Marflex

570 posts

Marflex

Marflex

@marflex002

Unemployed | Educated | Surviving | Tanzanian🇹🇿

Katılım Şubat 2023
188 Takip Edilen18 Takipçiler
Marflex retweetledi
KUSAGA
KUSAGA@kirambaukwaju·
Muwe mnasalimia watu
Indonesia
23
30
633
43.5K
Marflex retweetledi
Anthony Charles
Anthony Charles@AnthonChaz·
Usilete usomi kwenye maisha eti mimi nina degree, nimesomea hiki, siwezi kufanya kile, nimetunukiwa hiki. Kama huo usomi haubadilishi hali uliyonayo, uwinga nayo ni kazi. Life kwa ground ni gumu! 🫵
Filipino
5
11
52
1.2K
Marflex
Marflex@marflex002·
@massuidentity 🤣 Ila bongo jau jamaa anakumbatia vibaya mno mpaka akasema harudiani nae tena
Indonesia
1
0
0
265
Buba9️⃣9️⃣
Buba9️⃣9️⃣@massuidentity·
Jamaa anakupiga huku anakukimbiza yaani kifilo cha mchakamchaka 😂😂🙌🏽
Buba9️⃣9️⃣ tweet media
Indonesia
14
15
259
17.3K
Marflex retweetledi
Fanuel Arsene
Fanuel Arsene@ArseneFanuel·
@EsirEid NISAIDIENI KAZI WAKUU Nina experience ya kazi za microfinance(mikopo) miaka 4 mpk level ya branch manager, elimu ni degrii ya Hisabati na Takwimu, ni dereva pia nina leseni hai, hata kibarua cha 10k kwa siku sawa, mambo ni mbaya,niko Kahama town 0619923421 RETWEET IFIKE MBALI 🙏
Indonesia
14
194
365
13.5K
Marflex retweetledi
𝐄𝐋𝐊𝐍𝐎𝐖𝐒
𝐄𝐋𝐊𝐍𝐎𝐖𝐒@Its_elknows·
Kama unatafuta proxy za kutumia kwenye survey nunua residential proxy Kama unataka za kutumia kwenye TikTok,clickbank,timebucks nunua static proxy Tumia hizi strong proxy kwenye activity zako👇 t.ly/kO1Yv PS: Tumia email mpya kupata discount
𝐄𝐋𝐊𝐍𝐎𝐖𝐒 tweet media
Filipino
2
15
64
5.5K
Marflex
Marflex@marflex002·
@CadiSuvescalade @mafolebaraka Tuma screenshot ya ile ulikuwa unaomba hela umepata mtoto. Ukatuma na no yako ya Selcom. Kitu i’m sure hukuishia kuniomba mimi tu. Kwanza kumuomba mwanaume hela ya kukulelea mwanao ni ufala. Nimecopy kwake
Filipino
0
1
1
257
Cadillac
Cadillac@CadiSuvescalade·
@mafolebaraka Nini hii imefutwa hapa kutoka dakika mbili tu mmeshaanza kufuta tweet
Indonesia
1
0
3
1.9K
MrBeast
MrBeast@MrBeast·
If this tweet has exactly 1 like in 24 hours I’ll give that person $1,000,000
English
265.3K
31.2K
1.1M
68.7M
Marflex retweetledi
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
‼️TUNDU LISSU HATARINI !! ‼️ Leo kumetokea tukio ambalo limeshitua watu wengi namna lilivyotokea. Tundu Lissu amepelekwa mahakamani bila taarifa kwa CHADEMA, mawakili wake na familia yake. Mwanzo, ilichukuliwa kama tabia mbaya na ukatili tu wa hawa CCM, hasa serikali ya Samia, imetenda matendo mengi sana yenye utata na ukatili. Lakini wazungu wanasema 'The devil is in the details.' Kuna mambo mawili yaliyovuja na yanahusiana na tukio la leo. - Moja, siku usiku uliopita na jana, Mkuu wa Magereza Mkoa wa Dar es Salaam (RPO) jana usiku amekuwa na shughuli nyingi sana kuhusu Lissu, kutoka kwenye ofisi yake wanasema alikuwa na kikao kirefu sana na mkuu wa magereza wa Ukonga, kikao kirefu sana. Kutokana na kikao hiki, mambo mengi yamebadilika hapo magerezani kwa mazingira yanayomzunguka Lissu. - Kutoka kwa Ofisi ya RPO ime leak kwamba yeye na maafisa wengine, hasa yeye, ndiyo link yake na watu wanaompangia mabaya Lissu akiwa gerezani. Maagizo mengi yanapigwa kwake kwa utekelezaji, kwenda kwa maafisa wengine wa magereza. Japokuwa kuna mengine yanakwenda moja kwa moja pale gerezani kwa mkuu wa magereza - Mbili, Hii ni hatari na mpango mchafu. Kutoka Zanzibar, kile kikosi alichosema @HildaNewton21 ambacho kilipangwa kuja kumfanyia uovu Lissu, wanasema kiko Dar tayari kwa hiyo shughuli waliyo panga. Na ndiyo maana baada ya @HildaNewton21 kuandika, polisi walipaniki. Malengo wanataka hao wahuni wakishafanya uchafu wao wapotee huko Zanzibar, hata askari magereza wa huko hawatatoa taarifa walikuwa ni kina nani. Kikosi hicho cha Zanzibar si wote ni askari. Hili suala alilosea Hilda sasa liko kwenye utekelezaji la leo ni moja ya hizo siku wamefanya vitu vinashangaza watumishi wa umma wazalendo - Leo, tukirudi kwenye tukio la leo, jana usiku RPO Dar ameangaika kufanya mambo mengi sana. Moja ya mambo ni kwamba tumethibitisha na baadhi ya wazalendo mahakamani kuwa KIKOSI KICHOMPELEKA LISSU MAHAKAMANI leo ni kipya kabisa. Hapo mahakamani hakuna anayewajua waliokwenda na Lissu, haijulikani walitoka wapi, na kuna hofu sana kuhusu kinachoweza kutokea na hawa wasiojulikana. - Sasa Mafwele na Makonda huu mpango wenu mnaouyafanya mnaona una baraka zozote za Mungu ndani yake? Mnafikiria kwamba mnayotaka kumfanyia Lissu Umma utakubali? Lissu akitoka magereza au akiendelea kuwa gerezani dhamana ya afya/uhai wako huku juu yenu kwa muda mrefu msije mkajichanganya. Hizi kazi za Abdul mnazofanya na siasa chafu za Makonda kwa kufikiria anaweza kuondoa wanasiasa imara wote nchini , sababu ya ndoto za kisiasa ni kupoteza muda tu. Acheni na hii mipango yenu mibaya na kama leo mmefanya kitu chochote kupitia hiki kikosi mlichokitumia kumpeleka mahakamani kisichojulika, ni bora mkarekebisha mapema maana hakuna namna mtaweza kujificha na huu uchafu mnaopanga. - Wewe RPO wa Dar, hizo tamaa na ujinga unaokusumbua utakuponza, hauna kinga zozote za kufanya upuuzi huu unaoendelea utafungwa sababu ya huu upuuzi . Lissu anafuatiliwa na jumuiya za kimataifa na wananchi wote wa Tanzania hawatokubali huu upuuzi mnafanya au kupanga kufanya, hata Ndugai na Lukuvi walikuwa na kiburi kuliko wewe. Na walifanya kazi mbaya nyingi sana wako wapi leo? Wamefanya nini? - Kwa maafisa wa magereza, msikubali kufanya kitu chochote bila proper document au Taratibu, msikubali hicho kikosi kipya kuwapa amri kufanya mambo ya kihuni, hao ni wasiojulikana wakishafanya mambo yao wewe uliyepozamu ndiye utajibu dunia yote hii, Chande alionywa akakaza shingo lakini leo anajutia huko analia kama mtoto mdogo, pesa alizopewa wala hazina tena thamani, Msikubali kufanyishwa kazi chafu, kwanza pesa wanakula wahuni wengine msikubali kabisa kushiriki fuateni taratibu na aangalieni kwa makini sana vitambulisho mnavyopewa na hao wahuni wanapokuja, pia jifunzeni kufanya upelelezi mtu yeyote mpya anayekuja kwa issue ya Lissu anakuambia ameamia sijui kutoka wapi jua anakudanganya, kama kuna mtu ameongozana naye ambaye ni boss wake mfano Mafwele mwambie asinishwe yeye , jiwekeeni kinga mifumo inawahuni watafanya tukio mtafungwa nyie - Kumbukeni. Juzi hapa Chande amesema waliouawa watawajibika wao kama maaskari waliobeba bunduki, hakuna askari atakingiwa kifua na hawa watu. Fanyeni kazi zao ili wakianza, pelekewa moto kimataifa mtajikuta mmeingizwa. Kumbukeni mkifanya ujinga, vipimo vyovyote kuhusu Lissu, wananchi tutachanga hela, yaje mashirika kutoka Marekani kufanya vipimo. Hakuna namna kutakuwa