Nelly JR.

914 posts

Nelly JR.

Nelly JR.

@Mashow22

Nutritionist

Katılım Şubat 2025
395 Takip Edilen91 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Nelly JR.
Nelly JR.@Mashow22·
Wazee wa Netanyahu kafa onjeni joto la bei ya mafuta🤣
Indonesia
0
0
1
11
U.S. Central Command
U.S. Navy fighter jets take off from USS Abraham Lincoln (CVN 72) during Operation Epic Fury. U.S. forces continue to conduct strikes against military targets inside of Iran.
English
62
171
927
20.5K
Vunga
Vunga@VungaEl74·
Rais wa Iran Masoud Pezeshkian anasema yuko "tayari kutoa sadaka" maisha yake kwa ajili ya Iran. 😅😅😅😅😅😅😅😀😀😀😀😀😀
Indonesia
7
1
12
189
Nelly JR.
Nelly JR.@Mashow22·
@pastajoshuatz Mtu ashawahi kupanda plane lakini haamini watu wanaweza kwenda mwezini
Indonesia
0
0
0
6
PASTA JOSHUA
PASTA JOSHUA@pastajoshuatz·
Kuna vyande wanaona wazungu wanaenda mwezini hawaamini wanasema uongo lakini wameambiwa peponi Kuna mabikira 72 na mito ya pombe wameamini, huu si wendawazimu??🤣
PASTA JOSHUA tweet media
Filipino
8
7
22
416
𝐔𝐃-𝐁𝐎𝐘
𝐔𝐃-𝐁𝐎𝐘@udsm_finest·
Sema kitu chochote ambacho una uhakika 100% kitatokea kwenye mchezo wa Leo, REAL MADRID Vs BAYERN MUNICH .......
𝐔𝐃-𝐁𝐎𝐘 tweet media𝐔𝐃-𝐁𝐎𝐘 tweet media
Filipino
35
14
91
2.4K
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Iran imewasilisha rasmi majibu yake yaliyokuwa yakisubiriwa kwa muda mrefu ya mpango wa amani wa Marekani wa vipengele 15, kwa kuwasilisha mpango wake wa vipengele 10. Mpango wa Iran wa vipengele 10 unajumuisha: 1.Dhamana kwamba Iran haitashambuliwa tena 2.Kumalizika kwa vita kabisa, siyo kusitisha mapigano kwa muda tu 3.Kukomesha mashambulizi ya Israel nchini Lebanon 4.Kuondolewa kwa vikwazo vyote vya Marekani dhidi ya Iran 5.Kusitishwa kwa mapigano yote dhidi ya washirika wa Iran katika eneo 6.Kwa upande wake, Iran itafungua Mlango wa Bahari wa Hormuz 7.Iran itatoza ada ya dola milioni 2 kwa kila meli inayopita Hormuz 8.Iran itagawana mapato hayo na Oman 9.Iran itaweka kanuni za usalama kwa meli zinazopita Hormuz 10.Iran itatumia mapato hayo kwa ajili ya ujenzi upya badala ya fidia
Indonesia
19
15
148
8.3K
Taivina James
Taivina James@Thereal_taivina·
Wanangu hapa si tumekubaliana au tunabeti vp?
Taivina James tweet media
Indonesia
63
17
234
7K
ONJOLO KENYA🇰🇪
ONJOLO KENYA🇰🇪@onjolo_kenya·
Kitambo Nilikuwa nadhani hii ni ya kuosha viombo.
ONJOLO KENYA🇰🇪 tweet media
Filipino
128
63
483
70.2K
Nelly JR.
Nelly JR.@Mashow22·
@juliejuleth Ulitaka ashinde wapi,mtu kasoma miaka 17 degree ya tax collection unataka akajiajili wapi,akili kama yako haiwezi Jenga ata familia
Indonesia
0
0
0
3
faith 🙏🛐✞︎
faith 🙏🛐✞︎@juliejuleth·
East Africa kama sikosei Tanzania inaongoza kwa kuwa na vijana wapumbavu, mtu anashinda kutwa mtandaoni kufuatilia umbea, page za udaku alafu anasema maisha magumu
Filipino
19
13
85
2.3K
KIDUKU OFSA NGIRI
KIDUKU OFSA NGIRI@Innocen89950594·
ALI KHAMENEI: Imani Yetu Hairuhusu Tuwe Na Silaha Za Maangamizi (NYUKLIA) Marekani Chini Ya TRUMP Wakaivamia Iran Nakumuua Ali Khamenei Haikuishia Hapo Wakapiga Bomu Kwenye Shule Ya Watoto Wakaua Watoto 160. Marekani Iliipiga JAPAN Kwa NYUKLIA 1945 Marekani Ndio MAGAIDI Halisi
KIDUKU OFSA NGIRI tweet media
Indonesia
20
25
115
3.1K
Ramzan Kadyrov
Ramzan Kadyrov@MDigala24·
@Mashow22 @EsirEid Hiyo ni ishara wapo teyar kufa lakini sio kumlamba mtu miguu, Iran hawajadumaa akili kama waarabu waafrika anaetakiwa kusujudiwa ni Mungu pekee ns sio Trump
Indonesia
1
0
0
26
Black Singapore 🤴🏿🐲
Black Singapore 🤴🏿🐲@BlackSingapore2·
asilimia 80 ya wanawake walioolewa wanaishi na wanaume zao ila mioyo yao inaishi kwingine kwa maan nyingine ni kwamba wanawake wengi wanaolewa na wanaume waliotayar kuwaoa na sio waliokuwa ndani ya mioyo yao ...naomba kuwasilisha
Black Singapore 🤴🏿🐲 tweet media
Filipino
14
9
165
19.5K
Elmi Kweka
Elmi Kweka@kwekaelmi792·
@Mashow22 @Innocen89950594 Atamsumbua au keshamsimbua? Pale Venezuela alijigamba sana, Hapo alipoingia mpaka matusi yamemtoka,na kinachomsumbua sana siyo Iran Kwa sasa Bali wale washirika wake wanavyolia njaa Kwa ajili Hormuz, Kingine ameshagundua Kuna watu wapo nyuma ya Iran wanafukuza kimyakimya.
Indonesia
1
0
0
19
Wagwan
Wagwan@keshtresor·
Yuda alimsaliti yesu kwa vipande 30 vya fedha sawa na 500M tsh na akairudisha, imagine ingekuwa wewe usingerudisha
Indonesia
6
5
29
1.2K
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amewaagiza viongozi kuanza mchakato wa ujenzi wa kituo cha mabasi eneo la Ubungo Mawasiliano, Dar es Salaam.
Indonesia
29
7
197
52K