Uncle M.M ...🇨🇦🇨🇦🇯🇲🇮🇳🇰🇪🇲🇿🇱🇸

1.2K posts

Uncle M.M ...🇨🇦🇨🇦🇯🇲🇮🇳🇰🇪🇲🇿🇱🇸

Uncle M.M ...🇨🇦🇨🇦🇯🇲🇮🇳🇰🇪🇲🇿🇱🇸

@MsafiriTraver

Beira-Rio, Japeri Katılım Eylül 2024
73 Takip Edilen39 Takipçiler
Uncle M.M ...🇨🇦🇨🇦🇯🇲🇮🇳🇰🇪🇲🇿🇱🇸 retweetledi
The Chanzo
The Chanzo@TheChanzo·
Askofu Musomba Akemea Uchawa, Asisitiza Ukweli—Azungumzia Watu Kushangilia Vifo: 'Tumepotea Sehemu' Akizungumza katika katika Ibada ya Ijumaa Kuu iliyofanyika leo Aprili 03, 2026, katika Parokia ya Bikira Maria wa Mlima Karmeli Bunju, Askofu Stephano Musomba wa Jimbo Katoliki la Bagamoyo, ametahadharisha juu ya uelekeo wa jamii ya Tanzania akigusia mambo kama uchawa, utengano na dhuluma katika jamii. "Mila zetu za kiafrika si kawaida mtu anakufa leo unashangilia, si kawaida," Musomba ameeleza akizungumzia matukio ya hivi karibuni "Tukae chini tujadili pamoja tumekosea wapi,tuelimishane tueleweshane. Pengine anashangilia kwa sababu hakuna anayeniangalia, pengine haki yangu haijatendeka, ndio maana anashangilia. Kwahiyo tuangalie nini chanzo kinachotufanya tuwe tulivyo kwa nini tumefika katika hali hiyo," amesesisitiza Musomba. Askofu Musomba pia amekemea utengano wa kisiasa, ambapo ameonesha kushangazwa na watu wanaotenga binadamu wenzao kwa sababu ya tofauti ya vyama vya siasa. "Tulitendee haki taifa letu, tulikotoka na tunakoelekea siyo kuzuri.Tulikotoka kuzuri sana lakini tumepotea sehemu," alionya Askofu Musomba. Katika mahubiri hayo ambayo amesisitiza suala la ukweli, Askofu Musomba amechambua pia nadharia ya viongozi wa dini kuambiwa wanaingilia siasa, ambapo ameeleza siasa haifuti uumini wa mtu katika dini, na viongozi wa dini wana nafasi ya kuonya. Musomba ametumia muda katika mahubiri yake kukemea kasumba ya uchawa katika jamii “Sasa ukimweka mwanadamu ni Mungu kosa kubwa sana,na ndio maana tunao wajibu kama viongozi wa dini kufufua dhamiri za waumini wetu,” anaeleza zaidi katika mahubiri yake. “Zamani tulikuwa tunaogopa sana chawa, tena ukionekana we una chawa unakimbiwa usije ukaniambukiza. Lakini saa hizi ukiwa na chawa wewe ndiyo wewe.Mijamaa inakunyonya mpaka unakiona cha moto, wanasema we ni mzuri katika dunia hii kumbe huna lolote.” “Kumbe huna lolote,kwa sababu hii michawa inanyonya tu uchafu wako. Hakuna uzuri wowote hapo ndiyo maana tunasema ukweli, unaleta maendeleo….na ndio maana tunahitaji watu kusikiliza watu wanapokuambia we umekosea. Usiwashambulie, lakini mwanadamu wa leo ni mgumu sana anapenda kusikia yale anayotaka kusikia."
Indonesia
2
56
134
4.5K
Uncle M.M ...🇨🇦🇨🇦🇯🇲🇮🇳🇰🇪🇲🇿🇱🇸 retweetledi
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Akaunti ya X (Twitter) ya Chadema iliyokuwa ikijulikana kama ChademaTz. Akaunti hii, ambayo kwa muda mrefu imekuwa chombo muhimu cha mawasiliano na taarifa za Chama, imechukuliwa na kuuzwa kinyume na taratibu na maadili ya Chama. Taarifa zilizopo zinaonyesha kuwa aliyekuwa Afisa wa Chadema, Abdulkarim Muro, alihusika kuiuza kwa John Marwa, ambaye sasa anaitumia kupitia chombo chake kingine cha habari cha Royal Television. Kwa kuzingatia hali hii, tunatoa wito kwa Abdulkarim Muro na John Marwa kurejesha akaunti hiyo kwa Chama ndani ya muda wa siku tatu kuanzia leo. Iwapo watalazimika kupuuza wito huu, tutatangaza hatua ya pili ya kuchukua. REPOST 200
SIR TIVA tweet media
Indonesia
51
377
1.4K
78.7K
Uncle M.M ...🇨🇦🇨🇦🇯🇲🇮🇳🇰🇪🇲🇿🇱🇸 retweetledi
Uncle M.M ...🇨🇦🇨🇦🇯🇲🇮🇳🇰🇪🇲🇿🇱🇸 retweetledi
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Hatuwezi kufunika UKATILI wa Viongozi waliopita kwa sababu hawa waliopo wanaendelea kufanya mambo mabaya zaidi. Tukifanya hivyo utakuwa ni udhaifu na dhambi kubwa sana. Hatuwezi kumkumbuka mtu kwa kujenga madaraja dhidi ya roho za watu zilizopotea kikatili wakati wa uhai wake bila majibu hadi leo. Hisia za msiba haziwezi kuwa na nguvu kuliko wema , haki , huruma na upendo. Tukipoteza kumbukumbu za ukatili wao tutakuwa tunaimarisha ukatili kwa kila utawala na haswa vizizi vinavyokuja. Mimi namkumbuka Magufuli katika sura hii ma sio hisia na kelele za ngojera.
Godbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
42
224
939
36.5K
Uncle M.M ...🇨🇦🇨🇦🇯🇲🇮🇳🇰🇪🇲🇿🇱🇸 retweetledi
IG:Joy-Zelda
IG:Joy-Zelda@joy_zelda·
Patrice Motsepe is the worst President of CAF ever Retweet if you agree Morocco 🇲🇦 Moroccans #UEA
IG:Joy-Zelda tweet media
English
345
5K
8.4K
111.7K
Babangida
Babangida@DaimuManafi·
Hawa CAF ni wapumbavu na mpira wa Afrika ni mpira wa vipofu. Dunia nzima inatushangaa sisi ni watu gani. Inawezekanaje mtu akapewa ubingwa kwa EMAIL?, maamuzi mangapi mabovu yamewapa faida Morocco 🇲🇦 mpaka kufika fainali na bado mmewazawadia ubingwa. Ningelikuwa mimi nina mamlaka na soka la Senegal ningeamuru timu kutoshiriki michuano yoyote ya hawa CAF. Watu ambao wanaijata Afrika kama bara la giza wala hawakukosea hata kidogo na hatuwezi kamwe kujitambua na kuwa professional kwa staili hii. IDIOTIC CAF 🚮🚮 !!
Babangida tweet media
Indonesia
5
2
21
3K
Uncle M.M ...🇨🇦🇨🇦🇯🇲🇮🇳🇰🇪🇲🇿🇱🇸 retweetledi
Arsenal
Arsenal@Arsenal·
THREE MORE POINTS. All the post-match reaction following our dramatic late win 👊 twitter.com/i/broadcasts/1…
English
212
643
6.2K
212.6K
Uncle M.M ...🇨🇦🇨🇦🇯🇲🇮🇳🇰🇪🇲🇿🇱🇸 retweetledi
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Kwa wale ambao hamjui kwanini huyu MALAYA tunamuita "BIMSUMI" sikiliza HAPA. HUYU kakataliwa DUNIANI, MNINGUNI NA KUZIMU. Huyu Maiti yake yake hata BAHARI itaikataa.
Indonesia
45
129
857
37.5K
Uncle M.M ...🇨🇦🇨🇦🇯🇲🇮🇳🇰🇪🇲🇿🇱🇸 retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
@SGCommonwealth You want to support the illegitimate government of Tanzania that seized power after killing more than ten thousand Tanzanians?
Hilda Newton tweet media
English
11
133
419
12.3K
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Mbezi muda huu Watekaji walipaki Gari yao hapo tangu Asubuhi, kumbe walikuwa wanamvizia Agent wa gari ya makuti. Kabla hawajatokomea nae wananchi walizunguka gari watekaji wakazuga wanamuweka kituoni. Wamemhifadhi kituo cha Magufuli wafanyakazi wa stendi nendeni hapo kituoni vingenevyo mtamsaahau mwenzenu.
Indonesia
9
70
312
15.3K
Babangida
Babangida@DaimuManafi·
Sheikh amegoma kuambiwa mla Nguruwe 😀😀 ..... mimi ningekutana na Sheikh huyu ningemuuliza maswali haya. 1. Miaka yote 10 aliyokaa CDM kulikuwa na usawa wa mgawanyo wa mali? 2. Yeye anautaka usawa wa mgawanyo wa mali ili iweje ikiwa hana uongozi hata wa tawi huko CDM?
Indonesia
18
16
112
20K
Uncle M.M ...🇨🇦🇨🇦🇯🇲🇮🇳🇰🇪🇲🇿🇱🇸 retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Wa Irani wa Lumumba bana 🤣 alafu hoja zao ni “nilikuwa nakuheshimu ila sasa..” akili zao mbovu! Yaani wao leo ndo watufanyie emotional blackmail ili tusapoti! Alafu wanasema mi naleta udini! Hawa Islamic republic mullah wameua zaidi waislamu wenzao - hawafuati dini l- ni wauaji bila kujali dini! Haki ni haki tu! Dhulma ni dhulma tu! Wananchi wa Iran wameteswa mno na hawa wauaji!
Indonesia
8
14
91
4.1K
Uncle M.M ...🇨🇦🇨🇦🇯🇲🇮🇳🇰🇪🇲🇿🇱🇸 retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Si mnaona raia wa Iran venye wanashangilia kifo cha Kiongozi wao Mkuu basi siku Nduli Idd Amin Mama akifa kwetu itakuwa mara mbili ya hii.
Indonesia
90
76
567
27.7K
Uncle M.M ...🇨🇦🇨🇦🇯🇲🇮🇳🇰🇪🇲🇿🇱🇸 retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Nakuomba kesho ukiwa na nafasi nenda kanisa lolote la Roman Catholic ambalo lipo karibu na wewe katoe sadaka kwa kadri ulivojaliwa na Mungu maana hawa watu ni moja kati ya watu ambao huwa wanasimama na Wananchi daily, hawajawai kutusaliti hata dakika moja.
Indonesia
16
169
1.3K
24.4K
Joyce Evaristi
Joyce Evaristi@JoyceHuru·
Pichani anaitwa Ngumee amefariki kwa kugongwa n msafara wa waziri mkuu mirerani jana usku alishiriki kukata mapanga wapinzani hasa CDM.
Joyce Evaristi tweet media
Filipino
59
57
428
52.1K