Malik Afif

2.6K posts

Malik Afif

Malik Afif

@malikafif84

Father Of IMAN & SALMAN

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Temmuz 2023
799 Takip Edilen382 Takipçiler
TOTRunners
TOTRunners@TOTRunners·
Kuelekea mbio ya #AbsaDarCityMarathon Jumamosi 18/04 tutakuwa na Activation series kushirikiana na @RunnersTanzania ni hapa 📍Ardhi Mall- Tops Liquor kuanzia 12: 00 asubuhi mpaka uchoke wewe. Kuna 5Km &10Km Bureeeee!!! Karibu #LetsRun
TOTRunners tweet media
Indonesia
4
16
15
1.3K
Malik Afif
Malik Afif@malikafif84·
jitihada zetu ziweze kulipwa kwa Wema na Baraka, nawatakia nyote siku njema na yenye Tija mbeleni 👏
Indonesia
0
0
0
17
Malik Afif
Malik Afif@malikafif84·
Nawaombeeni nyote mkiwa na Afya njema na Amani, Mwenyezi Mungu aendelee kutulinda na kutuongoza hatua zetu katika siku hii yote, tunapoenda kutafuta Riziki zetu za kila siku, Mwenyezi Mungu aweke Baraka, Mafanikio, na Urahisi katika kila kitu tunachofanya,
Indonesia
2
2
8
72
Malik Afif
Malik Afif@malikafif84·
Watataka watoke Motoni, lakini hawatatoka humo, na watakuwa na Adhabu inayo dumu - Suurat Al Maida Aya ya 36 na 37.
Filipino
0
0
0
7
Malik Afif
Malik Afif@malikafif84·
Hakika walio kufuru lau wange kuwa na yote yaliyomo Duniani, na mengine kama hayo, ili watoe fidia ya kuepukana na Adhabu ya siku ya Kiyama, yasingeli pokelewa kwao na watapata Adhabu chungu.
Indonesia
1
2
5
72
Malik Afif
Malik Afif@malikafif84·
Siku inapokaribia kuisha, chukua muda wa kutafakari, kushukuru, na kutafuta Amani Moyoni mwako, sio kila siku itakuwa kamilifu, lakini kila siku ni hatua moja mbele, usiku wa leo upate kupumzika, kutuliza Wasiwasi wako, na kukuandaa kwa kesho bora, uwe na usiku wa Amani.
Indonesia
0
0
2
32
Malik Afif
Malik Afif@malikafif84·
@OleSangka Hii ni kweli mara ya kwanza kula nyama ya Kondoo niliipenda hadi leo, ilikuwa imekaangwa tamu balaa 😀
Filipino
0
0
0
49
Olesangka
Olesangka@OleSangka·
Nyama ya Kondoo Ina ladha na ni tamu kuliko mbuzi ila wengi watapinga
Indonesia
59
36
403
18.4K
Malik Afif
Malik Afif@malikafif84·
Mapambano yako ya sasa hayatadumu Milele, kile kilichokusudiwa kwako kitapata njia ya kuendana nawe, jifungue kwa Uwezekano wa wingi, Amini unastahili Baraka, achilia Mawazo yako yenye Wasiwasi, pumzika kwa kujua kwamba njia yako itakupata, endelea kutembea.
Indonesia
0
2
8
76
Malik Afif
Malik Afif@malikafif84·
Haujachelewa kamwe kufuatilia Ndoto zako, haujachelewa kamwe kuchagua Furaha, anza upya ikiwa ni lazima, jenga upya ikiwa ni lazima, lakini usidharau Ndoto zako, kila siku ni mwanzo mpya, unastahili Baraka za ajabu! Unastahili Mafanikio, unastahili Ukuu.
Indonesia
0
2
8
169
Malik Afif
Malik Afif@malikafif84·
@Pte_snow @Ajoke__xx You wanted to know the meaning, I told you, now you're surprised that one name having three meanings is common.
English
1
0
0
