Concrete Jungle

27.7K posts

Concrete Jungle banner
Concrete Jungle

Concrete Jungle

@mashkashare

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Şubat 2015
164 Takip Edilen476 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Concrete Jungle
Concrete Jungle@mashkashare·
Kila mpenda haki, amani na mageuzi katika taifa letu la Tanzania, ajitokeze 29/10 kushinikiza kufanyika reforms ili uchaguzi ufanyike wa HAKI. Tuwaondoe vibaraka wanaotuharibia nchi yetu. Vyama vyote, dini zote, raia wote tuungane. TUNAWEZA. #OktobaTunatoka #NoReformsNoElection
Concrete Jungle tweet media
Indonesia
0
2
3
166
Concrete Jungle retweetledi
𝑴𝒂𝒌𝒂𝒗𝒆𝒍𝒊 
Wakuu tusiache kupiga kelele hadi mwenzetu hapatikani, leo utaona haikuhusu ukanyamaza iko siku watafika dirishani kwako, tunahitaji kelele ya kila mmoja wetu mwenetu arudi uraiani #FreeNinja
Indonesia
3
169
261
4.5K
Concrete Jungle retweetledi
The Economist
The Economist@TheEconomist·
Opposition politicians are behind bars. The media remain muzzled. Outsiders are unlikely to help. A pall of fear hangs over Tanzania. Samia Suluhu Hassan is taking her country down a ruinous road econ.st/42GOzD3 Photo: Xinhua News Agency/Eyevine
The Economist tweet media
English
51
189
398
60.5K
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
Mambo yetu kivyetuvyetu halafu wala hatujali.
(---) Onesmo Mushi tweet media
Suomi
7
3
50
1.6K
Concrete Jungle retweetledi
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Kuweni na utu kiasi, mrejesheni Ninja aendelee na mitikasi yake, tafadhali🙏🏽
Indonesia
2
93
491
4.2K
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
Kwani huyu bro ni nani haswa Africa?🤔
(---) Onesmo Mushi tweet media
Filipino
30
4
133
14.8K
Concrete Jungle retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Police in #Tanzania arrest three for insulting Chande and his commission This of course just attracts more insults from Gen Z Sasa mnawachokoza alafu waki react mnawakamata! Yaani hao wazee ndo wanafurahi vijana wakikamatwa alafu baadaye watateswa mahabusu eh? Acha waendelee kutukanwa! Kama matusi yamekuuma fungua kesi ya madai ila si kutuma polisi wakamate watu! Mfyuuu 🚮 Ila #TutaelewanaTu @volker_turk this is your Chair of the fact finding mission to Sudan - who complains to police in his country about being insulted and they get detained! These detained youth are tortured in these cells adding to human rights abuses that Chande claimed to be investigating! If he feels insulted he can open a personal case for damages but not use the police to torture people! Ludicrous! Why is he still on this Mission to Sudan!? @UN_HRC
Maria Sarungi Tsehai tweet media
Filipino
20
90
397
21.9K
Concrete Jungle retweetledi
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Tunapataje usingizi Ninja hajapatikana.. na yule janja Jimmy Temba amekatwa kichwa; unajuaje you ain’t the next target? Free Ninja!🤲
Indonesia
9
100
432
5.8K
Concrete Jungle retweetledi
Cypher PX
Cypher PX@TanganyikaKid·
Napata hopes nikikutana na tweets za kumpazia sauti jamaa #FreeNinja humu, natamani watu wasinyamaze mpaka Jamaa atakapopatikana, ukimya katika hali hii hauakiwi hata kidogo #FreeNinja #FreeNinja #FreeNinja
Filipino
0
59
99
1.3K
Concrete Jungle retweetledi
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Nimeona video imesambaa mtandaoni, maiti ya mwanaume imeokotwa ikiwa imekatwa kichwa, inaelea katika bonde la mto Msimbazi eneo la Tabata. Baadae nakutana na chapisho la msanii, Mh. Temba anasema ni mjomba wake anaitwa James Temba. Nchi yangu imeharibika sana. Tumefikaje hapa?
Martin Maranja Masese tweet mediaMartin Maranja Masese tweet media
Filipino
59
207
1.3K
53.7K
Concrete Jungle retweetledi
PaYRoLL🗽
PaYRoLL🗽@CoolestDudeOnX·
Wangapi wanafahamu kwamba baada ya shambulio la Tundu Lissu, 07/09/2017, Spika aliagiza Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Bunge kufanya uchunguzi, na baada ya ripoti kukamilika, ikatengewa tarehe ya uwasilishwaji. Siku hiyo ilipofika, ghafla, ripoti ile ikaondolewa kwenye ratiba!!
Indonesia
7
44
211
18.4K
Concrete Jungle
Concrete Jungle@mashkashare·
#JusticeForTemba Hawa washenzi na wauaji wanaoshiriki utekaji wawajibishwe na jamii. Maana @tanpol hawasemi kitu na @MsigwaGerson hana mpango na nguchiro. Naangalia nyuma kama wanakuja. Ai mama weee, waje wachukue tu hiki kichwa maana wala hakina faida kama utekaji unaendelea.
Concrete Jungle tweet media
Indonesia
0
0
0
21
Concrete Jungle
Concrete Jungle@mashkashare·
@bwaya @cw_pedro Nimekuheshimu tu Bwaya. Ila Mrema hastahili hata tone la heshima. Sisi nguchiro tunapaswa kumtusua nyama yake mpaka abaki mifupa.
Indonesia
0
0
0
12
Christian Bwaya
Christian Bwaya@bwaya·
@cw_pedro Punguza kidogo ukali wa maneno. Mhe John Mrema anaweza kusema unakitukana chama chake 🤣
Indonesia
1
0
0
91
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe@zittokabwe·
Wakuu wa Mikoa wachaguliwe na wananchi moja kwa moja, wawe na baraza lao la utendaji, RCC ziwe Bunge la Mkoa. Futa maDC. Wenyeviti wa Halmashauri au Mameya wa Manispaa/majiji wafanye majukumu ya kisiasa anayofanya DC sasa. DED afanye majukumu yote ya kitendaji ya DC na DAS
Joel Ntile@JoelNtile

