D.O.D 💰

18K posts

D.O.D 💰 banner
D.O.D 💰

D.O.D 💰

@millionDee_

•Artist (Musician) ,Actor & Story writer• •Entrepreneur• •Man U,Simba ,Barca & Boston Celtics Fan• •C.E.O & Founder Prime Arts Brand•

Tanzania Katılım Ağustos 2022
1K Takip Edilen1.2K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
D.O.D 💰
D.O.D 💰@millionDee_·
KIPANDACHO HUSHUKA: Kifo cha Mandojo na Maono ya “Almasi” ya @dizastavina. "Wimbo wa ‘Almasi’ wa Dizasta Vina ulionekana kama mistari tu ya mziki. Lakini baada ya kifo cha Mandojo, unaonekana kama unabii wa kutisha kuhusu maisha ya mastaa wanaofifia. 🧵🧵✍️
D.O.D 💰 tweet mediaD.O.D 💰 tweet media
Indonesia
4
8
12
3.7K
D.O.D 💰 retweetledi
KIDUKU OFSA NGIRI
KIDUKU OFSA NGIRI@Innocen89950594·
Kama Mwanaume Utaingia Kwenye NDOA Na Mentality Ya Kwamba “Mwanaume KUCHEAT Nisahihi” Na Mwanamke Kucheat Sio Sahihi Basi Utaumia Vibaya. Ndoa Ni HESHIMA Pande Zote Lazima Muheshimiane Huwezi Msaliti Mke Wako Halafu Useme Unamuheshimu. UAMINIFU Ni Kama Maji Yakimwagika Hayazoleki
Indonesia
0
1
5
210
Masterplan🇹🇿
Masterplan🇹🇿@master_plan9·
Starehe ya dakika 3 isikuharibie mfumo wa maisha yako mazima ●Acha kufanya mapenzi bila kondomu na watu ambao hujui hali zao ●Acha kunyonya Mbususu ●Acha kupiga miti wake za watu ●Achana kabisa na michezo ya kufilana
Indonesia
29
54
237
9.8K
Masterplan🇹🇿
Masterplan🇹🇿@master_plan9·
Mkiwa Chuoni Kipindi Cha Likizo Jitahidini Kujifunza Skills MbaliMbali Kuna Maisha baada ya Kumaliza Chuo...... Hata sisi bodaboda miaka ya 2014 tulikua chuo kama nyie.
Filipino
13
31
214
3.7K
D.O.D 💰 retweetledi
Masterplan🇹🇿
Masterplan🇹🇿@master_plan9·
Mtumie meseji mwanamke wako mwambie.. " leo mchana utapenda kula nini mama nikupe pesa ? Halafu njoo utuonyeshe majibu 😃
Indonesia
49
67
533
36.3K
Masterplan🇹🇿
Masterplan🇹🇿@master_plan9·
Tufunge Siku nataka kufollow back Account 100 Weka Handle yako Tuinuke.
Masterplan🇹🇿 tweet media
Filipino
5
12
18
327
Adam
Adam@AdamJoseph·
I don't understand the complaints about Manchester United not bidding for Elliot Anderson. Have people learned nothing from last summer, or the Frenkie de Jong saga? There is no point bidding for a player that has decided they do not want to join the club. City bid for Anderson because he has clearly indicated that he wants to go there. The reasons? Irrelevant. That is where he wants to go. In the transfer market you bid with encouragement to do so from the players' camp. Why would a meaningless bid be better? Sadly Anderson hasn't been in briefs for a little while now, it is becoming clear why that was. The club wanted him, did what they could & he picked someone else. That isn't a slight on their ambition. It's the reality that they can't compete with City's wages. It was the same with Antoine Semenyo. Money talks. Manchester United have not recovered financially from years of transfer & contract mistakes, they still have some on their books. It'll take more time & good season on good season to fix that. It is often the people complaining the loudest who either don't know how the game is played, or are being actively ignorant about it & don't want to learn.
English
154
255
1.8K
336.7K
D.O.D 💰
D.O.D 💰@millionDee_·
@Sincerelyrahma7 Wafupi kila tukijaribu kujiepusha na vita tunarudhiwa mawe bila sababu .
Indonesia
1
0
2
212
Extreme Introvert🧕💫
Extreme Introvert🧕💫@Sincerelyrahma7·