na siri yoyote hapo na itajulikana mpaka nini kilifanyika na lini. Makonda na Mafwele hawana akili ya kufanya tukio la maana, ni wahuni tu. Mambo yao wanayofanya yanavuja kila siku na ndio maana leo, hivyo kikosi kimejulikana tena kutoka kwa ofisi ya RPO na hakuna namna atajua habari zimetoka vipi, maana ni mjinga tu, naye asiwapelekeshe. Hizo ofisi za umma zina wazalendo wengi, tena toka mmeshindwa, watu wazalendo wameongezeka kila kona. x.com/HildaNewton21/… -- Makonda , Mafwele na Abdul na huyo iddi Amini Mama eleweni kitu kimoja, Wananchi wamechoka umwagaji Damu, wamechoka sana -- Watumishi wa Umma kwenye vyombo na mahakama wameshashituka kuna mambo mnafanya nje ya utaratibu na wanajua mnataka fanya nini , Watumishi wa umma wanajua wakiona sura za wahuni hata kama watavaa soski mwili mzima, watu sio wajinga wanajua na wanajua nini kinaendelea, Watumishi wa mahakama wanasema kikosi chote leo ni kipya kabisa choteeeeeeeeee na mmewatia hofu, -- Kila mtu ameshashituka tunaelekea kwenye msimu wa mauaji makubwa ya wanasiasa na wanaharakati hili kuiteka nchi , hapo ndipo mtachemsha vibaya sana
Indonesia
32
149
501
34.3K
Marflex retweetledi
sultan
sultan@chapanombombwi·
Huu umechanika tayari, ngoja nicash out tu!
sultan tweet media
Indonesia
90
39
447
45.4K
I ❤️ Dar Es Salaam
I ❤️ Dar Es Salaam@FaradayMtz01·
Teknolojia ipo faster, Sisi Tanzania hatupo hata kwenye Top 90% ya Tech Duniani Vijana kutoka chuo cha Yale 🇺🇸 wamebuni social network site kwa njia ya immessage powered by Ai. Yaani unatuma ujumbe kwenye namba yako ya simu huku ukieleza mtu unayetaka kuonana nae awe na sifa
Indonesia
5
3
61
3.3K
Marflex retweetledi
Anthony Charles
Anthony Charles@AnthonChaz·
Moja ya Machimbo mazuri ya kujifunza digital Marketing (Inbound & Outbound Sales), SEO strategies, Ni hapa hubspot academy.hubspot.com/courses, binafsi nimejifunzia pale. Uzuri kozi zao ni bure. Mfano unataka kujifunza marketing, bonyeza hiyo link hapo juu kisha search "marketing" course zote utaziona. Nayeyuka 🚀
Indonesia
2
1
9
323
Marflex retweetledi
𝐄𝐋𝐊𝐍𝐎𝐖𝐒
Kuna hii platform ambayo unaweza kupata kazi nyingi sana za kufanya remote na ukalipwa kwa dollar Kama wewe ni;- →writter →Graphic designer →Junior developer →Transcriptionist nk Basi hii thread itakufaa sana kama bado hujapata kazi ya kufanya remote Repost & Uzi 👇
𝐄𝐋𝐊𝐍𝐎𝐖𝐒 tweet media
Indonesia
1
6
18
2K
Marflex
Marflex@marflex002·
@Its_elknows Boss ile tweet yako ya PayPal unaweza reshare tena
Indonesia
0
0
0
40
Marflex retweetledi
fwmalacyafeez
fwmalacyafeez@fwmalacyafeez·
Before AI there was kung fun This is Kung Fu best scene of all time
English
1.4K
6K
75.1K
2.9M
Marflex retweetledi
Mohini Shewale
Mohini Shewale@s_mohinii·
🚨𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Build your next app without spending a dollar on data. Someone made a list of 320,000+ free public APIs, and developers are going crazy. → Weather, finance, news, sports, crypto → AI & machine learning APIs you can call right now → Government open data, maps, geolocation → Entertainment: movies, music, games, anime → Categorized, searchable, and verified as working Free and 100% open source. Link Bellow:👇 just like + comment " send" + repost+ Follow me so that it can be auto DM.
Mohini Shewale tweet media
English
160
259
1.2K
76.4K