Sabitlenmiş Tweet
Nelly JR.
899 posts


@kwekaelmi792 @Innocen89950594 Dunia nzima inalia mammna athari ya mafuta sio ya USA tu
Indonesia

@Mashow22 @Innocen89950594 Atamsumbua au keshamsimbua?
Pale Venezuela alijigamba sana,
Hapo alipoingia mpaka matusi yamemtoka,na kinachomsumbua sana siyo Iran Kwa sasa Bali wale washirika wake wanavyolia njaa Kwa ajili Hormuz,
Kingine ameshagundua Kuna watu wapo nyuma ya Iran wanafukuza kimyakimya.
Indonesia

@BlackSingapore2 Kuna dem wangu wa class 7 tulikua tunapendana kinoma akaja kuolewa ila bado ananicheki tupashe
Indonesia

@Mashow22 @HoseaFredy1 Hii nilikuwa namuiliza huyo jamaa alioleta mada za dini
Indonesia

@Mashow22 Hata afanye kwel vita hawez ishinda hii na lengo lake halitotimia
Filipino

@Mashow22 @Aminduze95 Mtu akishakuwa muislamu haitizami dunia kwa akili yenye afya bali chuki kwa America na ISRAEL kwake ndio swala la maana
Indonesia

@dosantos255 @Mashow22 @EduTalkTz Ni kweli sio kudharau, ila ni wabishi haoo😂. Na point zao ni zile zinazochallenge point za dunia Duara Wala hawana point zao.

@HoseaFredy1 @Mashow22 Ungekuwa una akili ungekemea swala la mauwaj ya watoto 165 lililofanywa na USA na ISRAEL bila kujal Dini kwa maana nafsi ya mtu haina Dini unaleta hoja cha chuki bila fikra
Indonesia

@Aminduze95 @HoseaFredy1 Vita haina macho target ilikua miundombinu bro kwani hao ndo watoto wa kwanza kufa,Africa ya kusini walikufa watoto mamia kwa mamia
Indonesia

@AminielEnock @LifeofSteph_1 Ipo siku watasema mwezi ni flat wakati tunauona kila siku
Indonesia

@Mashow22 @LifeofSteph_1 Hawawazi hata kua dunia ingekua flat kulitakiwa kuwe na mashimo pembeni ambayo ukianguka hujui unaenda kutua sayari gani nyingine. Yote kwa yote tujitahidi kutafakari mambo kwanza maana flat yoyote haikosi mwisho 😂
Indonesia

Kwenye huu mjadala sijawahi chagua upande nawasikilizagaa wote, Ila sasa ingekua hv si Jua lingemulika kote jaman au wangetokeaga wazito wakafika kwenye edge !?
Ila akili yangu chache ngoja niendelee kusikiliza upande up utanishawishi 😂
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz
I approve this message!😎
Indonesia

@HoseaFredy1 @Mashow22 Siwez jadil na mtu mpuuz kama wew niache niongee na @mashow22 sababu analeta fact na mimi naleta fact kwa mambo yaliyopo siyo Uisilamu na Ukristo hapa
Filipino

@dosantos255 @miahhwolf @TheHertkiller @EduTalkTz Wewe kwenye points za kisayansi huna hata moja umesema tusitumie vitu tulivyofundishwa shule ndio mana nikakukujibu ivo
Indonesia

@Mashow22 @miahhwolf @TheHertkiller @EduTalkTz Duuh sasa mwezi ukiwa Duara nawewe unaconclude dunia duara😂
Basi nimekubali mzee..
Indonesia

@HoseaFredy1 @Mashow22 Hao Maseneta wanaopinga vita na kusema Trump ni wazimu wao ni Waisilamu juzi raia waliyoandamana USA Kupinga vita wale ni waisilamu huna hija unaleta udin kwenye uhalisia ..
Indonesia

@dosantos255 @TheHertkiller @EduTalkTz Waliamini ni flat sababu ilikua ngumu kwenda angani,kuzunguka dunia n.k
Indonesia

@TheHertkiller @Mashow22 @EduTalkTz Hoja ya Dunia kuwa Duara imekuja kuwa proved kabisa baada ya wazungu kupiga picha ya kwamza ya angani mwaka 1946. Point nyngine zote watu walikua wanahisi tu na wanasayans wengi walikufa bado wanaamini Dunia ni Flat. So mtu akiwaza dunia sio duara sio kitu chakumdharau kiivyo.
Indonesia

@Aminduze95 Kutokuogopa kufa ni uongo hakuna asiyeogopa kufa na hio haikufanyi kushinda vita adui atakuua hata usipokiogopa kifo
Indonesia

@Mashow22 Na hapa shinda ndo ilipo wale jamaa hawaogop kufaa mind you wao hawajifich si umeona hata juz Wazir wa mambo ya nje alikuwa na watu mtaan na Rais wao unakumbuka alikuwa anapita mitaan wao hawatishwi na kifo wale hawa pig magoti kwa adui ni asil yao mzee
Indonesia

@Mashow22 @Aminduze95 Huyu bwana yaan atachokiona yy n vile kwamba America itapigwa hata na Botswana 🇧🇼
Filipino















