
N.Y
22K posts

N.Y
@masanja___
International Studies 🇹🇿🇰🇷


JUST IN: 🇺🇸🇨🇳 US Treasury Secretary Bessent says China will no longer be able to get oil from Iran.





If Manchester City win their two games in hand AND beat Arsenal next weekend… THE TWO CLUBS WILL BE TIED ON POINTS 🤯🤯🤯 We are potentially looking at one the most historic meltdowns of all time 😱



Jana nilipata wasaa wakukaa na MZEE wangu mmoja, akanipa shule ya maisha especially ya ndoa na namna ambavyo ni UTUME Key take aways: 1. Tupo kwa ajili ya WAKE zetu na sio kwa ajili yetu 2. Law and order ya familia ni Mungu, Mke/Mume, Watoto then Kazi 3. Uhuru wako ni uhuru wake 4. Mavituzi si kwa ajili ya mume bali ya mke wako… ufanye sababu yake na si sababu yako 5. Watoto ni wajibu na ni lazima uwe na wajibu kwa watoto hao Akakazia yafuatayo 1. Vijana wa sasa tumeflip law and order ya familia sasa ni Kazi, watoto, Mke/Mume then Mungu 2. Uhuru wetu sio wao na hivyo ni kasheshe 3. Lazima iwe furaha ya mke wako kabla ya yakwako, yani Happy wife happy life. 4. Tupange uzazi na hatuzai sababu yetu au tamaa zetu bali kwa matwaka na mapenzi yake Mungu Hii ilikua ni post discussion ya Kikao cha wanaume na namna ambavyo mafundisho ya siku hizi yapo. We move regardless. By the way nilmchapa rate 10/10 He is deep.












