Mahitaji halisi ya watumishi wa afya nchini ni 348,923, lakini watumishi waliopo ni 126,925 sawa na upungufu wa 64%.
Kusoma uchambuzi kamili wa bajeti ya wizara ya afya ingia thechanzo.com/2024/05/22/uch…
Ahmad Muslims in Tanzania are delighted after rumour has it that Maulana TMC is dethroned from being incharge for Tanzania Jamaat.
The expectation is much higher that the Jamaat will move on but the mechanism must be rigorous.
Mie niwe na 700m sifanyi kazi tena, nacheza na Govt bonds na UTT tuu and some good rate fixed accounts 😃
Sikosi almost 6m monthly inatosha kabisa kuishi maisha ya middle Income.
HISTORIA: Timu ya kwanza 🇹🇿 kushinda mechi 3 za away kwenye mashindano ya CAF Kuanzia hatua ya kwanza ya mtoano
🇳🇬 Rivers 0-2 Yanga
🇨🇩 Mazembe 0-1 Yanga
🇹🇳 Club Africain 0-1 Yanga
Rekodi ya kupata pia cleansheets 3 away