Mzee wa Jambo

4.6K posts

Mzee wa Jambo banner
Mzee wa Jambo

Mzee wa Jambo

@mihadi_nasbu

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Mart 2017
560 Takip Edilen541 Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Mzee wa Jambo
Mzee wa Jambo@mihadi_nasbu·
@ahmed__ally Huenda Simba ikakumbana na rungu la kupokwa point 3 kutoka Caf baada ya kubainika mchezaji wake Aishi Manula alicheza akiwa na kadi 3 ambazo ni Kadi ya Bank,Nida na Leseni yake ya udereva.
Indonesia
5
2
30
1.6K
DJIGUI DIARRA 🐐
DJIGUI DIARRA 🐐@1960Remija·
Dakika 120 zimevunja rekodi ya dunia Penati 2 za kulazimisha Refa husafiri na timu Kibendera ni mwanachama Jumla ya penati 12 Kadi nyekundu 10 Magoli ya kupewa 8 Wachambuzi wenye uchungu na mpira wetu bado wanatafakari waje na utetezi gani kutetea tiketi zao. LIGI namba 6. 😂🙌🏼
DJIGUI DIARRA 🐐 tweet mediaDJIGUI DIARRA 🐐 tweet mediaDJIGUI DIARRA 🐐 tweet mediaDJIGUI DIARRA 🐐 tweet media
Indonesia
137
104
698
68.4K
Fortunatus Buyobe
Fortunatus Buyobe@fbuyobe·
Wakati Mh. Rais anaugua, sisi tulishirikishwa kama vyombo vya ulinzi na usalama.. Mimi nikiwa kama mwenyekiti wa wakuu wa vyombo vya usalama" "Tulikuwa tukienda kumuona Ikulu, asubuhi na jioni hadi baadae tulipompeleka Mzena" Haya si maneno yangu...
Fortunatus Buyobe tweet media
Indonesia
77
295
2.8K
305.3K
Latto 𝕏
Latto 𝕏@Rydx_017·
Familia ziliwaamulia Tomboy Vs Rangi rangi 😂😂🙆‍♂️ Angalia harusi livyokuwa.. Alafu angalia Mkwara walichapwa Mwishoni 😂😂😂🙆‍♂️ Video kwa Comments 👇
Latto 𝕏 tweet media
Filipino
140
82
1.5K
403.1K
Buti La Dalali La Kale
Buti La Dalali La Kale@DilooAlinho·
@Wizdomtz Kwa Hyo Kpnd MV Spice Islander Inazama Ulikuwa Hujazaliwa au Ile Ni Kenya Maana Walikuwa w2 Zaidi ya 1000+
Buti La Dalali La Kale tweet media
Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿 Indonesia
3
0
15
1.9K
Wizdõm★
Wizdõm★@Wizdomtz·
Baadhi ya matukio yaliyowahi kutikisha nchi tangia uhuru 1. Vita ya Kagera
Wizdõm★ tweet media
Indonesia
45
44
723
113.2K
MWANASHERIA
MWANASHERIA@ChambongoE·
@Rydx_017 Yani ninyi waislam hamnaga mafundisho yenu binafsi ili muonekane lazima mutumie jina la Yesu kwa Elimu ya hila. Hatuna muda wa kusikiliza mashehe watufundishe juu ya Yesu tunao watu ambao wanaufahamu juu ya hilo. Ivyo we jifurahishe tu. Kaongea uongo kwa ujasiri
Indonesia
3
0
4
756
Latto 𝕏
Latto 𝕏@Rydx_017·
Kuwa na Elimu Raha sana, Yani mtu hawezi akakwambia tu kitu, ujafuata bila kukifanyia uchambuzi Yakinifu. Haya, Sikiliza Sheikh anawafundisha wakristo juu ya Dini yao. Sikiliza kwanini Yesu, hafi kwa ajili ya Dhambi za wengine.. Video kwa Comments 👇
Latto 𝕏 tweet media
Indonesia
296
61
1.1K
215.7K
Latto 𝕏
Latto 𝕏@Rydx_017·
Yesu hakufa....
Indonesia
89
100
423
35.1K
Dr.kabuje
Dr.kabuje@kabujeDr·
🥺 nisaidieni nimwelekeze vip ili asiondoke maana kumrudisha tena itakua kipengele
Dr.kabuje tweet media
Indonesia
112
32
465
122.6K
𝐊𝐢𝐫𝐢𝐠𝐢𝐭𝐢
.. Ni kampuni gani ya Mabasi tokea umeifahamu haujawahi kusikia wala kuona imepata Ajali ya aina yeyote ile?
𝐊𝐢𝐫𝐢𝐠𝐢𝐭𝐢 tweet media
Indonesia
234
31
1.1K
162.9K
Sam Muuza Simu
Sam Muuza Simu@salumkalase·
