Msuya, Salum Ally Hassan Msuya.

35.3K posts

Msuya, Salum Ally Hassan Msuya. banner
Msuya, Salum Ally Hassan Msuya.

Msuya, Salum Ally Hassan Msuya.

@majiyabendera

💝 🌓2017|2023| وَلَلْأَخِرَةُ خَيْرٌ لَّكَ مِنَ ٱلْأُولَى

Katılım Mart 2012
11 Takip Edilen99 Takipçiler
Msuya, Salum Ally Hassan Msuya. retweetledi
Christian Bwaya
Christian Bwaya@bwaya·
Tunafundishwa kanuni za mafanikio na watu ambao hata mlo wa baadae unapatikana kwa imani.
Indonesia
7
16
73
2.4K
Msuya, Salum Ally Hassan Msuya. retweetledi
Christian Bwaya
Christian Bwaya@bwaya·
Wenye hela wanatumia nguvu nyingi hela walizonazo zisizonekane. Wasio na hela wanapambana kufa na kupona kuonekana wana hela. Wenye ‘elimu mbalimbali’ wanakazana kuitwa majina yanayotambulisha elimu wasizonazo. Wenye elimu wenyewe hawajitambulishi na majina yanayotambulisha elimu zao. Identity crisis—ukiukosa utambulisho unaoanzia ndani yako utateseka na mahangaiko mengi yasiyoziba ombwe lisilozibika.
Indonesia
2
33
93
2.1K
Msuya, Salum Ally Hassan Msuya. retweetledi
Christian Bwaya
Christian Bwaya@bwaya·
Mwenye hekima, kwa kawaida, huwa ni ‘mjinga’ wa kudumu asiyechoka kujifunza mambo mapya. Haoni haya kuupambanisha ujinga wake na maarifa. Mjinga, kwa upande mwingine, huwa ni ‘mwenye hekima’ asiyeona haja ya kupitia upya kile anachokijua. Hukwepa kujifunza kwa kutetea na kupigania msimamo.
Filipino
0
36
77
3.3K
Msuya, Salum Ally Hassan Msuya. retweetledi
Christian Bwaya
Christian Bwaya@bwaya·
Wenye nguvu ni wapole, wasio na nguvu wana maguvu. Wenye mamlaka ni wasikilivu, wasio na mamlaka huamrisha. Wenye akili ni wakimya, weupe hujiamini kwa wasichokijua. Wenye busara wanakwepa kushauri, wanaohitaji ushauri ndio wanaoshauri kila mtu. Wenye hoja hawafoki, masikini wa hoja hujificha kwenye mashambulizi. Wenye elimu hawajitambulishi, wasioelimika huficha ujinga kwenye vyeo na makaratasi. Wenye imani hawabagui, wasio na imani hulinda dini kwa kuchochea ubaguzi. Wenye pesa wanaonekana wa kawaida, wanaohenya na umasikini wanaonesha hela. Wenye uzuri hawachoshi kamera, wenye mashaka na sura zao hawaishi kujipiga picha. Wenye furaha wanapenda faragha, wasio na furaha hupenda kuonesha tabasamu lisilokuwepo. Kinachokutesa, mara nyingi, huna na labda hujakipata. Ukishakuwa na kitu hata usipokionesha hakikusumbui. Unajua unacho. Unatulia.
Indonesia
1
26
53
2K
Christian Bwaya
Christian Bwaya@bwaya·
Kuna watu wametufikisha mahali pa kuogopa kuonekana na vitendea kazi…
Christian Bwaya tweet media
Indonesia
12
2
14
2K
Msuya, Salum Ally Hassan Msuya. retweetledi
Christian Bwaya
Christian Bwaya@bwaya·
Hakuna mtu ni mwalimu mzuri kama mtu anayefundisha kile kile kilichomsumbua yeye mwenyewe na huenda kimemshinda.
Indonesia
5
20
92
1.6K
MrBeast
MrBeast@MrBeast·
If this tweet has exactly 1 like in 24 hours I’ll give that person $1,000,000
English
261.1K
30.6K
1.1M
70.7M
Msuya, Salum Ally Hassan Msuya. retweetledi
Fred Kavishe
Fred Kavishe@fredkavishe·
Ma ofisini unafiki mwingi sana watu wanaweza logana kisa safari na per diem
Indonesia
39
65
546
28K
Msuya, Salum Ally Hassan Msuya. retweetledi
Christian Bwaya
Christian Bwaya@bwaya·
Kosa linalokufundisha kuwa wewe ni binadamu wa kawaida kama wengine lina faida zaidi kuliko mafanikio yanayokuaminisha wewe sio binadamu wa kawaida.
Indonesia
1
37
117
1.9K
Msuya, Salum Ally Hassan Msuya. retweetledi
Christian Bwaya
Christian Bwaya@bwaya·
Unapomtuhumu mtu kwa vitu usivyo na uhakika navyo, mara nyingi, unakuwa unafunua kile kinachoishi ndani yako ingawa unaogopa kukiri wazi wazi. Huhitaji ushahidi wa hisia zinazoanzia ndani yako.
Indonesia
0
17
45
1.1K
Msuya, Salum Ally Hassan Msuya. retweetledi
Christian Bwaya
Christian Bwaya@bwaya·
Insecurities zitawaua wanaume. Unataka kutoa matumizi ya watoto mbele ya watoto ili kuoneshea nini hasa? Wewe kama ni ‘provider’ kweli kwenye familia wala huhitaji kuhangaika kuthibitisha. Unapokuwa kwenye situation unataka sana kuthibitisha kitu ujue hicho unachopambania kukithibitisha huna.
Indonesia
16
12
85
6.3K
Msuya, Salum Ally Hassan Msuya. retweetledi
Christian Bwaya
Christian Bwaya@bwaya·
Unaweza kufikiri unawajua watu kumbe unalijua ombwe wanalojaribu kulijaza. Usione watu wanashindana kutoa matamko na misimamo ukadhani wanaamini wanachokisema. Wahenga walisema, “Usione, ukadhani”—Utashangazwa kujua wasichokisema.
Indonesia
0
18
40
1K
Msuya, Salum Ally Hassan Msuya. retweetledi
Christian Bwaya
Christian Bwaya@bwaya·
Dini, kwa tabaka la chini, ni nyenzo ya kukuza imani, kuisaka ‘maana’ ya safari ya maisha na kichocheo cha matumaini. Dini, kwa viongozi wengi wa dini, ni nyenzo ya ujenzi wa himaya, mamlaka, madaraka, umiliki na nguvu ya kudhibiti maamuzi ya tabaka lisilo na matumaini.
Indonesia
6
18
47
1.5K