Manunduu

1.6K posts

Manunduu

Manunduu

@manunduu

Egghead savant

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Mayıs 2017
925 Takip Edilen506 Takipçiler
Manunduu
Manunduu@manunduu·
@KennedyMmari @mchiziMonie Ukiwa shule/chuo kwa muda huo jukumu lako ambalo ni kama kazi yako ni kusoma, fanya kwa ubora pata GPA nzuri na ujuzi wa kutosha kwa muda huo. Kupata GPA ndogo ni ishara ya kushindwa kuwajibika kwenye kazi yako ya muda huo wa kusoma, hivyo vyote viende sambamba.
Filipino
0
0
3
511
Kenny Mmari Snr.
Kenny Mmari Snr.@KennedyMmari·
Mimi nafikiri GPA siyo muhimu kama skills. Siku hizi waajiri wengi wamepunguza kuulizia matokeo ya chuo na wanakazia kwenye practical assessment na interviews. Nilimaliza chuo, hadi nilipoacha kuajiriwa sikuulizwa cheti wala GPA. Kuna watu nawafahamu hadi leo hata kwenda kuchukua vyeti vyao hawajaenda, more than 10 years later. Yes kuna baadhi ya kada bado GPA ni msingi, ila miaka inavyokwenda itapoteza umuhimu zaidi. Tuwafundishe wadogo zetu na watoto wetu kuwa GPA bila skills ni mateso.
Olesangka@OleSangka

Endeleeni kuwadanganya wadogo zenu kua GPA sio muhimu, cha muhimu ni kugraduate hadi zittakapotangazwa ajira zenye maslahi ya maana ila kuomba ni haiwezekani sababu ya GPA ndogo

Indonesia
26
20
169
19.8K
Manunduu
Manunduu@manunduu·
@gabyconscious Kikubwa hapa ni kuhakikisha unakua very good at what you are doing. Hayo mengine hakutakua na wa kuyaangalia
Filipino
1
0
0
66
Manunduu
Manunduu@manunduu·
@gabyconscious Ukikutana na maboss usivae cap 😁😁, interesting. Naombea wapwa wote tufike capacity kubwa to the extent kwamba unameet na country directors na unavaa kinjunga na cap tena cap unageuza nyuma.
Filipino
0
0
0
141
𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷 7.o
Lakini mambo ya nyinyi corporates ni ngumu huwaga ni kama mko na “We set the standards.. your talent doesn’t really matter. Watch your steps, son.” MINDSET. Kupanga ni KUCHAGUA yes. Mimi ndomana niliamua path ya “I plan to build influence and sell my own products rather than 👇
Jumanne Mtambalike@Afruturist

This is deep. The most important thing is to define your path and what you stand for. Engagement is engagement "Evil" or "Good" is a matter of perception. Just be ready to live with the consequences. The challenge is when you want to be "Good" and "Evil" at the same time operating with a struggling digital identity trying to impress people or certain social classes will ruin your brand. Even being "Evil" has a strategy. Basic Things... Choose three words you want to be known for e.g. Innovation, Tech and Entrepreneurship... link together strategically and build the foundation of your identity... Don't try to be everything to everyone. Focus on your primary audience. That's where you convert; gigs, opportunities, networks, etc. Hence before you chose "Good" or "Evil", ask yourself what is your strategy to convert your audience into cash. It is not about "how many" followers you have (it matters some how) mostly importantly "what type" of followers you have. Your audience defines your opportunity... Think long-term and short-term, the quick returns can be handsome but the overall long-term damage can be catastrophic. I have friends who are trying to undo their previous brand identity on social media to fit in with their current life hustles but they can't. In 2017, we wanted to give a handaome gig to one of the male digital influencers to push the agenda of Gender Based Violence (GBV)...just to realize the guy was openly promoting GBV online...but offline he wanted to look ethical...we almost lost the project...we had to terminate the contract with the guy... Choose your path wisely... Kupanga ni kuchagua...

Filipino
5
2
13
9.3K
Manunduu
Manunduu@manunduu·
People think a 'sensitive stomach' is a weakness, but it’s actually a high functioning alarm system that most people have broken.
English
0
0
0
4
Manunduu
Manunduu@manunduu·
@automatiki ecosystem. Tena ningekua mimi ningekua interested for deeper explanations about root causes za hizo untapped areas especially kwa watu wanaofanya kazi kwenye local initiatives.
Filipino
0
0
0
36
Manunduu
Manunduu@manunduu·
@automatiki kwa ujumla ndo inafanya some angles are untapped. So nafikiri tungeelekeza nguvu kuona how tunasaidiana kuface hiyo reality ya kufill hizo gaps na si vijembe. Mtu anaweza asiwe founder ila akawa enabler, accelerator or hata costumer ambao wote ni crucial kwenye
Indonesia
2
0
0
39
Manunduu
Manunduu@manunduu·
This is giving off Taarab vibes (Unless you two are beefing). As a leader, it is critical to address issues eloquently and with respect; dismissing a valid perspective by questioning someone’s personal "relevance" or "building status" avoids the actual argument.
Benjamin Fernandes 🇹🇿@Benji_Fernandes

I don’t think you should talk about businesses people are building not being “big-enough problem to make business sense” if you have never built a big business yourself. Founders are working hard to build. Let them build. The day you build something relevant then you can talk.

English
1
0
7
673
Manunduu
Manunduu@manunduu·
Recognizing that a problem might not be "big enough" to make business sense isn't an attack on founders like you big boss; it's a valid analysis of market viability.
English
0
0
0
143
Manunduu
Manunduu@manunduu·
If you look at what @GIVENALITY mentioned keenly, his point is grounded in reality. In many African markets, "untapped" often means that while a problem exists, the infrastructure, purchasing power, or unit economics poses difficulties to solve profitably at scale.
English
1
0
1
145
Manunduu
Manunduu@manunduu·
@iamwilsxn (Dark web you know,) 👉Go to your web browser and enjoy the dark web. Note: Patience is key. Follow and subscribe for more useful tips 🤝.
English
0
0
0
73
Manunduu
Manunduu@manunduu·
@iamwilsxn Simple. Just follow the following steps 👉 Make sure your device is charged or connected to power. 👉 Make sure your device is connected to cellular data/ Stable WiFi. Don't forget to wrap the router with aluminum foil. 👉 Switch off the lights to have good access to darkness.
English
1
1
0
614
Manunduu retweetledi
Machina
Machina@EXM7777·
invest a few hours in learning NotebookLM, it might just change your life
English
108
384
7K
557.9K
Manunduu retweetledi
SANUKAnaCHAPO
SANUKAnaCHAPO@chapo255·
Leo, QR Code hutumika kwenye malipo ya simu, vyeti, tiketi, kampeni za serikali, biashara na mitandao ya kijamii. 
Wakati wa COVID-19, matumizi yake yaliongezeka sana kutokana na hitaji la mifumo isiyo na mgusano.

Laptop nzuri kwa bei rahisi kuanzia 250,000= @usedpointTz
SANUKAnaCHAPO tweet mediaSANUKAnaCHAPO tweet mediaSANUKAnaCHAPO tweet mediaSANUKAnaCHAPO tweet media
Indonesia
0
17
51
5.1K
Manunduu retweetledi
0x45
0x45@0x45o·
what is the coolest looking website you've ever visited?
English
488
198
3.7K
6.2M