Basi nikaamua kumuuliza mshikaji wangu Chat gpt kuhusu sherehe za pasaka na Eid Al Fitri za mwaka huu, na haya ndio yakawa majibu yake.😂😂😂 01
Sam Muuza Simu tweet media
Indonesia
117
98
1.6K
302.7K
Mvumbuzi📝
Mvumbuzi📝@Mvumbuzi_Creat·
Mnamo Juni 1994, ulimwengu ulitazama kwa makini wakati mwanamitindo na mwigizaji mwenye umri wa miaka 26 Anna Nicole Smith, alipoolewa na bilionea mkongwe anayejihusisha na biashara ya mafuta, J. Howard Marshall aliyekuwa na umri wa miaka 89. Harusi hiyo ilizua mjadala mkubwa kwa umma mara moja kutokana na tofauti kubwa ya umri wa miaka 63 kati yao, pamoja na utajiri mkubwa wa Marshall. Wengi walijiuliza ni nini kilichosababisha ndoa hiyo. Je, ilikuwa ndoa ya mapenzi, au ilikuwa ni mkakati wa Anna Nicole kupata sehemu ya mali ya Marshall? Uzi🧵
Mvumbuzi📝 tweet media
Indonesia
59
102
1.2K
318.6K
Fortunatus Buyobe
Fortunatus Buyobe@fbuyobe·
1903 HRS 16th September, 2014 Ruvuma, Songea Majira ya saa moja na dakika tatu jioni, polisi watatu wapo kwenye doria. Polisi hawa ni watatu ni G.5515 PC John, WP. 8616 PC Mariam na G. 9703 PC Mselemu Wawili kati yao wana bunduki aina ya SMG yenye risasi 30 kila moja
Fortunatus Buyobe tweet media
Indonesia
13
35
263
39.2K
Latto 𝕏
Latto 𝕏@Rydx_017·
Oyaa, Harmonize si akaichapa ile Dance Style yake ya kila siku, Aloooo! Watu walivyonyanyuka 🙌🙌 Video kwa Comments 👇
Latto 𝕏 tweet media
Filipino
59
67
2.3K
345K
Fumbo Khan
Fumbo Khan@fumbokhanJr·
Mzeeh wangu mrisho mpoto Kwanini huwa havai Viatu😳😳
Fumbo Khan tweet media
Indonesia
154
21
762
59.9K
Privaldinho
Privaldinho@privaldinho·
Al Masry wenyewe ndio hawa ambao wamepiga Zamalek away na kupiga Pyramids? @CRDBBankPlc
Privaldinho tweet media
Eesti
562
49
1.7K
157.2K
Cinema 4 You
Cinema 4 You@cinema4yu·
Haisemwi sana, Pengine leo ndio unasikia, sababu wale jamaa huwa wanataka vyao ndio vizungumzwe. Unapozungumzia majanga ya meli, Titanic huwa jina la kwanza linalokuja akilini kwa watu wengi. Lakini kuna ajali moja ya baharini ambayo ni MBAYA zaidi kuliko Titanic, lakini haijulikani sana nje ya Afrika. Hii ni simulizi ya MV Le Joola, meli ya abiria kutoka Senegal, ambayo ilizama mnamo 26 Septemba 2002, na kuua takriban 1,863 kati ya watu 2,000 waliokuwepo ndani yake. Hii inamaanisha kuwa watu wachache sana walinusurika—ni watu 64 pekee! Moja ya janga baya kutokea katika historia ya baharini.. The Africa's Titanic Thread 🧵 👇🏾
Cinema 4 You tweet media
Indonesia
33
134
858
214.5K
Fortunatus Buyobe
Fortunatus Buyobe@fbuyobe·
Ni msanii gani huyu wa bongo Fleva?
Fortunatus Buyobe tweet media
Indonesia
108
56
1.3K
159.9K
PASTA JOSHUA
PASTA JOSHUA@pastajoshuatz·
Unacheza sana Kamari bila hii Utaishia kupuna 10k mpaka 20🫵🤣 Unajua kazi yake hii sayansi?
PASTA JOSHUA tweet media
Indonesia
144
72
871
149.3K
MBONGA
MBONGA@mbonga94131333·
@NiiteMangi @majizo_jr Yeah Ni nadra sana kukuta General amechukua nchi, hutumika wa vyeo vya kati mara nyingi
Indonesia
1
0
0
97
𝗠𝗮𝗷𝗶𝘇𝗼
𝗠𝗮𝗷𝗶𝘇𝗼@majizo_jr·
𝗩𝗬𝗘𝗢 𝗩𝗬𝗔 𝗝𝗘𝗦𝗛𝗜 𝗟𝗔 𝗪𝗔𝗡𝗔𝗡𝗖𝗛𝗜 𝗪𝗔 𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔🧵 Je, Huwa Unapata Shida Kutambua Vyeo Mbalimbali vya Wanajeshi wa JWTZ? Uzi Huu Utakupa Majibu. Shuka Na Uzi 👇👇
𝗠𝗮𝗷𝗶𝘇𝗼 tweet media
Indonesia
65
167
1K
231.2K