 Takip Edilen566 Takipçiler
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Mara ya mwisho kesi ya Uhaini dhidi ya Mhe. Lissu ilisikilizwa February 24, 2026. Serikali ya Nduli Idd Amin Mama baada ya kuona ushahidi walionao hautoshi kumtia Mhe. Lissu hatiani wakaamua kuweka mpira kwapani kwa kukimbilia Mahakama ya rufani kwa kisingizia kwamba wamekata rufaa kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu kutupilia mbali maombi yao ya kuongeza mambo ya Oktoba 29, 2025. Mpaka leo unaenda mwezi wakaamua tatu, ofisi ya Jaji Mkuu @judiciarytz imegoma kupanga tarehe ya kuanza usikilizwaji wa shauri hilo kwasababu Nduli Idd Amin Mama anatumia Mahakama kumkandamiza Mhe. Lissu kwa kumnyima Haki zake za msingi. #FreeTunduLissu
Hilda Newton tweet media
Indonesia
14
150
548
14.5K
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Jana tumeambiwa ni kweli NINJA alitekwa na POLISI na yupo kituo cha polisi "Chang'ombe". Hiki kituo ndio mahali ambapo wanatesea watu na tumekilalamikia sana. Hata hao watekaji wa MAFWEL kambi yao ipo pale. Ndugu zake Ninja walizunguka vituo vyote waliambiwa hawajui alipo. Baada ya kupita masaa zaidi ya 30 wanakuja kusema wapo nae, tayari wamemuhoji na kuna mambo amekiri wanampeleka mahakamani. Katiba ya hii nchi ni MBOVU sana ila bado hawa WAPUMBAVU wanaivunja. Ukamatwaji wa NINJA haukufuata sheria, lakini pia bila kuwapa familia taarifa NINJA yupo wapi kwa masaa zaidi ya 30 ni kinyume cha sheria. Aina ya UKAMATWAJI wa NINJA ndio huo ambao ndugu zetu wengi walikamatwa na mpaka leo hatujui wapo wapi. Mtu kama Mdude, pole pole wote walikamatwa kwa njia hii hii na mpaka leo hatujui walipo. Tunaposema hili jeshi la polisi ndio watekaji wakuu na ndio wanaotupoteza mnatuona kama tumelipwa kuichafua nchi. Ona leo ukweli wote upo hadharani.
Filipino
5
127
636
20.3K
WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr·
Wakuu account yangu nimefanikiwa kuirudisha kwahiyo tunaendelea pale pale tulipoishia. #FreeNinja 🙏🏼
WHYMYCATISSAD tweet media
Filipino
38
55
256
21.1K
HAPPNES MLAY
HAPPNES MLAY@Happinesmlay·
Sina usingizi nifanye nini?
Indonesia
18
5
21
816
Madrax
Madrax@madraxnative·
@RevocatusMagum1 @ezzy_wix Sijawahi fuatilia boxing za bongo coz boxer wa bongo anapo pigana ndan hapa uwa n lazima atengenezewe mazingira ya kushinda
Indonesia
0
0
0
63
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼@RevocatusMagum1·
🥊 Sakata la Ibrahim Mafia vs Alvin Camique Pambano lililomalizika hivi karibuni kati ya Ibrahim Mafia (Mtanzania) na Alvin Camique (Mfilipino) limeacha mjadala mzito katika tasnia ya ngumi Tanzania. Mafia alitangazwa mshindi kwa pointi, huku Waziri wa Michezo, Paul Makonda, akikabidhi zawadi ya milioni 5 kutoka kwa Rais Samia. Aidha, Camique pia alipewa milioni 5 kwa uchezaji wake wa kuvutia kama “entertainer boxer.” Lakini kilichotikisa zaidi ni mawazo ya mashabiki waliolalamika kwamba Camique alistahili ushindi. Mashabiki walifika mbali kuimba jina la Mfilipino, wakionesha kutokuamini matokeo ya majaji. 🔎 Taswira kwa ngumi ya Tanzania - Uaminifu wa majaji: Sakata hili linaibua swali kubwa juu ya uwazi na uadilifu wa uamuzi wa majaji. Mashabiki wakihisi matokeo si ya haki, tasnia hupoteza imani. - Heshima ya mashabiki: Kuona mashabiki wakimpa heshima zaidi mpinzani wa kigeni kuliko bingwa wa nyumbani ni ishara ya changamoto kubwa kwa tasnia ya ndani. - Fursa ya mageuzi: Tukio hili linaweza kuwa kengele ya kuimarisha mifumo ya uamuzi, kuongeza uwazi, na kujenga imani ya mashabiki. - Nguvu ya burudani: Zawadi kwa Camique inaonyesha kuwa ngumi si tu ushindi wa pointi, bali pia burudani na mvuto wa ulingoni. Kwa ushuhuda wa macho yako Nani alistahili kua bingwa?