7
سيدة
سيدة@Ajoke__xx·
The happiest people are those who have found that Allah is enough. Enough for their hearts, their worries, and their emptiness. So even when they have less, they still feel complete.
English
4
57
214
3.2K
Malik Afif
Malik Afif@malikafif84·
Watu wenye Furaha zaidi ni wale ambao wamegundua kwamba Mwenyezi Mungu anatosha, anatosha kwa Mioyo yao, Wasiwasi wao, na kukosa kwao, kwa hivyo hata wanapokuwa na kidogo, bado wanahisi wamekamilika.
Indonesia
1
9
46
426
Malik Afif
Malik Afif@malikafif84·
@Pte_snow @Ajoke__xx Saidat comes from the Arabic name Sa‘īdah (سعيدة), which means: “Happy” “Fortunate” “Blessed”
English
1
0
0
10
Malik Afif
Malik Afif@malikafif84·
Inuka kwa Azimio na ulale ukiwa umeridhika, leo si siku nyingine tu bali ni Baraka mpya na nafasi nyingine ya kurekebisha mambo, endelea kusukuma Juhudi zako hakika zitazaa Matunda, nakutakia siku iliyojaa Neema, Maendeleo, na Furaha.
Indonesia
0
2
11
118
Malik Afif
Malik Afif@malikafif84·
Usijielezee kamwe kwa Watu ambao hawapendi kukuelewa, watakuhukumu kila wakati kwa kile wanachoamini, kwa hivyo jitenge nao na uendelee kufanya unachofanya, usiruhusu Maoni yao yabadilishe jinsi unavyoishi.
Indonesia
1
5
15
227
Malik Afif
Malik Afif@malikafif84·
Muamini Mwenyezi Mungu kwa Moyo wote, atashughulikia kila kitu.
HT
0
0
1
41
Malik Afif
Malik Afif@malikafif84·
Usijali kuhusu Lini! Itatokea wakati Mwenyezi Mungu atakapopenda, hatuna Uwezo wowote wa kuahirisha jambo au kulifanikisha mapema, kila kitu hutokea kikamilifu kwa wakati wake Mwenyezi Mungu, kwa hivyo pumzika na usijali, subiri jibu kwa Subira,
Indonesia
1
5
31
349
Malik Afif
Malik Afif@malikafif84·
nifunge katika Upendo wako, unikumbushe tena na tena kwamba uko upande wangu, nisaidie kutegemea Ahadi zako na unijaze Amani yako inayopita Ufahamu wote.
Filipino
0
0
2
17
Malik Afif
Malik Afif@malikafif84·
Mwenyezi Mungu ninashukuru sana kwamba umeniamsha asubuhi ya leo, ninajua uko hapa pamoja nami kila wakati, leo nahitaji Nguvu na Neema yako, nina mengi ninayohitaji na ninategemea Hekima yako kunisaidia kubaki Makini na kufanya mambo kwa Moyo wa Furaha,
Filipino
1
2
19
166
Malik Afif
Malik Afif@malikafif84·
Wakati Mema yanapotujia, kuna wale wanaohisi Huzuni, lakini ikiwa Madhara yatatupata, watakuwa miongoni mwa wa kwanza kushangilia, lazima uwe na Subira nao, njama yao haitakudhuru, Mwenyezi Mungu ndiye Mpangaji bora.
Indonesia
0
1
18
168
Malik Afif
Malik Afif@malikafif84·
kuwa Mvumilivu tu.
Polski
0
0
1
19
Malik Afif
Malik Afif@malikafif84·
Mwenyezi Mungu amekuona unasumbuka, Mwenyezi Mungu amekuona umetawanyika kimya kimya, ameona Machozi yako, anajua Maumivu yako, ameona Roho yako ikidhoofika, ameona Moyo wako ukivunjika, ameona mishipa ya Akili yako ikipasuka, kila kitu kitakuwa sawa hivi karibuni,
Indonesia
3
2
19
201