Humu ndani unaeza vutiwa mtu anaeendesha account yake anonymously, unajikuta unammark mpaka unatamani umdinye kisa tu tweets na replies au the way anaendesha account au hata bio tu na avi🥹😚🙌 MAKOSA HUFANYIKA SIKU AKIAMUA KUJIPOST😭😭😭 Unakutana na kamtu kafupi hakoooo au kama mrefu basi kanakaa malnourished😭 Mtu unajijua ni shrek au smeagol afu unaeka Avi picha ya Simon Basset ndo nini😭
Indonesia
43
23
140
12.1K
D.O.D 💰 retweetledi
BAMIDELE🕊
BAMIDELE🕊@thenihiin·
Repost 🥹❤️
BAMIDELE🕊 tweet media
English
28
5.8K
12.8K
212.9K
D.O.D 💰 retweetledi
Gordon A
Gordon A@AG19fanpage·
🏠 💪🔵🔴
Gordon A tweet media
QME
536
5.1K
91.8K
712.5K
D.O.D 💰 retweetledi
Joseph Mbilinyi
Joseph Mbilinyi@TheRealJongwe·
Taarifa: Ili kumuunga mkono Mwenyekiti wetu Lissu na struggles zake gerezani, nimeamua kumuiga style yake mpya ya nywele…Sitachana wala kunyoa nywele zangu mpaka atoke jela akiwa HURU✌🏾✌🏾 #LiMwenyekiti #KatibaMpya #FREELISSU
Joseph Mbilinyi tweet media
Indonesia
153
709
4.3K
102.2K
D.O.D 💰
D.O.D 💰@millionDee_·
@iamNehemia @ErneoJordan @rasul__12 Hio target unafikishaje kila unachopata kinaishia kwenye mahitaji tena yale ya msingi na kwa kujibana bana na still sometimes hayatoshelezi .
Indonesia
1
0
0
125
Liber Nehemia. 🐏
Liber Nehemia. 🐏@iamNehemia·
Kumekua na wimbi kubwa la vijana kati ya miaka 21 - 32 kuacha kazi siku za hivi karibuni, ni ujira kiduchu au kuna mengine mengi yanayotusibu kama vijana?
Indonesia
66
56
736
43.5K
D.O.D 💰 retweetledi
Farhan Kihamu Jr
Farhan Kihamu Jr@FKihamu·
Mchezaji bora duniani kwasasa, Kiungo bora duniani kwasasa na bila shaka ni moja kati ya Viungo bora kuwahi kuubariki mchezo wetu pendwa wa kuitwa soka, El Bomba one of a Kind, pure talent and the real Magician.
Farhan Kihamu Jr tweet media
Filipino
28
98
957
9.4K
D.O.D 💰 retweetledi
Patrick Chinazaekpere Dorgu
Patrick Chinazaekpere Dorgu@PatrickDorgu13·
I owed you one from last game bro @B_Fernandes8 🤷🏾‍♂️ Best way to end this season. All glory to God ⚽️🅰️
Patrick Chinazaekpere Dorgu tweet media
English
1.2K
11.9K
135.9K
940.2K
D.O.D 💰 retweetledi
Bruno Fernandes
Bruno Fernandes@B_Fernandes8·
how can I assist you? ☕
Bruno Fernandes tweet mediaBruno Fernandes tweet media
English
11.1K
59.1K
346.1K
5.7M
D.O.D 💰 retweetledi
Fabrizio Romano
Fabrizio Romano@FabrizioRomano·
🚨 OFFICIAL: Bruno Fernandes breaks Kevin De Bruyne and Thierry Henry’s record for most assists in a single Premier League season. 21 assists delivered this season. 👑🇵🇹 History. 🎞️
Fabrizio Romano tweet media
English
4.2K
26.4K
189.9K
2.7M
D.O.D 💰 retweetledi
Peter Msigwa
Peter Msigwa@MsigwaPeter·
Nimefikiri na kutafakari kwa muda mrefu baada ya matukio ya ukiukwaji wa haki, utu na dhuluma dhidi ya uhai wa binadamu yaliyotokea tarehe 29 Oktoba 2025. Siwezi kuendelea kuishi katika huzuni na ukimya tena. Kwa dhamira yangu binafsi, leo nimejiondoa rasmi kutoka CCM na kurejea CHADEMA kwa kufuata taratibu zote za CHADEMA. Kwa Watanzania wote, na wanachama wa CHADEMA wale walioumizwa au kukatishwa tamaa na msimamo wangu wa awali, naomba radhi kwa dhati pale nilipokuwa kinyume na matarajio yetu ya pamoja katika safari ya kutafuta haki, utu na demokrasia ya kweli. Naam, binadamu hukosea, lakini dhamira inapozinduka ni wajibu kusimama upande unaouona kuwa wa kweli na wa haki. Asanteni Sana.
Peter Msigwa tweet media
Indonesia
870
651
3.3K
254.6K