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 tweet media𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 tweet media
Indonesia
9
4
102
17.6K
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Leo umetimia mwaka mmoja tangu Mdude Nyagali avamiwe nyumbani kwake na maofisa wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya ambao walimjeruhi na kisha walimteka na kuondoka nae mpaka leo hatujui wamempeleka wapi. Tukikomboa nchi aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera na RPC wa Mbeya Benjamin Kuzaga watatuambia waliko mpeleka Mdude.
Hilda Newton tweet media
Indonesia
7
166
566
9.4K
Madrax
Madrax@madraxnative·
@mfinanga_rm Kaka ata mwizi wa kuku,order ikitoka wanakuja ata 10 kukunyaka
Indonesia
0
0
1
898
MfinaWiiiseeee
MfinaWiiiseeee@mfinanga_rm·
Watu saba kweli kwaajili ya Ninja!
Indonesia
6
40
317
12K
Sengo
Sengo@kato_lubu·
@MariaSTsehai @Ninja_Damour @tanpol Kama mtu ana kosa si apelekwe kituo cha Polisi? kuliko kumvamia kama jambazi? Huu utawala wa kiyunani umetokea wapi? Halafu bado wapo machawa wanao kuja kuwasifia au kwasababu hayaja wakutaa?
Indonesia
3
3
16
1.1K
Madrax
Madrax@madraxnative·
@influencerjr Mamaeee umeshatuuza kwa Muuza Uyoga
हिन्दी
0
0
0
127
MYSADCAT
MYSADCAT@influencerjrr·
Wakuu tuweke hela kwa Bayern au ndo michezo???
MYSADCAT tweet media
Indonesia
7
2
63
3.6K
Fadhili Kangusi
Fadhili Kangusi@fadhilikangusi·
Mliosapoti mambo ya Taivina na Vunjabei hapo jana, mmesapoti Ninja kutekwa leo. Hili halina ubishi wala kupindisha maneno!
Filipino
11
29
161
14.2K
Madrax
Madrax@madraxnative·
Hii ndo Tafsiri sahihi ya wahenga kwamba Mchuma Janga Ula na wa Kwao
Indonesia
0
0
0
20
Madrax
Madrax@madraxnative·
@chapo255 Zingatia "Nikushone au Tuzinese"😂
Euskara
0
0
1
426
#FreeNinja
#FreeNinja@MwansasuSnr·
Nimeongea na Mama yake Damour Nyakairo almaarufu @Ninja_Damour amenithibitishia ni Kweli Damour alifatwa nyumbani kwao na kuchukuliwa na watu wasiofahamika. Wamemuangalia vituo vya Polisi karibu wamemkosa. Hii ndio taarifa niliyonayo kwa sasa.
Indonesia
51
256
737
42.9K
WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr·
@Cowwbama Akija na ‘kazi’ yenye ofa nzuri watu hawawezi kukataa kazi kaka siasa na kazi ni vitu viwili tofauti. Leo nimejifunza mengi😅🙌
Indonesia
5
0
40
2K
MUNGU AKULINDE NINJA🥷
So far so good mafwele sio mtu mbaya nje ya kazi zake za kipolisi si ndio?😁
Indonesia
10
21
250
12.6K
Madrax
Madrax@madraxnative·
@chapo255 Skonga aliondoka nayo Allan lucky
Filipino
0
0
0
49
SANUKAnaCHAPO
SANUKAnaCHAPO@chapo255·
Sema EATV kile kipindi cha ‘Skonga’ wangempa ajira huyu mwana wa pale Instagram ana kipindi chake kinaitwa ‘Uni-collenge show’ angeichangamsha sana show. Jamaa anajiita Charles Mtasha, kichwani zina charge sana.
SANUKAnaCHAPO tweet mediaSANUKAnaCHAPO tweet mediaSANUKAnaCHAPO tweet media
Indonesia
26
28
502
32.9K
Madrax
Madrax@madraxnative·
@chapo255 Ukijumlisha na vile Vitu avipendavyo DjKacho
HT
0
0
0
248
SANUKAnaCHAPO
SANUKAnaCHAPO@chapo255·
Kuna muda unaimiss Nyagi ila ukimkumbuka DJ Choka unakuwa mpole!
Filipino
42
46
765
49.7K