@officialDrHerry Hii inasaidia mtu mmoja asichukue michongo mingi maana watauka 30% lazima uumie otherwise upngee na muajili wa pili uwe consultant ulipe 5%
#TajiriLaKihaya
Kwa anachokifanya USA na ISRAEL nmegundua kwamba hakuna msaada wowote tunaoweza upata hapa tanzania… na CCM inaweza endelea kubaki madarakani kinguvu tu hadi wachoke wenyewe…
No one cares… we are on our OWN!
Hii dunia Haina HAKI… na haina nafasi kwa mtu MNYONGE!
Kwa mtazamo wangu Mheshimiwa Tundu Lissu Hana HAJA ya kuendelea kubaki gerezani…
Kwa kilichotokea OCT 29 - kulikua na Options tatu tu!
1. Mapinduzi ya Kijeshi na kuchukua nchi… kama walivyofanya Mali,Bukina Faso nk.
Ila in our case haikuwezekana - army ipo na mfumo pamoja.
Option 2: vijana kuingia barabaran au msituni na kujipanga na mapinduzi…
Uganda- mseven,Rwanda- kagame etc
In our case vijana hamna muda… na Wanaharakati wanaendelea kupiga hela tu na vihashTag viwili vitatu siku ya kesi alafu wanachimba wanaendelea kupiga hela za NGOs.
Option ya 3: acha UANAHARAKATI - fuata misingi ya SIASA… in politics there is no permanent Enemy/Friend.
Kenya 2007- watu waliuawa saana… ila RAILA ODINGA tunaemsifu leo- alichukua Nusu Mkate…
Akajijenga… akajenga chama chake …kikawa kikubwa kuliko… akawa a very vital person in kenyan politics hadi leo amefariki ila chama na vijana aliowafundisha siasa ndio wana dictate siasa za kenya ziende vipi…
Dunia haina huruma na haina Haki… dunia haina nafasi kwa mtu mnyonge!
Vijana wamemtelekeza mheshimiwa lissu hakuna usaidizi wowote- kila mtu anaendelea na mishe zake…
LISSU chukua 50-50…weka conditions zako…
Chadema tusizuiliwe kufanya siasa… chukua vijana wako wa chapa kazi- weka serikalini…
Ingia serikalini… jijenge… jipange… unda chama from grassroots … in the next 10years tutakua tunaongea mambo mengine!
Watanzania we don’t deserve your sacrifice- we have betrayed you!
Waziri wa Vijana, Joel Nanauka, amesema vijana watakaopewa mikopo kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Vijana wataanza kurejesha fedha hizo baada ya kipindi cha miezi mitatu hadi sita tangu kupokea mkopo huo.
Amesema utaratibu huo umewekwa makusudi ili kuwapa vijana muda wa kujiimarisha katika biashara zao kabla ya kuanza marejesho.
Kinachosikitisha sio manyanyaso anayopata huyu kijana ambae ni kada mtiifu wa CCM Geita; ni wananchi.
Inawezekanaje wananchi kumvumilia huyu jamaa ambae muonekano wake ni kama mlevi au kichaa?
Hata kama ni polisi asie na uniform awe mchafu hivi nani atakuwa na imani nae?
Wazazi wa Clinton Mogesa waliuza shamba lao huko Kenya ili wampeleke Qatar akafanye kazi. Alipofika Qatar akaelekea Russia na akaamua kuipigani Russia, hatimaye ameuawa huko Ukraine. Sasa Ukraine inasema Russia imeuacha mwili wake. Familia yake inaomba msaada wa kuupata mwili huo
@GeneralUsed@ayubu_madenge Israel, US, Uingereza na mataifa mengine wote wanakodi watu kutoka mataifa maskini kuwapwleka vitani.
Kumbuka pale Ulraine, Russia anapigana na US na Nato kwa maana ya mataifa ya Ulaya, na Putin alisema ile sio vita ni Opereshen
Nimesafiri safiri katikati hapa,tumejenga vituo vingi vya mabus vya kisasa na malls but viko wazi hakuna wafanyabiashara, kwa research fupi sababu ni kodi kubwa ya pango..Sasa nikajiuliza lengo lao ni serikali kupata faida au wananchi kupata huduma?
Nawapeleka @vodacomtanzania mahakamani haiwezekani pesa tangu Jana ipo hewani imekwama na hamuwezi kurudisha pesa ,huduma kwa wateja kazi yao ni kusoma script tu inayofanana
Safari hii sicheki na mtu ,na mwanangu akirudishwa shule anakuja kusoma hapo makao makuu
Kiongozi wa Chama Mstaafu wa ACT Wazalendo @ACTwazalendo , Zitto Zuberi Kabwe, leo Januari 12, 2026, ametoa mafunzo maalum (semina) kwa wabunge wa chama hicho mjini Dodoma, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kuelekea vikao vya Bunge.
Mafunzo hayo yaliyowashirikisha wabunge wote wa chama hicho, yalilenga kuwajengea uwezo wa kutekeleza majukumu yao ya kibunge, ikiwemo kubadilishana uzoefu wa namna ya kuisimamia Serikali ipasavyo, kuwawakilisha wananchi, pamoja na mchakato wa utungaji wa sheria.
Katika semina hiyo, Zitto Kabwe @zittokabwe ametumia uzoefu wake wa muda mrefu katika siasa za kibunge kuelezea mbinu za kuleta ufanisi na matokeo chanya kwa maslahi ya Taifa na chama.
Akizungumzia dhumuni la mafunzo hayo, taarifa iliyotolewa na Naibu Katibu wa Idara ya Haki za Binadamu na Vyombo vya Uwakilishi wa Wananchi, Mbarala Maharagande, imebainisha kuwa: "Kutokana na mafunzo hayo wabunge wa ACT Wazalendo wapo tayari kutekeleza majukumu yao ya Kibunge na kuiwajibisha Serikali kwa Maslahi mapana ya Taifa letu."
Aidha, chama hicho kimesisitiza kuwa kitaendelea na wajibu wake wa msingi wa kuwasemea na kupigania ustawi wa Taifa kwa kuhakikisha nchi inaheshimu misingi ya demokrasia na utawala wa sheria.