@Semkae Futa wote DC na RC. Majukumu ya DC kama mhamasishaji wa maendeleo aachiwe Meya au M/Kiti wa Halmashauri. Mengine yanayohusu utawala yabaki kwa RAS na DED. Rais anazo taasisi nyingine ground ambazo ndio jicho lake.

Indonesia
25
16
108
15.3K
Concrete Jungle
Concrete Jungle@mashkashare·
@WiliamAndason Rombo Intercity Ibra Line Msae Express Shimbi Varnamo😆😆 (hii nimechomekea) Meridian
Español
0
0
0
21
Ig @william_andason
Ig @william_andason@WiliamAndason·
Watoto wa 2000, mtupushe. Unakumbuka bus gani kati ya haya? 1.. Fresh ya Shamba. Arusha- Dar 2. Taqrim Mwanza - Dar 3. Tanganyika Bus Musoma - Mwanza 4. TAMTCO 5. Mamba Safari 6. Princess Muro 7. Tungi's express 8. JMC coachm 9. Mohamed Tran 10. Scandinavia Ongeza Mengine
Indonesia
25
1
18
3.6K
Concrete Jungle retweetledi
Farah Omar
Farah Omar@FarahOm91196252·
Mkuu wa Wilaya Karatu kama haya malalamiko ya mwekezaji mzungu mpaka analia kwa uchungu wa kudhulumiwa Hoteli ni kweli basi wewe na kamati yako ya ulinzi ni Mahakama tosha hakuna haja ya mtu kwenda Mahakamani wakati hukumu inatolewa kwa speed ya 7 G
Indonesia
2
4
47
1.9K
Concrete Jungle retweetledi
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Nini tunachoweza kufanya? Tumzungumze Ninja bila kukoma. Hivi ndivyo, eventually, walipatikana watu waliotekwa, nikiwemo mimi. Free Ninja Now. Muachieni Ninja jamani! Ninja uko wapi bro? Umekula? Ulipata usingizi? Are you okay, bro?
Tito Magoti tweet media
Indonesia
8
254
514
6.4K
Concrete Jungle retweetledi
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Jana nilipokwenda kuhuduria Kongamano la wanafunzi wa vyuo vikuu Chaso. Walitumwa baadhi ya vijana kutoka UVCCM, kwa kulipwa vifedha kidogo… Sina tatizo na vijana hata kama ni wa ccm kuhudhuria na kusikiliza sera, misimamo na hoja zetu. Lakini huyu kijana, watu wetu walipomgundua na kumhoji alisema alikua ameambiwa kwamba tukianza kuzungumza kuhusu ripoti ya Chande wazomee.. Lakini pia wafanye fujo na kutoka ukumbuni, ionekane vijana hawakutusikiliza. Kwenye simu yake alikua anawasiliana na mtu anaitwa Shangwe Mtei ambae ni kiongozi wa Uvccm. Huyu Shangwe akawa anamhakikishia kwamba hata kama wako wachache wafanye fujo kwasababu OCD alikuwepo nao pale. Ghafla huyu kijana akiwa anahojiwa na watu wetu kwanini yuko pale na nia yake ni ipi, Magari mawili ya polisi yalikuja pale kitendo kinachoonesha kwamba tukio hili lilikua limepangwa kwa ushirikiano huo. Huyu kijana alikua ametumiwa muamala wa sh 50,000 kwa madai yake walitumiwa wote na wenzake, na walipatwa hofu na kutokufanya fujo kwasababu vijana wa Chaso walikua wengi zaidi na pia ulinzi ulikua imara.. Fikiria kwamba huyu ni kijana wa chuo kikuu ana fikra na mawazo ya kutumwa na kulipwa sh 50 elfu!! Tuna safari ndefu kama Nchi Lakini lazima tufike.. Asante watu wetu wa ulinzi kwa kazi nzuri.
Suomi
77
332
1K
47K
Concrete Jungle retweetledi
Fundi viatu na mabegi
Fundi viatu na mabegi@Mshonaviatu·
Inavoonekana Bongo zozo kwa sasa ardhi hii ataisikia na kuiona kwenye vyombo vya habari ila kuigusa tena itakuwa mtiti sana kwake. Kumbe ukweli ndo kitu hakitakiwi kabisa hapa Gaza.
Indonesia
23
77
802
29K