Daniel Mlabwa

27.7K posts

Daniel Mlabwa banner
Daniel Mlabwa

Daniel Mlabwa

@mlabwa

Curating my travel experiences and talking about cars, football, data, innovation and technology.

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Haziran 2012
1.2K Takip Edilen4.4K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Daniel Mlabwa
Daniel Mlabwa@mlabwa·
Last year, my wife, friends and I had this 'brilliant' idea: drive our 30+ years Mercedes from Tanzania all the way to the southernmost tip of Africa. 36 days, 13,663 kilometers and 7 countries later; Here is the story of our epic road trip:
Daniel Mlabwa tweet mediaDaniel Mlabwa tweet mediaDaniel Mlabwa tweet mediaDaniel Mlabwa tweet media
English
248
2.2K
12.7K
536.7K
Daniel Mlabwa retweetledi
Mwemezi Rwiza, PhD
Mwemezi Rwiza, PhD@SwahiliBible·
NIKWAMBIE kitu ... sisi Wakristo hatuna jina lingine isipokuwa jina la Yesu tu.
Filipino
36
127
755
11.7K
Daniel Mlabwa
Daniel Mlabwa@mlabwa·
“That’s why you start your best GK in finals” posts incoming
English
0
0
0
101
Daniel Mlabwa retweetledi
Abby
Abby@NoCRTinSchools·
@PSpicker Ironically, the more skilled of a writer you are - with higher level vocabulary and better grammar - the MORE likely the tests will show you are AI.
English
14
163
4.3K
88.3K
Daniel Mlabwa
Daniel Mlabwa@mlabwa·
Leo nimeosha gari halafu mvua ndiyo inaanza. Yani hata nikimwambia mamtu nimeliosha naonekana sound tupu 🤦🏾
Indonesia
0
0
6
274
Daniel Mlabwa retweetledi
petervillain
petervillain@peterkafubhi·
Usual frames🇹🇿💦
petervillain tweet mediapetervillain tweet mediapetervillain tweet media
English
1
14
77
3K
Daniel Mlabwa retweetledi
2wavy
2wavy@D___Kaiser·
No screens, no gimmicks… just authority.
2wavy tweet media2wavy tweet media2wavy tweet media
English
11
67
436
17.1K
Daniel Mlabwa retweetledi
GB Politics
GB Politics@GBPolitcs·
🚨NEW: Rolls-Royce has scrapped plans to go all-electric by 2030 as ‘drivers prefer V12 engines’
English
358
1.6K
23.2K
3.2M
Daniel Mlabwa retweetledi
Christian Bwaya
Christian Bwaya@bwaya·
Huenda umezoea kuuona ule mchoro wa ‘pyramid’ kuonesha nadharia ya Abraham H. Maslow. Mchoro huo uliotumiwa na waandishi walioitambulisha na kuitangaza nadharia hiyo kwa umma, kwa kiasi kikubwa, unapotosha dhana yenyewe kwa namna Maslow mwenyewe alivyoifikiria. Ukisoma maandiko yake mwenyewe huoni kokote alikitumia mchoro huo unaopendekeza kuwa binadamu hulazimika kupitia ngazi kadhaa za mahitaji ili kuwa ‘actualized’ na kwamba hawezi kushughulikia hitaji la juu kabla hitaji la chini halijashughulikiwa. Aidha, mchoro huo hujenga picha kuwa watu wanaofikia hatua ya juu zaidi, yaani ‘self actualization’ ni wachache. Wengi wetu tunakwamia kwenye mahitaji ya awali. Pamoja na kurahisisha dhana na utegemeano wa mahitaji ya mwanadamu, mchoro huo kwa kiasi fulani unaharibu kusudio la nadharia yenyewe. Maslow mwenyewe alipendekeza nini? Binadamu tuna misukumo ya ndani (drives) inayochochea maamuzi na tabia zetu. Misukumo hiyo huja kama mfumo fulani unatengeneza mahitaji yanayotushughulisha. Katika hatua za awali za maisha mahitaji ya kimwili ndiyo hutawala zaidi tabia zetu. Kula (kunyonya) ndio msingi na ndio huamua tunaacha nini na kufanya nini. Kadri mtoto anavyokua kula haiwi hitaji la msingi (kisaikolojia) ingawa ni kweli tunajua anahitaji kula lakini mahitaji mengine hujitokeza na kutawala umri fulani zaidi. Kwa mfano, usalama, upendo na mahusiano na watu, ni mahitaji yanayoanza mapema kabisa tunapozaliwa lakini huendelea kutawala maamuzi na tabia zake kwa sehemu yote ya maisha yake yaliyobaki, wakati sifa, kutambulika na kuonekana kuheshimika katika jamii huja baadae kidogo na hutawala sehemu kubwa ya maisha ya mtu. Ukiitazama nadharia hii kwa mtazamo huu, unaona kumbe ‘utoshelevu’—self actualization ni hitaji kubwa kwa kila mwanadamu na ndilo linalomtesa kwa sehemu kubwa ya maisha yake hasa utu uzima. Utoshelevu ni ile hatua ya ‘kuipata maana’ yako, kujua kwa nini ulizaliwa na kujisikia unaishi maisha yenye maana na mchango kwa watu. Ukiutazama mchoro huu unaona kumbe kila mmoja wetu anaipambana na kuitafuta maana, ingawa mahitaji yale mengine kama chakula, mavazi, mapenzi, kuonekana na kuheshimika katika jamiii na kadhalika yanaendelea kutufuata kwa nyuma. Kwa maana nyingine, kuitazama hadithi ya maisha yetu ni shughuli yetu sote, na utoshelevu wetu unategemea namna tunavyoitengeneza hadithi hiyo.
Christian Bwaya tweet mediaChristian Bwaya tweet media
Filipino
4
8
24
1.4K
Med Suya
Med Suya@wasuya14·
@salim_alkhasas Hili lingekuwa linaangukiwa kwenye sikukuu za kiislam lingeshakuwa agenda ya kidini na wasingeangalia fact Ila sisi tunaangalia fact ya pasaka kuwa na masiku mengi ya sikukuu so kuliko ku disrupt ratiba za masomo ni bora wawe likizo ili hzo siku za sikukuu zijifidie
Indonesia
2
0
0
416
Salim Alkhasas
Salim Alkhasas@salim_alkhasas·
Toka nimezaliwa, haijawahi kutokea ratiba ya kufunga shule midterm ikapishana na ratiba ya Pasaka
Filipino
11
2
28
3.3K
Daniel Mlabwa
Daniel Mlabwa@mlabwa·
Hii pitch ya TRA vs Yanga ni mbovu
Indonesia
0
0
0
76
Rubanzibwa Ndyamukama
Rubanzibwa Ndyamukama@joshuasultanPT·
Nani yuko in car rentals, wakuu? An Alphard is needed J’mosi for a family trip to Kilimanjaro and Arusha.
Filipino
6
8
59
5.7K
Daniel Mlabwa
Daniel Mlabwa@mlabwa·
Dear Morocco, We hope this email finds you well. Please find the attached AFCON title for your celebrations. Kind regards, @CAF_Media
English
0
1
4
145